Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,007
- 5,446
jiwe jiwe jiweeeeee
Duh sjui kama utasikilizwaRais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Asikubali Huu Ujinga Wa Kurudisha Nyuma Maendeleo Hayana Chama
Huwezi Kuzuia Hili Ukaachia Lile
Hao Wote Tumewatuma Watufanyie Kazi
Huo Ugomvi Wao Ni Batili
Umesema ana Heshma? Ipi? Na ameshaipoteza?Unapojifanya MKALI halafu upo kwenye MSTARI, wakati una MAPUNGUFU yako kibao, basi ndio unawalazimisha watu wakukosoe na kumwaga mtama kwenye kuku wengi.
Mh Job Ndugai ni bora aachie kiti ili kulinda heshima yake, ila kama atalazimisha kukaa kwenye kiti, basi tutashuhudia makombora mengi sana.
Amsha amsha Zitto, usisahau alikutishia kukufungia usiongee bungeni mpaka #2020.
#2020 Kazi Na Bata, bado mwaka mmoja tu mungu akipenda.
hekaya ndefu, tuambie mwananchi amefaidikaje na mradi huoHivi sasa Spika ameagiza Kamati za Bunge za kuisimamia Serikali ( Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali [PAC] , Kamati ndogo ya Bunge Hesabu za serikali za Mitaa [LAAC] , Bajeti na Uwekezaji ) kutofanya kazi na CAG wala maofisa wake. Hii maana yake ni kuwa Bunge halitajadili Taarifa za PAC/LAAC kwenye mkutano ujao wa Bunge ( kukwepa TZS 1.5T ). Hapa Spika anavunja Katiba.
Baada ya kushauriana na Wanasheria na Wabunge tumeona ni muhimu sana kwa maslahi mapana ya nchi yetu kulinda Katiba yetu.
Baadhi ya Wabunge kutoka vyama vyote tumeamua kwenda mahakamani kuomba tafsiri ya KINGA ya CAG kwa mujibu wa Katiba na mamlaka ya Spika kutoa Wito kwa CAG.
=====
Kuna mpango wa muda sasa kutaka kumwondoa Prof. Assad Katika nafasi ya CAG kwa sababu ‘ana kiburi, misimamo mikali na hanyenyekei mamlaka ya juu’. Kikatiba wameshindwa. Walitaraji angetoka Septemba 2019 Lakini Kikatiba haondoki mpaka afike umri wa kustaafu. Wanatafuta njia
Prof. Assad alifanya Ukaguzi Maalumu Kuhusu matumizi ya shs 1.5T zilizokuwa hazina maelezo kwenye ukaguzi wa mwaka 2016/17. Taarifa hiyo ya Ukaguzi Maalumu ipo mezani kwa Spika na Spika ameikalia hajaipeleka PAC ili iwasilishwe Bungeni. Mvutano huu wa Spika na CAG ni ujanja tu
Hivi sasa Spika ameagiza Kamati za Bunge za kuisimamia Serikali ( PAC, LAAC, Bajeti na Uwekezaji ) kutofanya kazi na CAG wala maofisa wake. Hii maana yake ni kuwa Bunge halitajadili Taarifa za PAC/LAAC kwenye mkutano ujao wa Bunge ( kukwepa TZS 1.5T ). Hapa Spika anavunja Katiba
Baada ya kushauriana na Wanasheria na Wabunge tumeona ni muhimu sana kwa maslahi mapana ya nchi yetu kulinda Katiba yetu. Baadhi ya Wabunge kutoka vyama vyote tumeamua kwenda mahakamani kuomba tafsiri ya KINGA ya CAG kwa mujibu wa Katiba na mamlaka ya Spika kutoa Wito kwa CAG.
View attachment 989299
View attachment 989298
Kimaadili yuko sahihi kabisa,amesema udhaifu uko kwa bunge na si kwake maana yeye anafanya kazi yake na kuwapa wao wachukue hatua!Yaah hayo yote ni ukosefu wa maadili kwa viongoz. Bado kauli ya jpm haikua specific kuwa ni mawazir wapi wanafanya vitu vya ovyo, kwa mawazir ilikua sio rahisi sana kusema wawajibike na msukumo mkubwa Ilitakiwa utoke kwetu kuwa hao mawazir kwanini asiwafukuze kazi?Hakuna popote unaweza jitetea kuvunja miiko ya Uongoz kwa mgongo wa oooh flani naye kavunja. Kelele humu zilipigwa lkn maajabu kwa CAG mnaleta SIASA uchwara. Kauli ya CAG ni sahihi hata Mimi ndio msimamo wangu kila siku lkn je kimaadili ni sahihi kwa CAG kusema hivo?
Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
Wanasema amekiuka maadili na kulidharau bunge!
Acha kuweweseka. Unaleta habari gani tena. Kwa maana hiyo unasema jiwe anaweza kutoa amri kwa majeshi wammalize Assad au Zitto? Bwege kweli kweliMaadamu CAG hana uwezo wa kuamrisha Askari wetu basi yuko chini ya wanaoweza kuamrisha kuweni waangalifu sana hapa Zito Kabwe anawatumia kumjenga kisiasa lkn hana loyalty na chadema, hajawahi kuwa nayo na hatokuwa nayo huyo na Asadi ni damu damu, ,,the devil is in the details” wanasema.
BTW vipi ishu ya kutaka kuuliwa na Serikali yetu sasa huko Mahakamani si ndiyo Polisi wetu watakujenerali Kombe kwa urahisi? Anyway house negroes wameshatoka huko sasa wamehamia kwa CAG, ...
Vipi, kiwewe kimepanda kichwani? Umeelewa ulichokiandika?sasa CAG anafanyaje kazi na bunge dhaifu?Hata mkijadili mpaka mfe nyie ni madhaifu so why wasting tax payers money.
Hivi sasa Spika ameagiza Kamati za Bunge za kuisimamia Serikali ( Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali [PAC] , Kamati ndogo ya Bunge Hesabu za serikali za Mitaa [LAAC] , Bajeti na Uwekezaji ) kutofanya kazi na CAG wala maofisa wake. Hii maana yake ni kuwa Bunge halitajadili Taarifa za PAC/LAAC kwenye mkutano ujao wa Bunge ( kukwepa TZS 1.5T ). Hapa Spika anavunja Katiba.
Baada ya kushauriana na Wanasheria na Wabunge tumeona ni muhimu sana kwa maslahi mapana ya nchi yetu kulinda Katiba yetu.
Baadhi ya Wabunge kutoka vyama vyote tumeamua kwenda mahakamani kuomba tafsiri ya KINGA ya CAG kwa mujibu wa Katiba na mamlaka ya Spika kutoa Wito kwa CAG.
=====
Kuna mpango wa muda sasa kutaka kumwondoa Prof. Assad Katika nafasi ya CAG kwa sababu ‘ana kiburi, misimamo mikali na hanyenyekei mamlaka ya juu’. Kikatiba wameshindwa. Walitaraji angetoka Septemba 2019 Lakini Kikatiba haondoki mpaka afike umri wa kustaafu. Wanatafuta njia
Prof. Assad alifanya Ukaguzi Maalumu Kuhusu matumizi ya shs 1.5T zilizokuwa hazina maelezo kwenye ukaguzi wa mwaka 2016/17. Taarifa hiyo ya Ukaguzi Maalumu ipo mezani kwa Spika na Spika ameikalia hajaipeleka PAC ili iwasilishwe Bungeni. Mvutano huu wa Spika na CAG ni ujanja tu
Hivi sasa Spika ameagiza Kamati za Bunge za kuisimamia Serikali ( PAC, LAAC, Bajeti na Uwekezaji ) kutofanya kazi na CAG wala maofisa wake. Hii maana yake ni kuwa Bunge halitajadili Taarifa za PAC/LAAC kwenye mkutano ujao wa Bunge ( kukwepa TZS 1.5T ). Hapa Spika anavunja Katiba
Baada ya kushauriana na Wanasheria na Wabunge tumeona ni muhimu sana kwa maslahi mapana ya nchi yetu kulinda Katiba yetu. Baadhi ya Wabunge kutoka vyama vyote tumeamua kwenda mahakamani kuomba tafsiri ya KINGA ya CAG kwa mujibu wa Katiba na mamlaka ya Spika kutoa Wito kwa CAG.
View attachment 989299
View attachment 989298
Aliyeanzisha bifu ni nani?Spika wa wabunge kuweka bifu na CAG si afya nzuri kwa taifa.
Msisahau kupeleka hili swala commonwealth.