Zitto Kabwe ndani ya Karatu

Ukiona mtu ana kisifia kitu ana kipenda sana!
Kamwe hatuto yumbishwa na hizi propaganda nyepesi!

Hasara ya siasa za udini mliona matunda yake kwenye sensa na bado
CCm wanasema cdm ni chama cha wakristo, je wao ccm ni chama chwa wapagani(wasio na dini zao)-zitto

pamoja sana ngongoseke hawa jamaa wanataka kuingiza nchi kwenye machafuko ya udini na ukabila.
Zitto ndio sululisho la yote.
 
zito.jpg

naibu katibu mkuu wa chadema taifa na mbunge wa kigoma kaskazini mh:zitto zuberi kabwe (chadema)muda huu ameshaingia wilaya ya karatu tayari kwa mikutano yake mbalimbali maeneo ya vivijini na kesho atafanya mkutano mkubwa karatu mjini.
Mikutano ya leo anaifanya kata ya endamarariek ambapo atakuwa na mikutano miwili ya kujenga na kuimarisha chama.
Huu ni mwendelezo wake wa mikutano mbalimbali ndani ya nchi baada ya kufanya mikutano siku nne mfululizo ndani ya kigoma,jana alikuwa mwanza akalala dar es salaam na asubuhi ya leo amesafiri kuelekea karatu kwa lengo la kujenga na kuimarisha chama.
Wanakaratu wote mnaombwa kuhudhuria kwa wingi mkutano mkubwa siku ya kesho utakao fanyika karatu mjini
chadema ni chama cha kitaifa
people's power

nb
samahani picha hapo juu hainauhusiano wowote na mikutano ya karatu,picha mbalimbali za mikutano ya karatu kukujia hivi punde.asanteni

kama haina uhusiano ilikuaje ukaiweka hapo? Hata hivyo tunashukuru kwa taarifa
 
Wanakaratu wamemuomba zitto akamwage sumu huko na baada ya hapo ni jimbo la hai kisha vunjo sasa tuone na nyinyi muende kigoma kama mutaeleweka na ukaskazini wenu.

GANZI????? UMESHAVUTA ZILE BANGI ULIZOKUWA UNAVUTA DUCE. nyie wepesi sana kwani kukuhakikishia 2015 ubunge uliokuwa unaota umeukosa .
 
Mnafiki mkubwa huyo kazi kila kukicha kuropoka Urais ili CDM wapoteze lengo.Inabidi kila anakoenda ni lazima Kitengo cha intelejensia CDM kipeleke watu kumfuatilia.

Kitengo cha intelijensia ya chadema ni sabula(askari magereza aliyekimbiwa na wafungwa),Kagenzi(aliyekuwa mpishi wa wahindi na hajui kusoma wala kuandika eti ndo mlinzi wa slaa!),Swai(mlinzi wa billcanas),Lwakatale(ambaye muda wote kalewa).
Molemo hio ndio intellijensia ya chadema au mtamtumia Deus mallya(chacha wangwe)!
Au utaenda mwenyewe?
 
We mwehu nini,tushakwambia m4c maana yake ni movement for chaggaz ,sasa zitto na m4c wapi na wapi?
Kati ya hiyo m4c yenu mnayoiabudu na zitto nani kamkuta mwenzie kwenye harakati?
M4c ni mradi wa wachagga kuwaibia watanzania na ndio maama lema alikimbia na hela za m4c.
Poor you!
Muache rais wa nchi ajae afanye kazi!
Wai lumumba kawambie, wakubadilishie style, hii ni ya kizamani sana tulishaichoka.
 
cdm ni chama ambacho kwa muonekano wa nje ni kizuri sana, pale cdm ukimuondoa mbowe na slaa hiki chama ndio kitakuwa mkombozi wa mtz lakini sio sasa, nasikia pal makao makuu kama sio kaskazini wala usipeleke cv labda uwe kibaraka wa mbowe au slaa'
kuanzia wazoa takataka,wafagizi,walinzi,madreva na masekretari wote ni chaggaz kama sio wanatoka ukanda wa kaskazini..mbaya zaidi ni chakla cha wakubwa
 
Wewe umetumwa na wamachame na ujasiliamali wa kisiasa kwa zitto lazima mkae na mtaendelea kunywa mbege hapo kikaoni vyenu.

kakudanganya nani?Nyie mnachekesha sana.Mkishadangawanywa basi mnadhani huo uongo uliowanganya utamdanganya kila mtu.Hiyo kawauzie kigoma.Jinsi mnavyoenda mtakuwa watumwa wazuri sana wa hii nchi.No wonder why mlis upply watumwa wengi sana kwa hizi tabia tangu enzi ya mkoloni wenu.
 
pole pole kamanda naona foma dazzle inakutoka mdomoni na puani kisa???HUYU HUYU DR.SLAA aliyemuoa dada yako Josephine>AU NI HUYU HUYU MBOWE anayekulipa mshahara wa kumbebea mabegi???

