Zitto Kabwe, Ukombozi hauletwi kwa maneno matamu

Zitto Kabwe, Ukombozi hauletwi kwa maneno matamu

Hebu Tafuta gazeeti la leo la Mawio (26.03.2015) halafu ujibu hoja zilizochambuliwa na Said Kubenea Kwanza, ndo useme unachossema. Watu tupo wavivu wakusoma tunakalilishwa tu mambo ukiulizwa niutendaji gani kafanya hasa unaanza kubwata bwata. Sakata la ESCROW sifa zinatakiwa ziiende kwa Kafulila aliyekomaa mpaka kaitwa tumbili. Halima Mdee aliyekomaa mpaka kamati ikaundwa. Nasikuile bila Juhudi za Mbowe kusimama nakukomaa kwamba Chadema haiwezi kushirikishwa katika hili hamana waziri yeyote ambaye angewajibishwa mpaka sasa. Supika alimuomba Chenge ashauli uwajibishwaji uweje ndo akashaulii aachiwe Raisi ndio awajibishe, Spika akamuuliza Zitto kama anakubaliana na hiilo akasema anakubali maana akili yake imechoka. Ndio Mbowe akasimama na kina Lisu na akakataa kukaa wakawa wanapika kelele wezi watoke, kwa waliokuwa live dodoma mnakumbuka Zito alimsogelea Mbowe sijui alikuwa anamsihi nini. Sasatuwe makini tunaposifia watu hovyohovyo bila utafiti au kufuata mkumbo.
 
Wewe pumbavu humjui Zitto,Zitto sio muongeaji tu ni mtendaji Mahiri,unamfananisha Zitto na nani wa Chadema kwa utendaji,sio kila alichokulisha Mbowe unakuja kukiweka hapa changanya na vyako

Hebu Tafuta gazeeti la leo la Mawio halafu ujibu hoja zilizochambuliwa na Said Kubenea Kwanza, ndo useme unachossema. Watu tupo wavivu wakusoma tunakalilishwa tu mambo ukiulizwa niutendaji gani kafanya hasa unaanza kubwata bwata. Sakata la ESCROW sifa zinatakiwa ziiende kwa Kafulila aliyekomaa mpaka kaitwa tumbili. Halima Mdee aliyekomaa mpaka kamati ikaundwa. Nasikuile bila Juhudi za Mbowe kusimama nakukomaa kwamba Chadema haiwezi kushirikishwa katika hili hamana waziri yeyote ambaye angewajibishwa mpaka sasa. Supika alimuomba Chenge ashauli uwajibishwaji uweje ndo akashaulii aachiwe Raisi ndio awajibishe, Spika akamuuliza Zitto kama anakubaliana na hiilo akasema anakubali maana akili yake imechoka. Ndio Mbowe akasimama na kina Lisu na akakataa kukaa wakawa wanapika kelele wezi watoke, kwa waliokuwa live dodoma mnakumbuka Zito alimsogelea Mbowe sijui alikuwa anamsihi nini. Sasatuwe makini tunaposifia watu hovyohovyo bila utafiti au kufuata mkumbo.
 
Zitto sio muongeaji tu pia ni mtendaji,tumuunge mkono

Kabla haujahimiza watu kumuunga mkono ...Hebu Tafuta gazeeti la leo la Mawio halafu ujibu hoja zilizochambuliwa na Said Kubenea Kwanza, ndo useme unachossema. Watu tupo wavivu wakusoma tunakalilishwa tu mambo ukiulizwa niutendaji gani kafanya hasa unaanza kubwata bwata. Sakata la ESCROW sifa zinatakiwa ziiende kwa Kafulila aliyekomaa mpaka kaitwa tumbili. Halima Mdee aliyekomaa mpaka kamati ikaundwa. Nasikuile bila Juhudi za Mbowe kusimama nakukomaa kwamba Chadema haiwezi kushirikishwa katika hili hamana waziri yeyote ambaye angewajibishwa mpaka sasa. Supika alimuomba Chenge ashauli uwajibishwaji uweje ndo akashaulii aachiwe Raisi ndio awajibishe, Spika akamuuliza Zitto kama anakubaliana na hiilo akasema anakubali maana akili yake imechoka. Ndio Mbowe akasimama na kina Lisu na akakataa kukaa wakawa wanapika kelele wezi watoke, kwa waliokuwa live dodoma mnakumbuka Zito alimsogelea Mbowe sijui alikuwa anamsihi nini. Sasatuwe makini tunaposifia watu hovyohovyo bila utafiti au kufuata mkumbo.
 
