Zitto Kabwe: Rais umeamua kuchagua upande wa wanaokupa taarifa za uongo na majungu, muda utasema

Mimi niko Mkoa wa Shinyanga, ukweli ni kwamba mvua zinasuasua na tayari mahindi ya Mwanzo yamekauka kwa jua na bado Mbuga nyingi za mpunga zimebaki machungio ya mifugo tu nao wana hali mbaya sana. Muda utasema na ndipo watu watajua kuusimamia ukweli.
 
Hana uzur wowote!aibu yako ww
 
Jamani jamani, hapa nina kama nusu saa nimetoka wilaya ya mvomero, hali ni mbaya saana! Wamasai wanalia ng'ombe zinakufa uck na mchana. Siri ya mtungi aijuae ni kata! Ukitembea vijijini kwa wakulima na wafugaji utapata majibu wewe mwenyewe! Unga kilo moja 1600, jua ni kali hakulimiki wala hakupandiki chochote! Over
 
Hatuna raisi miaka 5
 
Halafu upande wa pili wanataka wawekezaji waje kujenga viwanda, hakuna mfanyabiashara kichaa au muwekezaji kichaa aje kwenye nchi kama hii isiyo na Sheria ila matamshi na utashi
Serikali ya viwanda wamefanikiwa kujenga kiwanda cha majungu Lizaboni
 

Taja maeneo gani wameshindia maembe huku Mara? Una uelewa na Mkoa wa Mara wewe? Majungu hayajengi ndugu.
 
We kwanza kuandika hujui.fanya kazi yako ya ukahaba kama imekushinda kalale sio unatapika pumba zako...mijitu mingine kama michawi

It seems you did not go to school, I can judge you by your language. President Magufuli is here to stay accept it and move on.
 
Wewe na babako ndo mlikuw mnamtaka hyo sio mimi kunguru wew jisemee wew sio kuwasemea wengne.we utakuw mchawii

Wewe unamushambulia kila mtu inabidi ujiunge na kisomo cha ngumbali ujifunze kutokubaliana na watu kwa lugha ya heshima. Una lugha chafu sana inabidi upige muswaki na breach shame on you.
 

Kila sehemu kuna njaa siyo Tanzania peke yake. Tufanye kazi tupambane na njaa.https://www.kenyamoja.com/video.php...be.com/embed/f9jh632D7lU?autoplay=1&rel=0
 
kina gogo la shamba tulishasema kwamba,miaka hii mitano itakwisha kwa kusikia na kuona mambo mengi ya ajabu hasa kutoka kwa watu tuliokuwa tunawategemea kutuletea maendeleo
 
Tuwe wakweli.. Tz kwa sasa tuna Rais ambaye hana chembe ya ubinadamu...!!

Unaongeaje maneno kama yale kwa wananchi waliokuchagua??

Aibu kabisa.
Lakini mbona anapoyaongea nasikia makofi na vigelegele na bado wengine mnasema si maneno mazuri?!!!!

Mimi mnanichanganya
 
Siku zote ukweli huwa unaudhi kuliko ghiriba au hadaaa na mtu laghai hupendeza sana kumsikiliza na ndio maana Afrika siasa hutafsiriwa kama ushawishi wa kuhadaa umma.
 


Hekima ni bidhaa rahisi na ghali sawia. Ni rahisi sana kupata mhemko na kuropoka jambo, lakini mwisho wa siku ni vigumu sana kufuta jambo hilo kwenye mawazo ya watu utakapogundua kuwa hukutumia busara kunena. Yanayosemwa sasa na viongozi wetu kupitia kauli za kejeli na dhihaka kwa umma yatawagharimu mbeleni watakapotaka tena ridhaa ya watu kubaki katika nafasi zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…