Zitto Kabwe, Tundu Lissu na wengine lengo lao ni nini hasa?

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,930
4,892
Kwa Muda sasa, kupitia Social Media Pamoja na humu JF kuna mijadala mingi imekuwa ikiwasilishwa hasa mingi ikitoka Upande wa Hawa Ndugu zetu wa Kututia hofu kwa hii Vita ambayo Mh. Rais anapigania Win Win kwa Wawekezaji wote waliyopo Nchini especially kwenye Sector ya Gas , Pamoja na Madini.

Sasa ukifuatilia Hoja za Ndugu yangu Zitto ukisikia kwa Makini Ni Kama anatuchanganya haeleweki anasupport au anapinga? Ukimsikia Lissu yeye ndio basi anatutia hofu kabisa kuwa tutaangukia Pua.

Wakubwa Raisi Ameshasema kuwa Sheria Zote , Sera Zote na Mikataba Yote Ifanyiwe marekebisho. Hivi Bado tunaamini kuwa Rais ataipitisha bila hivyo vipengele vilivyokuwa Nyoka kwa watanzania kuondolewa?

Ni Kweli kuwa kwa kujiridhisha kuwa sheria zilizopo waliokuwa wamepewa dhamana ya kuiwakilisha Serikali walipitisha hivyo vipengele kwa masilahi yao , hizo sheria haziwezi batilishwa?

Ni Kweli kuwa Sheria haipanguliki kisa tu imeshapitisha ilihali inakiuka maslahi ya kitaifa?

Hivi Lengo lenu hasa nini kutojumuika na kutoa msaada wa hayo mnayoyajua ili tuondoke hapa tulipofika na hao mabwanyenye watuheshimu?
 
0c67e972aebddc25d897c549a07ba183.jpg
 
Wamewahi kufukuzwa bungeni na kufunguliwa mashitaka kwenye jambo hili kwa uonevu wa kiwango cha juu kbsa.Hii vita ya mikataba vibovu ya madini walianza wao na baada ya kubainika walichokuwa wanapigania ni kweli kwa 100% baada ya zaidi ya miaka 10,Leo JPM anatoka na kiki na jamaa wanageuziwa kibao .
 
Wakati Mh. Rais anazuia usafirishwaji wa Michanga Ndugu yangu Zitto alikuja kwenye Mitandao ya Kijamii na kusema kuwa Serikali itakosa fedha ambazo zingetokana na Percentage ambazo tungegawiwa kwa uuzaji Kwa hiyo Kampuni Ya China. Toka kipindi hicho ahajaacha kuitisha Vikao na Mijadala kila kukicha kuhusu Issue inahusiana na Madini Hata Juzi Aliongea na akimaliza Kuongea Kwenye Mikutano Yote hiyo anaupload the same Day kwenye Social Media zote leo Ameandika kitu ambacho hata hakieleweki baada ya huyu Mwenyekiti Wa Barrick Kuja kuongea na Rais.

Mimi Nilitegemea kwa kuwa alichokuwa anakitetea 2007 na kwa kumipata mtu wa kukifuatilia then angekuwa msitari wa Mbele kutoa Mawazo Chanya na siyo Kuwachanganya WaTanzania.

Ni Kweli kwa Sasa ana Chama chake Basi ajaribu kutembelea Maneno ya Tukio Lake lile lile ambalo lilimsababishia kufukuzwa bungeni Mpaka wananchi wa Kanda ya Ziwa kumchangia kwa Kufidia Posho zake alizonyimwa kwa kuwa nje ya Bunge.

Mbona Namuona Ndugu yangu Zitto siyo Yule wa 2007?
 
Hao wanafiki mkuu na wanataka public attention. They are hypocrits and nugatory.

wanafiki ni wale waliopitisha miswaada ya sheria za madini kwa ndio na leo kujifanya hawaijui wakati walikuwa ma members wa vikao hivyo na bungeni walipiga kura za ndio
 
Ccm wamejimwagia pilipili na tangawizi na majani washa wanajikuna tu sasa.
Watakoma.

Tume huru idaiwe mapema ccm itoke vinginevyo watanzania mtapata tabu sana.

Watasaini mikataba kwa siri na kuipitisha bungeni kwa mbwembwe.
 
Hao ni wanasiasa wachumia siasa.

Ni pure political opportunists.

Mtaji wao wa kuendesha maisha yao ya kila siku ni siasa.

Hawana zaidi.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom