Zitto Kabwe: Spika ameagiza Kamati za Bunge za PAC, LAAC, Bajeti na Uwekezaji kutofanya kazi na CAG, tunakwenda Mahakamani!

Hivi sasa Spika ameagiza Kamati za Bunge za kuisimamia Serikali ( Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali [PAC] , Kamati ndogo ya Bunge Hesabu za serikali za Mitaa [LAAC] , Bajeti na Uwekezaji ) kutofanya kazi na CAG wala maofisa wake. Hii maana yake ni kuwa Bunge halitajadili Taarifa za PAC/LAAC kwenye mkutano ujao wa Bunge ( kukwepa TZS 1.5T ). Hapa Spika anavunja Katiba.

Baada ya kushauriana na Wanasheria na Wabunge tumeona ni muhimu sana kwa maslahi mapana ya nchi yetu kulinda Katiba yetu.

Baadhi ya Wabunge kutoka vyama vyote tumeamua kwenda mahakamani kuomba tafsiri ya KINGA ya CAG kwa mujibu wa Katiba na mamlaka ya Spika kutoa Wito kwa CAG.

=====

Kuna mpango wa muda sasa kutaka kumwondoa Prof. Assad Katika nafasi ya CAG kwa sababu ‘ana kiburi, misimamo mikali na hanyenyekei mamlaka ya juu’. Kikatiba wameshindwa. Walitaraji angetoka Septemba 2019 Lakini Kikatiba haondoki mpaka afike umri wa kustaafu. Wanatafuta njia

Prof. Assad alifanya Ukaguzi Maalumu Kuhusu matumizi ya shs 1.5T zilizokuwa hazina maelezo kwenye ukaguzi wa mwaka 2016/17. Taarifa hiyo ya Ukaguzi Maalumu ipo mezani kwa Spika na Spika ameikalia hajaipeleka PAC ili iwasilishwe Bungeni. Mvutano huu wa Spika na CAG ni ujanja tu

Hivi sasa Spika ameagiza Kamati za Bunge za kuisimamia Serikali ( PAC, LAAC, Bajeti na Uwekezaji ) kutofanya kazi na CAG wala maofisa wake. Hii maana yake ni kuwa Bunge halitajadili Taarifa za PAC/LAAC kwenye mkutano ujao wa Bunge ( kukwepa TZS 1.5T ). Hapa Spika anavunja Katiba

Baada ya kushauriana na Wanasheria na Wabunge tumeona ni muhimu sana kwa maslahi mapana ya nchi yetu kulinda Katiba yetu. Baadhi ya Wabunge kutoka vyama vyote tumeamua kwenda mahakamani kuomba tafsiri ya KINGA ya CAG kwa mujibu wa Katiba na mamlaka ya Spika kutoa Wito kwa CAG.

View attachment 989299
View attachment 989298
Haya mkongomani Vipi huko nchini kwako tayari mmekwisha toa matokeo ya urais. Toa kwanza Kibanzi cha nyumbani kwenu ndipo utafute kibanzi cha nyumba uliyohifadhiwa.
 
Haa haa haa..... imefikia hatua hii tena?

Sheria na katiba zinasemaje? Spika ana uwezo wa kuzuia hilo?

Nini kilicho nyuma ya huu mgogoro? Mbona ni wao kwa wao? Bunge litafanyaje kazi bila ya CAG kwa maswala ya usimamizi wa fedha za umma?

No, hapa kuna kitu kinakwepeshwa ili kisijulikane....tena kitu chenyewe ni ufisadi tu wa fedha za umma..!!

Na je, hizi zaweza kuwa moja ya dalili za ufalme uliofitinika na hivyo kuelekea ktk anguko lake?
maswali ni mengi sana
 
Maadamu CAG hana uwezo wa kuamrisha Askari wetu basi yuko chini ya wanaoweza kuamrisha kuweni waangalifu sana hapa Zito Kabwe anawatumia kumjenga kisiasa lkn hana loyalty na chadema, hajawahi kuwa nayo na hatokuwa nayo huyo na Asadi ni damu damu, ,,the devil is in the details” wanasema.

