Nasikia CAG ni mmoja wawatu waliochukuwa mali za NSSF bila utaratibu, au hilo hulifahamu. UWekezaji ule, wa hovyo wa NSSF ulimuhusu CAG wetu je, hilo unalifahamu?Inatakiwa tuwe makini kabla ya kutoa maoni, tujirizishe kuwa hakuna sheria tunayovunja. Haya mambo ya kuongea tu bila umakini yaweza sumbua kichwa sana!
BringbackmdudeNimeona MdudeChadema anasema
"TUMBO ndio huwa linajamba, Matakoo huwa ni kama Spika tu"
MyTake: Tuachane na Spika tu deal na Tumbo
mtazamo tu, Lumumba msijenge Chuki