Hana uzur wowote!aibu yako wwrais magufuli ifikie kipindi akubaliane na ukweli anaoambiwa ukali hauna nafasi katika shida hizi tulizonazo...nahisi ipo siku atatokewa na mzimu wa hayati baba wa taifa amuelekeze jinsi ya kuiendesha Tanzania
sikatai magufuli ni kiongozi mzuri lakini kuwa kiongozi bila team work ni shida,team work ni sisi na yeye atusikilize basi
Mungu ibariki Tanzania na watu wake!!
Tanzania kwa sasa haina Rais ila kuna mwendawazimu mmoja amevamia Ikulu kupitia CCM!!!
Haya maneno hayapashwi kutoka kwenye mdomo wa Rais au Mkuu wa nchi yeyote!
Magufuli hawatendei haki Watz kwa kuropokaropoka hivi kama mvuta bangi!
Hivi tukimwuliza JPM kwamba nini kipaumbele chake kunapokuja swala la NJAA na NDEGE, au ELIMU BURE na NJAA???
Hivi kwa akili ya Magufuli, hizo ndege za Bombadier ni bora zaidi kuliko maisha ya Mtanzania atakayepoteza maisha kwa njaa? Huyo mtoto atasomaje darasani elimu ya bure wakti ana Njaa tumboni??!
Huyu JPM ni janga kwa Tanzania!!!!!!!!!!!!!!!
"...anayejua kuna njaa nchi hii ni Rais, mimi ndio naejua wapi kuna njaa na wapi hakuna.Tanzania hii haina njaa wala watu hawana njaa". JPM, Simiyu - 11/01/2017.
[HASHTAG]#Note[/HASHTAG]: Hii ni Nchi ya Kufikirika! Mimi nimekuwa mkoani Mara kwa wiki mbili, watu wanashindia maembe na msimu wa maembe umekwisha sijui kama watashindia mapapai, hakuna chakula. Unapokuwa Rais wa nchi lazima uwe na busara na hekima za juu sana.
[HASHTAG]#JSM[/HASHTAG].
We kwanza kuandika hujui.fanya kazi yako ya ukahaba kama imekushinda kalale sio unatapika pumba zako...mijitu mingine kama michawi
Wewe na babako ndo mlikuw mnamtaka hyo sio mimi kunguru wew jisemee wew sio kuwasemea wengne.we utakuw mchawii
Kirefu cha TANROADS ni nini wakuu
Jamani jamani, hapa nina kama nusu saa nimetoka wilaya ya mvomero, hali ni mbaya saana! Wamasai wanalia ng'ombe zinakufa uck na mchana. Siri ya mtungi aijuae ni kata! Ukitembea vijijini kwa wakulima na wafugaji utapata majibu wewe mwenyewe! Unga kilo moja 1600, jua ni kali hakulimiki wala hakupandiki chochote! Over
Lakini mbona anapoyaongea nasikia makofi na vigelegele na bado wengine mnasema si maneno mazuri?!!!!Tuwe wakweli.. Tz kwa sasa tuna Rais ambaye hana chembe ya ubinadamu...!!
Unaongeaje maneno kama yale kwa wananchi waliokuchagua??
Aibu kabisa.
Siku zote ukweli huwa unaudhi kuliko ghiriba au hadaaa na mtu laghai hupendeza sana kumsikiliza na ndio maana Afrika siasa hutafsiriwa kama ushawishi wa kuhadaa umma.Naona anajihami kabisa kwa kauli hii
Mwishoni Rais amemalizia kwa kusema
"Naweza kuwa sio mwanasiasa mzuri sana,Lakini ipo siku mtakuja kunikumbuka"
Mheshimiwa raisi mpendwa wetu kauli zako zinaudhi sana, uungwana ni kauli nzuri na ndio hekma ya uongozi..
Anaandika Zitto Kabwe
Rais umeamua kuchagua upande wa wanaokupa Taarifa za uwongo na majungu. Muda utasema. Wengine tumesema, tumeonya kwa mapenzi mema ya nchi. Wewe ndio mwenye vyanzo vingi na mkono mrefu. Umetamka hakuna njaa. Umefunga mjadala. Lakini uwe tayari kubeba mzigo wa maamuzi yako yanayotokana na habari za majungu, uwongo na kutaka kukufurahisha.
View attachment 458891
=========
SOMA: Rais Magufuli: Magazeti yanayoandika kuna njaa,yamenunuliwa na wanasiasa na wafanyabiashara
Lakini mbona anapoyaongea nasikia makofi na vigelegele na bado wengine mnasema si maneno mazuri?!!!!
Mimi mnanichanganya
mikakati ya kuchukua nchi ilishapangwa na mkuu mtoto wa mjini mzee wa msonga ndio maana Mh Lowassa yuko kimya.Wewe endelea kuota mchukue nchi kwa mikakati gan na ip
Kinachonichanganya, mshangiliaji ni yule yule mtukanwaji.Je hujawahi kuona mtu anaporomosha matusi na wanakuwepo washangiliaji?? Makofi sio kipimo cha busara iliyomo katika kauli zitolewazo.