BTW vipi ishu ya kutaka kuuliwa na Serikali yetu sasa huko Mahakamani si ndiyo Polisi wetu watakujenerali Kombe kwa urahisi? Anyway house negroes wameshatoka huko sasa wamehamia kwa CAG, ...
Huna lolote kiibilisi tu wew.Tundu amepona
 
Hivi sasa Spika ameagiza Kamati za Bunge za kuisimamia Serikali ( Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali [PAC] , Kamati ndogo ya Bunge Hesabu za serikali za Mitaa [LAAC] , Bajeti na Uwekezaji ) kutofanya kazi na CAG wala maofisa wake. Hii maana yake ni kuwa Bunge halitajadili Taarifa za PAC/LAAC kwenye mkutano ujao wa Bunge ( kukwepa TZS 1.5T ). Hapa Spika anavunja Katiba.

Baada ya kushauriana na Wanasheria na Wabunge tumeona ni muhimu sana kwa maslahi mapana ya nchi yetu kulinda Katiba yetu.

Baadhi ya Wabunge kutoka vyama vyote tumeamua kwenda mahakamani kuomba tafsiri ya KINGA ya CAG kwa mujibu wa Katiba na mamlaka ya Spika kutoa Wito kwa CAG.

=====

Kuna mpango wa muda sasa kutaka kumwondoa Prof. Assad Katika nafasi ya CAG kwa sababu ‘ana kiburi, misimamo mikali na hanyenyekei mamlaka ya juu’. Kikatiba wameshindwa. Walitaraji angetoka Septemba 2019 Lakini Kikatiba haondoki mpaka afike umri wa kustaafu. Wanatafuta njia

Prof. Assad alifanya Ukaguzi Maalumu Kuhusu matumizi ya shs 1.5T zilizokuwa hazina maelezo kwenye ukaguzi wa mwaka 2016/17. Taarifa hiyo ya Ukaguzi Maalumu ipo mezani kwa Spika na Spika ameikalia hajaipeleka PAC ili iwasilishwe Bungeni. Mvutano huu wa Spika na CAG ni ujanja tu

Hivi sasa Spika ameagiza Kamati za Bunge za kuisimamia Serikali ( PAC, LAAC, Bajeti na Uwekezaji ) kutofanya kazi na CAG wala maofisa wake. Hii maana yake ni kuwa Bunge halitajadili Taarifa za PAC/LAAC kwenye mkutano ujao wa Bunge ( kukwepa TZS 1.5T ). Hapa Spika anavunja Katiba

Baada ya kushauriana na Wanasheria na Wabunge tumeona ni muhimu sana kwa maslahi mapana ya nchi yetu kulinda Katiba yetu. Baadhi ya Wabunge kutoka vyama vyote tumeamua kwenda mahakamani kuomba tafsiri ya KINGA ya CAG kwa mujibu wa Katiba na mamlaka ya Spika kutoa Wito kwa CAG.

View attachment 989299
View attachment 989298
Ngoma inogile.

Soma Katiba ya Nchi hapa
 
Attachments

  • Katiba_ya_Tanzania.pdf
    248.9 KB · Views: 21
Haya mkongomani Vipi huko nchini kwako tayari mmekwisha toa matokeo ya urais. Toa kwanza Kibanzi cha nyumbani kwenu ndipo utafute kibanzi cha nyumba uliyohifadhiwa.
Unatafuta nini humu jamii forums?wewe na ndungai ilibidi muwe milembe kwasababu ni vichaa
 
Hivi sasa Spika ameagiza Kamati za Bunge za kuisimamia Serikali ( Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali [PAC] , Kamati ndogo ya Bunge Hesabu za serikali za Mitaa [LAAC] , Bajeti na Uwekezaji ) kutofanya kazi na CAG wala maofisa wake. Hii maana yake ni kuwa Bunge halitajadili Taarifa za PAC/LAAC kwenye mkutano ujao wa Bunge ( kukwepa TZS 1.5T ). Hapa Spika anavunja Katiba.

