Zitto Kabwe yuko kimya ishu ya January Makamba

Simba ipi inayokutesa?? Labda simba ya mitaa ya twiga ila sio ya msimbazi! Inaongoza ligi simba wewe! Ndoo inabeba!
Ahh nimekumbuka kile kipigo cha Yanga... Yule banda fala kweli.. mtu unakadi ya njano halafu unacheza kizembe kiasi kile??
 
Subilini huyo mtaliona aweke mambo hadharani mbona tuta heshimiana tu!
 
Hakuna kibaya alichoandika.I'm sure tungejua kilichopo nyuma ya pazia na kitakachoendelea wiki ijayo baadhi ya comments zingekuwa tofauti.

January amefanya kosa kubwa Jana na akiendelea kulifanya Kesho itakua .........

Haya Magufuli nae atapata chance.
Kosa kubwa alilolifanya ni la ku engineer interview yake mwenyewe na kujitengezea maswali yake mwenyewe na kujichanganya mwenyewe kwa kujieleza dakika 10 kwa mwandishi aliyejitambulisha kiurahisi kwa jina moja bila hata kutaja chombo anachokiandikia, au sio ?
 
Kaserekali ka Magufuli kanaenda mzobe mzobe!!
 
Hakuna kibaya alichoandika.I'm sure tungejua kilichopo nyuma ya pazia na kitakachoendelea wiki ijayo baadhi ya comments zingekuwa tofauti.

January amefanya kosa kubwa Jana na akiendelea kulifanya Kesho itakua .........

Haya Magufuli nae atapata chance.
Ben Saanane
Unawezaje kujua cha wiki ijayo wakati hata cha leo hukijui sawa sawa na wala ukifanyi wewe?

Unawezaje kukijua cha nyuma ya pazia kama haupo nyuma ya pazia?

Unawezaje kuyajua makosa ya kiufundi ya kauli ya Makamba kama wewe sio sehemu ya kamati ya ufundi?

*Kwa kauli yako hiyo, it looks like either you knew everything about it or you try to spin something purposely.
I am sure about it.
 
Kama umesoma magezeti ya Jumapili Zitto ameibuka na story ya Magufuli kuwa halipi kodi. Zitto alijuwa kuna uwezekano wa magezeti kubeba story ya January hivyo akatoka na single ya mshahara wa rais na kodi akidhani kuwa ataweza kuhamisha mada.

duh kwa mawazo yako ya kudhania na kutunga mambo lazima wewe ni mchawi, usibishe

nyie ndio wazushi makazini, wambea, mnawaza kwa niaba ya mtu na kujifanya nabii

tangu lini zitto ana nguvu uliyompa?? magazeti yanabeba habari moja tu??

aisee!!
 
Kosa kubwa alilolifanya ni la ku engineer interview yake mwenyewe na kujitengezea maswali yake mwenyewe na kujichanganya mwenyewe kwa kujieleza dakika 10 kwa mwandishi aliyejitambulisha kiurahisi kwa jina moja bila hata kutaja chombo anachokiandikia, au sio ?

Familia ya Makamba jana haikuwa sawa hata kidogo, ilichanganyikiwa na kujikuta wakitoka na maamuzi ya kujikaanga zaidi.
Wametumia pesa nyingi sana kupoza watu waizime issue mitandaoni lakini pesa nayo imezama na bado issue iko moto vilevile.
Mwisho wanakumbuka kukubali kumlipa Mtaliano, lakini bado Mange ana kila kitu cha kuwamaliza. Sasa wanataka kumnunua Mange.
Nalo ni zoezi gumu sana coz Mange hataki pesa coz anaona atajiharibia kwa jamii inayomuamini. Kwa hiyo ngoma imekuwa ngumu.
Fikiria, walitumia pesa nyingi sana kuzima issue ili wasimlipe Mtaliano, lakini mwishowe wanamlipa. Hata hivyo, kuna Kitu kizito cha safari yao ya pamoja ya Dubai.
Na hiyo ndio inayowatia tumbo joto zaidi, Magu anajua kila kitu na bado hajasema chochote ila katuma salam kwa kumtumbua Sefue.
Hii wiki haitaisha salama kwa January. Na hata Zitto anajua na ndio maana yanaanza kutolewa maneno ya kutiana moyo.

Ova
 
Sidhani kama February ana roho ngumu kama ya bwana Kabwela. Anyway, ukisoma vizuri na kumuelewa alichoandika bwana ACT ni kwamba bwana February akubali kwamba ameharibiwa political career kwa vitendo vyake na Muitaliano na anapaswa kujipanga ki upya kwa ajili ya mbio ndefu zijazo na sio hizi sprints za muda mfupi.
 
Ni kweli Zitto katika ujumbe wake unaona ni kama anampa pole na kumtaka kuanza upya.
Tatizo la January alifika hapo alipo bila misukosuko wala harakati, alijikuta tu anakwenda kirahisi rahisi kwa kila hatua.
Alitumia msingi uliojengwa na baba yake na kupata msaada kwa rafiki za baba yake, sasa anapokumbana na issues kama hizi anatikisika.
Tuseme toka aingie siasani labda aliyetokea kumsumbua kidogo ni Jairo wakati wote wakiwa mjengoni wakati ule.
Hata hivyo marafiki wa baba yake wakamsaidia kwa hali na mali hadi akampoteza Jairo. Ila hii ngoma ya sasa haiwezi.

Ova
 
January na Zitto + Mchange wanafanana kwa tabia na madili, ni waswahili wa Pemba wanaojuana kwa vilemba. Bado mwenzao mmoja anajikusanya kusanya naye atatinga humu muda si mrefu.
 
Kama umesoma magezeti ya Jumapili Zitto ameibuka na story ya Magufuli kuwa halipi kodi. Zitto alijuwa kuna uwezekano wa magezeti kubeba story ya January hivyo akatoka na single ya mshahara wa rais na kodi akidhani kuwa ataweza kuhamisha mada.
I see.....kumbe ulikuwa mpango maalum?
 
Zitto anatafuta hazina ya mabomu kama JM akitemwa.
 
Hakuna kibaya alichoandika.I'm sure tungejua kilichopo nyuma ya pazia na kitakachoendelea wiki ijayo baadhi ya comments zingekuwa tofauti.

January amefanya kosa kubwa Jana na akiendelea kulifanya Kesho itakua .........

Haya Magufuli nae atapata chance.
Gwajima katengeneza "manabii"..wengi sana,hakika Januari anaandaliwa kuwa mtu muhimu Ukawa 2025,kipindi hicho hatuta zungusha mikono bali kiuno..tusubiri!
 
Huku kujisafisha mitandaoni hakutasaidia makambas, wameshajikanganya wenyewe katika utetezi wao. Mtamnyamazisha muitaliano lakin naamini watu wenye kazi zao washaenda mbele zaidi ya statement za kusafishana
 
Back
Top Bottom