Vupu
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 1,769
- 1,246
Kubenea mwandishi , umewahi soma makala zake? ... MTU anaumwa hata kabla ya kuitwa Leo wew unaandika tu?Hapa ndio utaona tofauti ya kubenea na zitto, wakati kubenea alipoitwa mbele ya kamati alipata malaria ya gafla (hofu) na kushindwa kujieleza mbele ya kamati zito kwa upande wake yeye amemwaga madini hayo hapo juu .....na ushahidi wa nguvu!