Baada ya kushauriana na Wanasheria na Wabunge tumeona ni muhimu sana kwa maslahi mapana ya nchi yetu kulinda Katiba yetu.

Baadhi ya Wabunge kutoka vyama vyote tumeamua kwenda mahakamani kuomba tafsiri ya KINGA ya CAG kwa mujibu wa Katiba na mamlaka ya Spika kutoa Wito kwa CAG.

=====

Kuna mpango wa muda sasa kutaka kumwondoa Prof. Assad Katika nafasi ya CAG kwa sababu ‘ana kiburi, misimamo mikali na hanyenyekei mamlaka ya juu’. Kikatiba wameshindwa. Walitaraji angetoka Septemba 2019 Lakini Kikatiba haondoki mpaka afike umri wa kustaafu. Wanatafuta njia

Prof. Assad alifanya Ukaguzi Maalumu Kuhusu matumizi ya shs 1.5T zilizokuwa hazina maelezo kwenye ukaguzi wa mwaka 2016/17. Taarifa hiyo ya Ukaguzi Maalumu ipo mezani kwa Spika na Spika ameikalia hajaipeleka PAC ili iwasilishwe Bungeni. Mvutano huu wa Spika na CAG ni ujanja tu

Hivi sasa Spika ameagiza Kamati za Bunge za kuisimamia Serikali ( PAC, LAAC, Bajeti na Uwekezaji ) kutofanya kazi na CAG wala maofisa wake. Hii maana yake ni kuwa Bunge halitajadili Taarifa za PAC/LAAC kwenye mkutano ujao wa Bunge ( kukwepa TZS 1.5T ). Hapa Spika anavunja Katiba

Baada ya kushauriana na Wanasheria na Wabunge tumeona ni muhimu sana kwa maslahi mapana ya nchi yetu kulinda Katiba yetu. Baadhi ya Wabunge kutoka vyama vyote tumeamua kwenda mahakamani kuomba tafsiri ya KINGA ya CAG kwa mujibu wa Katiba na mamlaka ya Spika kutoa Wito kwa CAG.

View attachment 989299
View attachment 989298
zito ni chizi
 
Dah! Hili Bunge! Zitto una maana kamati hizo kazi zote ilikuwa ni juu ya CAG tu! Kwa kuzuiwa kufanya kazi na ofisi ya CAG unasema sasa Bunge halitajali kazi za PAC/LAAC! NOt serious MP. TUamini tu kwamba you performance is absolute.
 
Itakua kwa hasara ya wananchi,maana CAG anakagua na kudhibiti mali za umma.Spika analinda ufisadi.
Tumeona msajili(mrajisi) wa Hazina Mafuru alipotolewa au yule Dada Kairuki Wa TIC aliyejitolea bila kuchukua mshahara kuleta wawekezaji nchini walivyoondolewa mpaka leo tunatapatapa na leo imeundiwa wizara.
NImeuliza hapa siku moja juu ya CAG. CAG alisema nini juu ya Escrow account? Ukijua hilo ndo utaelewa maana ya CAG. CAG alidhibiti vipi wizi huo wa ESCROW?

Wizi na ufisadi nchini unaweza kuisha au kupungua kwa nguvu ya rais na siyo CAG na Bunge. Ktk hawa hakuna anayesimamia vyombo vya sheria.
 
Mmefikia wapi? Usisahau la kusemelea kwa maCAG na wakuuwa jumuiya ya madola maana naona kila wiki una tukio matomeo yanakuponyoka na raia mtaani wanakuzoea kuwa huna impact. Empty words!
 
