kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,215
- 18,480
Ila tuongee tu ukweli, zile ndege zilizonunuliwa zilipitishwa na bunge lipi?
si Bure unashida sehemuJPM anaweza akamuonea mtu lakini siamini na sidhani kama Ikulu ya Tanzania wanaweza kumuonea mtu. Labda tu kwa sababu kuaminiana kumepungua sana kwenye siasa za Tanzania ndio maana baadhi ya watu wanadhani waliotenguliwa wameonewa.
Sio kurukia hoja rais haifai kusema uongo aeleze ukweli ulivyo hapo ndio Mie ya nchi .au Tu Kwa sababu mkataba hakusain mjomba mtoto wa Dada.Chadema kwa kurukia hoja
Mkuu Kilatha asante sana kwa ilmu hii.Taasisi za serikari aziwezi kukopa au kuingia mkataba wowote wenye marejesho bila ya idhini ya wizara ya fedha.
Unapokopa au kuingia mkataba wowote wa marejesho hizo hela ulizochukua au investment costs zinakuwa accumulated kwenye deni la taifa.
Ndio maana waziri huwa anatoa takwimu za deni la serikari na madeni ya taasisi kwenye total debt.
Ata kama taasisi zinalipa madeni yenyewe lazima DMO (debt management office) ndio ina facilitate hizo process.
Hayo ni matakwa ya frameworks za international lenders kama WB/IMF kwenye kufanya stress test ya nchi kama inakopesheka.
Kwa ivyo ni upuuzi kwenda kuingia makubaliano ya kifedha bila ya waziri husika kutoa baraka zake, hizi ndio sababu NHC majengo yao yameishia kati hawana hela ya kuyaendeleza na serikari imekataa kuwapa guarantee lenders.
Sasa iwapo taasisi kama NHC yenye income stream inayoeleweka na imekuwa ikilipa madeni yake miaka yote, inaelewa umuhimu wa kupata kibali cha waziri kwanza; kwanini zimamoto wasijue utaratibu wakati uki default deni linageuzwa la walipa kodi.
Vitu vingine ni uchokozi tu, hao akina Lugola walijitakia.
Issue kubwa ni kwamba hawakupata kibali cha accounting officer wa nchi hii ambaye ni Rais kwa jumla ya hiyo fedha. CEO au afisa masuhuli wa Zimamoto hawezi kusaini makubaliano ya awali MoU bila hata kibali cha PSTHayo ni maneno ya Director for communications and foreign affairs, John Mrema.View attachment 1334229
Sent from my xxxx using JamiiForums mobile app
Chadema kuna vilaza wengi sana,wadandia treni kwa mbeleHoja sio MoU ilisainiwa wapi, bali the contents za hiyo MoU.
P
Kwa hyo jiwe katupiga fix kama kawaida yake?
Your English, please check it!What is done by States/ governments is not necessary to be logical and make sense to anyone. The governments do whatever make sense for the existence of the State, government and national sovereignty
Labda wewe ndio hujui kimalkia. Sina wasi wasi na Mimi kujua kimalkia. Kama Kuna makosa, Ni ya kawaida.Your English, please check it!
Mkuu mbona swali lako lipo kimtego sana!?wewe kinachokufanya uamini hapa ni Tanzania ni nini?
hahaaa kweli Lissu anawakimbiza haswaa huko lumumba!Umeambiwa MoU ilisainiwa nje ya nchi mbona Ufipa ni wagumu sana kuelewa.
Ukiona Tundu Antipas Lisu amekaa kimya ujue kila kitu ni shwari!
HUU NDIO UKWELI.Lugola nahisi mzee alishamuona kichwani zimefyatuka akatafuta namna ya kumuondoa pale. Hili la kusaini mkataba ni kisingizio tu
wewe kinachokufanya uamini hapa ni Tanzania ni nini?
wewe kinachokufanya uamini hapa ni Tanzania ni nini?