Zitto Kabwe: Rushwa imeongezeka nchini, ushahidi upo

Zitto Kabwe: Rushwa imeongezeka nchini, ushahidi upo

Mwambieni Zito awe objective make yuko subjective sana hata mabeberu hawamtaki kwa sababu anadanganya
 
Ndugu Zitto japokuwa mara nyingi ninazipenda data na ushauri wake kwenye mambo ya economy, lakini hili rushwa kwenye awamu hii haliko kama lilivyokuweko awamu zilizopita, lazima tufurahie namna hii serekali inavyoweka wazi wanapogundua uharibifu ama rushwa. PM anastahili pongezi kwa kazi nzuri.

Ndugu Zitto this is Political tantrums at their best,
Kuna sehemu leo hii nimeserma Zitto ni mnafiki, unafikiri hajui hili unalosema?
Au hajui anachokisema na uhalisia wa mambo kuhusu rushwa awamu ya Magufuli kulinganisha na awamu kadhaa zilizopita?

Ukweli unabaki kuwa Zitto anaziweza sana siasa kuliko weengi wa wanasiasa wa CCM na upinzani.
 
Asalaam Aleykhum warahmatullah wabarakattul....!

Ndugu wadau, Mheshimiwa Zitto Zubeir Kabwe katika Account yake ya twitter amepost kuwa, Ingawa Rais John Pombe Magufuli anasifiwa kwa kuweza kuzuia rushwa nchini....Ushahidi unaonesha kuwa rushwa imeongezeka kila kona.

Mchwa wapo kibao wanaokula rushwa.

Ametoa mrejesho wa Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa alipoenda Morogoro na kubaini hilo.

Je Rais ameshafanikiwa wapi mpaka sasa?
Zitto mwenyewe mla rushwa nambari wani
 
I can challenge Zitto's opinion kwa kusema kusema hadharani matendo ya rushwa ktk taasis za umma before 2016 ilikuwa haifanywi na Rais wala PM so Wananchi hatukuwa na access ya kujua nini kinafanyika ndani ya taasis zetu.

Kinachofanywa Sasa ni kutupa awareness Wananchi na pia kupeleka onyo kwenye taasis nyingine za umma ambazo bado hazijafikiwa kujua kwamba kumbe hata watendaji wa taasis husika wakiwa ktk eneo lao la kazi kujilipa posho eti kisa Wana ugeni wa Rais, PM, au Waziri ni ubadhirifu tu.

Hii huko mbeleni itaokoa fedha nyingi ambazo zitafanya shughuli nyingine za maendeleo ktk maeneo husika.

Kwangu mimi kuibua matendo hayo ni njia sahihi kabisa ya kudhibiti utendekaji wake siku zijazo na tatizo litadhibitiwa kwa njia hiyo.

Big up JPM, Samia + Majaliwa.
Sheria inasema ukikaa nje ya kituo chako cha kazi zaidi ya masaa sita unastahili kulipwa nusu ya DSA. Ukienda wilaya nyingine unalipwa DSA kwa ngazi husika. Nafikiri kosa ni kama wako kituoni hapo hapo na wakajilipa. Chief akifika kwako ndiyo siku ya kuchinja Ngombe aliyenona
 
Back
Top Bottom