We endelea kucheza mziki wa huyo zitto kisha tuone CAG ataenda au hatoenda bungeni.. Mnang'ang'ana kuweka vifungu vya sheria vinavyompa mamlaka CAG as if Spika hana vipengele vyovyote vya sheria vinavyompa mamlaka na yeye.. #Nyumbu

Huyu jamaa aliwaambia Bombardier za mtumba, vipi mliishia wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hizo bombadier ndio zinatakiwa zikarekebishwe kwa 13.5b.
 
NImeuliza hapa siku moja juu ya CAG. CAG alisema nini juu ya Escrow account? Ukijua hilo ndo utaelewa maana ya CAG. CAG alidhibiti vipi wizi huo wa ESCROW?

Wizi na ufisadi nchini unaweza kuisha au kupungua kwa nguvu ya rais na siyo CAG na Bunge. Ktk hawa hakuna anayesimamia vyombo vya sheria.

Inatakiwa tuwe makini kabla ya kutoa maoni, tujirizishe kuwa hakuna sheria tunayovunja. Haya mambo ya kuongea tu bila umakini yaweza sumbua kichwa sana!
 
Hivi sasa Spika ameagiza Kamati za Bunge za kuisimamia Serikali ( Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali [PAC] , Kamati ndogo ya Bunge Hesabu za serikali za Mitaa [LAAC] , Bajeti na Uwekezaji ) kutofanya kazi na CAG wala maofisa wake. Hii maana yake ni kuwa Bunge halitajadili Taarifa za PAC/LAAC kwenye mkutano ujao wa Bunge ( kukwepa TZS 1.5T ). Hapa Spika anavunja Katiba.

Baada ya kushauriana na Wanasheria na Wabunge tumeona ni muhimu sana kwa maslahi mapana ya nchi yetu kulinda Katiba yetu.

Baadhi ya Wabunge kutoka vyama vyote tumeamua kwenda mahakamani kuomba tafsiri ya KINGA ya CAG kwa mujibu wa Katiba na mamlaka ya Spika kutoa Wito kwa CAG.

=====

Kuna mpango wa muda sasa kutaka kumwondoa Prof. Assad Katika nafasi ya CAG kwa sababu ‘ana kiburi, misimamo mikali na hanyenyekei mamlaka ya juu’. Kikatiba wameshindwa. Walitaraji angetoka Septemba 2019 Lakini Kikatiba haondoki mpaka afike umri wa kustaafu. Wanatafuta njia

Prof. Assad alifanya Ukaguzi Maalumu Kuhusu matumizi ya shs 1.5T zilizokuwa hazina maelezo kwenye ukaguzi wa mwaka 2016/17. Taarifa hiyo ya Ukaguzi Maalumu ipo mezani kwa Spika na Spika ameikalia hajaipeleka PAC ili iwasilishwe Bungeni. Mvutano huu wa Spika na CAG ni ujanja tu

Hivi sasa Spika ameagiza Kamati za Bunge za kuisimamia Serikali ( PAC, LAAC, Bajeti na Uwekezaji ) kutofanya kazi na CAG wala maofisa wake. Hii maana yake ni kuwa Bunge halitajadili Taarifa za PAC/LAAC kwenye mkutano ujao wa Bunge ( kukwepa TZS 1.5T ). Hapa Spika anavunja Katiba

Baada ya kushauriana na Wanasheria na Wabunge tumeona ni muhimu sana kwa maslahi mapana ya nchi yetu kulinda Katiba yetu. Baadhi ya Wabunge kutoka vyama vyote tumeamua kwenda mahakamani kuomba tafsiri ya KINGA ya CAG kwa mujibu wa Katiba na mamlaka ya Spika kutoa Wito kwa CAG.

View attachment 989299
View attachment 989298
Hatari
 
Hivi hayo maamuzi ya Spika ni kwa manufaa ya nani? Spika au Wananchi? unapokataa kushirikiana na CAG unahalalisha ubadhirifu, wizi na ufisadi wa fedha za walipa kodi, nadhani imefika muda kwa Wabunge wa CCM kumwondoa huyu Spika
 
Back
Top Bottom