Mpaka leo unamsoma Saed Kubenea?mwandishi wa Udaku wa Kisiasa?pole sana.

Kubenea siku utakapomjua utajilaumu ata kumsoma.Sio mtu wa kupoteza muda kumfanya reference.

Kubenea ni kama magazeti ya Shigongo, tofauti yake ni kuwa udaku wake ni wa kisiasa.

Huyo Kafulila unayemsema ndiye yule Chadema iliyemsema kuwa ni sisimizi au mwingine?kamq ni yeye basi hiyo ni ishara kuwa usiamini kila kitu Chadema wanachosema, vingine ni vya uongo.

Unaweza kuona jinsi ambavyo taifa lingepata hasara kama Sisimizi tungemuamini Dr Slaa juu ya Kafulila.Mungu ambariki sana kijana yule.Maana katika wabunge wote wa Chadema hakuna aliye kama Kafulila, kama unabisha niambie mpaka Bunge hili linaishia hivi ni Mbunge gani wa Chadema kaleta hoja yoyote ya maana?utaishia moyoni mwako kusema Zitto..ha ha ha
 
Zitto nilikua namheshimu sana nikamtetea na kupiga kifua mbele za watu lakini siku zinavyokwenda napunguza imani nae.

Btw

Mimi ni muumini wa utendaji wenye nia ya ukombozi na sio chama, kama huko uliko utaendeleza hilo wish you all the best.
 
Hebu Tafuta gazeeti la leo la Mawio halafu ujibu hoja zilizochambuliwa na Said Kubenea Kwanza, ndo useme unachossema. Watu tupo wavivu wakusoma tunakalilishwa tu mambo ukiulizwa niutendaji gani kafanya hasa unaanza kubwata bwata. Sakata la ESCROW sifa zinatakiwa ziiende kwa Kafulila aliyekomaa mpaka kaitwa tumbili. Halima Mdee aliyekomaa mpaka kamati ikaundwa. Nasikuile bila Juhudi za Mbowe kusimama nakukomaa kwamba Chadema haiwezi kushirikishwa katika hili hamana waziri yeyote ambaye angewajibishwa mpaka sasa. Supika alimuomba Chenge ashauli uwajibishwaji uweje ndo akashaulii aachiwe Raisi ndio awajibishe, Spika akamuuliza Zitto kama anakubaliana na hiilo akasema anakubali maana akili yake imechoka. Ndio Mbowe akasimama na kina Lisu na akakataa kukaa wakawa wanapika kelele wezi watoke, kwa waliokuwa live dodoma mnakumbuka Zito alimsogelea Mbowe sijui alikuwa anamsihi nini. Sasatuwe makini tunaposifia watu hovyohovyo bila utafiti au kufuata mkumbo.

Kubenea ndo walewale waosha viatu vya Mfalme Mbowe,magazeti yake hayafai hata kufungia maandazi,hana jipya huyo
 
Namuona Zito na kumfananisha na Sungura Mjanja niliyemsoma Enzi hizo kwenye Vitabu vya hadithi.
 
Btw

Mimi ni muumini wa utendaji wenye nia ya ukombozi na sio chama, kama huko uliko utaendeleza hilo wish you all the best.

Pamoja sana ndugu, hivi vyama ni njia tu lakini muhimu zaidi ni taifa letu.

Ni muhimu watu wote wakatambua kama ulivyo wewe kuwa siku zote asiye kinyume chetu yu upande wetu, kwa pamoja turudishe uzalendo kwa taifa letu.Popote ulipo take your part.Inawezekana!
 
1427373480690.jpg
Kubenea ndo walewale waosha viatu vya Mfalme Mbowe,magazeti yake hayafai hata kufungia maandazi,hana jipya huyo

1427373480690.jpg
 
Kaka umesahau kuwa usalama wa meli ni nahodha mzuri? Mabaharia wapo tu ila kazi yao ni ndogo.

Zitto c mtu wa maneno ni mtu wa vitendo..
 
Zitto ni jembe
Lengo la ACT ni kuondoa mfumo wa serikali uliopo madarakani lakini kwa ushabiki wako wa kijinga unaandika Zitto ni jembe kama jembe pelekeni kijijini likalime Zitto anaota ndoto ambazo hazitatimia katika maisha yako
 
Zitto bora amesema mapema lengo la ACT kuiondoa madarakani ccm sasa hata ingepambana na CHADEMA asingeweza huu moto mnene.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom