GE2025 Zitto Kabwe: Polisi atakayebeba Kura Bandia ni halali yetu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
POROJO tu...sema huwa najiuliza huko (CCM) nani boss sasa, Mbowe or Dalali?
 
Wasipompa uhaini au ugaidi basi ni ccm b
 
Kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ametoa onyo kali kwa maafisa wa polisi na watendaji wengine wa serikali wanaoshiriki katika kile alichokiita uingizaji wa kura bandia kwenye uchaguzi, akisema chama hicho hakitasita kuchukua hatua hata kama mhusika ni askari wa vyombo vya ulinzi na usalama.

Akihutubia iku ya Alhamisi Julai 10, 2025 katika Jimbo la Tunduru Kaskazini, wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma katika mwendelezo wa Operesheni Majimaji ya chama hicho, Zitto ameeleza kuwa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024, ACT Wazalendo ilimkamata afisa wa polisi akiwa amepakia kura bandia kwa lengo la kuzisambaza kwenye kituo cha kupigia kura.

"Tunajua CCM wanatumia kura bandia, kura bandia zinapigwa halafu zinaletwa kwenye kituo cha kupigia kura. Isivyo bahati, kule Kigoma tulimkamata Afisa wa Polisi akiwa amepakia kura bandia. Afisa yule alichokipata sidhani kama atarudia jambo lile," amesema Zitto.

Katika kauli hiyo, Zitto amesema chama hicho hakitavumilia tena majaribio yoyote ya kuvuruga uchaguzi kwa mbinu chafu kama hizo.

"Ninataka nitangaze rasmi hapa, na maafisa wa polisi watusikie: hatutajali magwanda yao, hatutajali nyota zao, hatutajali mitutu yao. Polisi atakayebeba kura bandia ni halali yetu," ameongeza kwa msisitizo.

Suala la maafisa wa usalama kuhusishwa na uingizaji wa kura bandia ni mojawapo ya hoja kubwa zilizowasilishwa na ACT Wazalendo katika mashauri kadhaa waliyoyafungua kupinga matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024, hasa katika baadhi ya maeneo ya Kigoma.

Zitto amesisitiza kuwa Operesheni Majimaji inalenga kulinda demokrasia na kuhakikisha kuwa uchaguzi wa mwaka 2025 unakuwa huru na wa haki.

Zito mjinga,nilidhani ana mbinu ya kulinda kura kumbe ujinga mtupu
 
Zitto usiwafanye watanzania ni wajinga, kama suala ni kulinda kura watanzania wamelinda kura toka mwaka 1995 enzi za Mrema hadi majuzi kati 2020 enzi za Mwendazake.
Mara zote hizo hao walinzi wamepigwa, wamepewa kesi kubwa kubwa hadi za mauaji na wengine kupoteza maisha.
Sasa ndugu Zitto hapo huna hoja ya kuwaambia watanzania kuhusu uchaguzi huu.
Wewe Chonga Rungu lako afu utazilinda hizo kura mwenyewe.
 
Kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ametoa onyo kali kwa maafisa wa polisi na watendaji wengine wa serikali wanaoshiriki katika kile alichokiita uingizaji wa kura bandia kwenye uchaguzi, akisema chama hicho hakitasita kuchukua hatua hata kama mhusika ni askari wa vyombo vya ulinzi na usalama.

Akihutubia iku ya Alhamisi Julai 10, 2025 katika Jimbo la Tunduru Kaskazini, wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma katika mwendelezo wa Operesheni Majimaji ya chama hicho, Zitto ameeleza kuwa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024, ACT Wazalendo ilimkamata afisa wa polisi akiwa amepakia kura bandia kwa lengo la kuzisambaza kwenye kituo cha kupigia kura.

"Tunajua CCM wanatumia kura bandia, kura bandia zinapigwa halafu zinaletwa kwenye kituo cha kupigia kura. Isivyo bahati, kule Kigoma tulimkamata Afisa wa Polisi akiwa amepakia kura bandia. Afisa yule alichokipata sidhani kama atarudia jambo lile," amesema Zitto.

Katika kauli hiyo, Zitto amesema chama hicho hakitavumilia tena majaribio yoyote ya kuvuruga uchaguzi kwa mbinu chafu kama hizo.

