ASHA NGEDELE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 784
- 326
We endelea kucheza mziki wa huyo zitto kisha tuone CAG ataenda au hatoenda bungeni.. Mnang'ang'ana kuweka vifungu vya sheria vinavyompa mamlaka CAG as if Spika hana vipengele vyovyote vya sheria vinavyompa mamlaka na yeye.. #NyumbuNdio maana tunasema akili zenu mnakawakabidhi wanaowatuma. Hivyo hujui tofauti ya serikali na bunge. Mnakuja na mabakuli matupu madini mnayaacha Lumumba counter. Mihimili mitatu Bunge, Serikali na Mahakama. Hapa tunajadili Bunge sio serikali.
Huyu jamaa aliwaambia Bombardier za mtumba, vipi mliishia wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app