TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,919
- 11,320
Kuchamba kwingi kutoka na MAVVIKC mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema Dr Samia alipaswa Kutangaza Kifo Cha Hayati Magufuli akiwa ameshaapishwa
Zitto amesema kitendo Cha kuwafanya Wakuu wa Vyombo Vya Ulinzi na Usalama kuwa ndio Watoa Taarifa ni Cha hatari Sana
Hili ni jambo linapaswa kuwa somo kwetu na kuyaweka mambo ya mabadilishano ya Madaraka " Power Transfer" kuwa ya Kisheria , amesisitiza Kabwe
Source: Jambo TV
HIS SENTIMENTS ARE UNCALLED FOR