UKWELI NI KWAMBA RAIS WA NCHI YUPO KARATU ANAFANYA MKUTANO WA KUJENGA NA KUIMARISHA CHAMA
 
watanzania wote wenye akili timamu wanakisapoti chadema..lakini wanachukia kile mbowe na slaa wanakifanya cha kugeuza chama kampuni chama shetani chama cha kichagga

sasa zitto ameanza kuwafuata hukohuko makwao..utasikiakiliooooo muda si mrefu

kwa akili yako unadhani umeandika kitu kizuri sana.Ila ukweli ni kwamba huna tofauti na wale wapuuzi wanajidai kuchukia ubaguzi wa rangi huki wakifanya vitendo vya kibaguzi kwa wasio weusi.

Thambi yenu ya kibaguzi dhidi ya wachaga itawafanya wachaga waanze kuwa makini sana na watafanya kazi within circle zao na soon hao waliopata hela generation si kubwa mnarudi katk umasikini wenu kama kawa.Kwani kigoma ilianza leo inuka?Ujinga uliozamisha bagamoyo,kila, tanga na kwiengineko utawarudisha kulekule.
 
Mnafiki mkubwa huyo kazi kila kukicha kuropoka Urais ili CDM wapoteze lengo.Inabidi kila anakoenda ni lazima Kitengo cha intelejensia CDM kipeleke watu kumfuatilia.

Ivi kaka Zito kakufanya nini yaani unampinga hata kama anafanya mambo ya kuendeleza chama. Au wewe ni pandikizi la CCM
 
Cdm ni chama ambacho kwa muonekano wa nje ni kizuri sana, pale cdm ukimuondoa mbowe na slaa hiki chama ndio kitakuwa mkombozi wa mtz lakini sio sasa, nasikia pal makao makuu kama sio kaskazini wala usipeleke cv labda uwe kibaraka wa mbowe au slaa'

Hadi madereva ni wachaga na ukiangalia madereva wote wanaundugu na mkurugenzi wa fedha na utawala(antony komu)
 
Wanakaratu wamemuomba zitto akamwage sumu huko na baada ya hapo ni jimbo la hai kisha vunjo sasa tuone na nyinyi muende kigoma kama mutaeleweka na ukaskazini wenu.

Naomba akitoka karatu aende vunjo kwanza maana molemo alitia aibu sana kule.
Kura 2000 gawa kwa siku 90 za kampeni utapata ona jamaa kwa siku alikuwa anapata kura ngapi?
 
Umetoa tuhuma na nimekuomba ushhidi japo mdogo umeshindwa kuweka una baki kusema ni muulize Dr slaa!
Ingekuwa mahakamani wewe ungefungwa kwa kuidanganya mahakama.
Watch you words my dear,si kila kitu cha kuandika kisa unamchukia mtu!

Sina swali lingine mahana umeshindwa kuthibitisha tuhuma zako za kupika! Nime kusamehe kwa hilo.

Si lazima kupost unaweza kukaa kimya tu my dear!

Cdm hatuto gombana kwaajili ya urais!

ushahidi ni huyohuyo dr.slaa muulize familia ya shelembi inaendeleaje????anaweza akapatwa na presure ya kushuka..sio kiongozi huyo.asante mungu uliyeepusha taifa langu kuingia mikononi mwa slaa...tungelipoteza taifa letu
 
Hivi na kamanda wangu wa bills yuko wapi? Au anasugua cd USA alipokwenda na sugu?
 
Ivi kaka Zito kakufanya nini yaani unampinga hata kama anafanya mambo ya kuendeleza chama. Au wewe ni pandikizi la CCM

Zitto 2010 alimtengenezea molemo mabango bure 5000 akiwa anaenda kugombea ubunge vunjo.lakini yote kasahau.
 
Ivi kaka Zito kakufanya nini yaani unampinga hata kama anafanya mambo ya kuendeleza chama. Au wewe ni pandikizi la CCM

njaa inamsumbua huyu kijana,anaishi mjini kwakubeba mabegi ya mbowe na kumfungulia mlango wa gari pamoja nakupeleka majungu kwa babu.
 
pamoja sana ngongoseke hawa jamaa wanataka kuingiza nchi kwenye machafuko ya udini na ukabila.
Zitto ndio sululisho la yote.
Nyie magamba acheni u-mangungo, tangu lini mkeo akasifiwa na mume jirani yako kuwa anajua mambo? ukiona hivyo ujue kuku kaliwa, hapo hamna kitu. hongereni kuwasaidia cdm kujua kwa nini zito anakubalika na ninyi magamba
 
Wewe kweli mwana cdm na sisi magamba naomba utuskanie kadi yako ya cdm weka hapa tujue kweli una uchungu ma chama au na wewe ni msukule wa slaa au mbowe
 
Back
Top Bottom