"Ninataka nitangaze rasmi hapa, na maafisa wa polisi watusikie: hatutajali magwanda yao, hatutajali nyota zao, hatutajali mitutu yao. Polisi atakayebeba kura bandia ni halali yetu," ameongeza kwa msisitizo.

Suala la maafisa wa usalama kuhusishwa na uingizaji wa kura bandia ni mojawapo ya hoja kubwa zilizowasilishwa na ACT Wazalendo katika mashauri kadhaa waliyoyafungua kupinga matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024, hasa katika baadhi ya maeneo ya Kigoma.

Zitto amesisitiza kuwa Operesheni Majimaji inalenga kulinda demokrasia na kuhakikisha kuwa uchaguzi wa mwaka 2025 unakuwa huru na wa haki.

🤣🤣🤣🔊
 
Reforms zikifanyika wala hakutowa na haja kupambana na maaskari!
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Mambo haya hayakomeshwi kwa matamko bali kikatiba, na kikatiba hamtaki mmewaachia CDM pekee na still mnawabeza!!
 
Watu wa kigoma ukiacha uchawa pia ni wachekeshaji wazuri..!!
 
Hatimaye! Kumbe watu ku deal na polisi wanaweza ila ni kwaajili ya uongozi pekee na nafasi za kujaza matumbo na sio kuokoa manyanyaso ya raia na hayo yasemwayo ya utekaji 🥹 poor TZ
 
ukiona hivyo ujue ya kwamba ana uhakika wa ubunge wakupewa .Anacho fanya hapa ni kuzuga ionekane walipambania yaki yao , lakini kwa mazingira ya siasa jinsi yalipopofikia hapa Tanzania mtu kama Zito angekuwa mtu serious katika kulazimisha serikali kupata real reforms angeunganisha jeshi lake pamoja na chadema at this critical moment.
 
Huyo Zito KABWE ni Dalali then ni Taperi la kisiasa ilo- Tulipuuze Tu Taperi ilo na ni Dalali la kisiasa
 
Kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ametoa onyo kali kwa maafisa wa polisi na watendaji wengine wa serikali wanaoshiriki katika kile alichokiita uingizaji wa kura bandia kwenye uchaguzi, akisema chama hicho hakitasita kuchukua hatua hata kama mhusika ni askari wa vyombo vya ulinzi na usalama.

Akihutubia iku ya Alhamisi Julai 10, 2025 katika Jimbo la Tunduru Kaskazini, wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma katika mwendelezo wa Operesheni Majimaji ya chama hicho, Zitto ameeleza kuwa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024, ACT Wazalendo ilimkamata afisa wa polisi akiwa amepakia kura bandia kwa lengo la kuzisambaza kwenye kituo cha kupigia kura.

"Tunajua CCM wanatumia kura bandia, kura bandia zinapigwa halafu zinaletwa kwenye kituo cha kupigia kura. Isivyo bahati, kule Kigoma tulimkamata Afisa wa Polisi akiwa amepakia kura bandia. Afisa yule alichokipata sidhani kama atarudia jambo lile," amesema Zitto.

Katika kauli hiyo, Zitto amesema chama hicho hakitavumilia tena majaribio yoyote ya kuvuruga uchaguzi kwa mbinu chafu kama hizo.

"Ninataka nitangaze rasmi hapa, na maafisa wa polisi watusikie: hatutajali magwanda yao, hatutajali nyota zao, hatutajali mitutu yao. Polisi atakayebeba kura bandia ni halali yetu," ameongeza kwa msisitizo.

Suala la maafisa wa usalama kuhusishwa na uingizaji wa kura bandia ni mojawapo ya hoja kubwa zilizowasilishwa na ACT Wazalendo katika mashauri kadhaa waliyoyafungua kupinga matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024, hasa katika baadhi ya maeneo ya Kigoma.

Zitto amesisitiza kuwa Operesheni Majimaji inalenga kulinda demokrasia na kuhakikisha kuwa uchaguzi wa mwaka 2025 unakuwa huru na wa haki.

Mwaka jana kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa hakuwaona wezi wa kura.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom