Mnafiki mkubwa huyo kazi kila kukicha kuropoka Urais ili CDM wapoteze lengo.Inabidi kila anakoenda ni lazima Kitengo cha intelejensia CDM kipeleke watu kumfuatilia.
pole pole kamanda naona foma dazzle inakutoka mdomoni na puani kisa???HUYU HUYU DR.SLAA aliyemuoa dada yako Josephine>AU NI HUYU HUYU MBOWE anayekulipa mshahara wa kumbebea mabegi???
UKWELI NI KWAMBA RAIS WA NCHI YUPO KARATU ANAFANYA MKUTANO WA KUJENGA NA KUIMARISHA CHAMA
Cdm ni chama ambacho kwa muonekano wa nje ni kizuri sana, pale cdm ukimuondoa mbowe na slaa hiki chama ndio kitakuwa mkombozi wa mtz lakini sio sasa, nasikia pal makao makuu kama sio kaskazini wala usipeleke cv labda uwe kibaraka wa mbowe au slaa'
Lets us waiting..................!
Inamaana hata shule za kata ulishindwa kwenda? raisi tz ni lazima awe na miaka 40 na kuendelea, huyo raisi wako zito anayo mingapi?Duuuh..wewe dada umeichoka hii style ya mbowe na slaa???wameshazeeka njoo kwa vijana wenzako huku.
RAIS WA NCHI LEO YUPO KARATU ANAFANYA MKUTANO MKUBWA SANA..SLAA sijui kajifcha wapi
kwenye maelezo ya rais wangu amezungumzia kipengele cha umri,kama vipi rudi kasome waraka wake.inamaana hata shule za kata ulishindwa kwenda? Raisi tz ni lazima awe na miaka 40 na kuendelea, huyo raisi wako zito anayo mingapi?
Vp umeacha kazi tabora ili uwe unamtetea slaa jf?
Slaa aliuza nchi sio jimbo.Nasikia unaomba kazi ya uintelijensia wa chama ila maliza kwanza hio sapu?
Hivi Cheo cha uraisi chadema ni haki ya kudumu ya Mchungaji Slaa pekee au ni haki ya kila mwanachadema ??
aliyesema chadema inataka raisi ni lazima awe slaa ni nani? Tunachomlaumu huyu mkwe wa jk ni ku concentrate na issue ya kutangaza nia muda huu wakati alitakiwa aungane na wenzieeneza vuguvugu la mabadiliko. I guess huyu mwanadamu yupo katikati ya cdm na ccm kama makao makuu ya tanzania yalivyokuwa kati ya dodoma na dar. Kiukweli simpendi huyu dogo.
wanajulikana sana sema ni vigumu kuwagusa..lakini wewe wanakufahamu zaidi kuanzia jimboni,hadi hapo ulipo..nasikia leo josephine leo kakuachia rundo la nguo za ndani umfulie umemaliza???
Wana Karatu kama ataanza kuropoka mambo ya URAIS fukuzilieni mbali huyo msaliti.
Zitto Kabwe hatoshi kuwa Rais..sababu ni nyingi sana..wala sio swala la watu kujifikiria tu eti ana ndoto, unaweza kuota unaibahiyo nayo ni ndoto ila ndoto mbaya nadhan nae kaota atakua Rais ni ndoto mbaya akatambikie aachane na hayo mawazo...
Hakuna haja ya kuweka picha ambayo siyo ya tukio lenyewe eti unaweka "NB",what for?si usubiri hadi wakati ama baada ya mkutano ndo utuwekee hizo picha?
Pia unaweza kutuambia kuwa ni nani anagharamia mikutano yake hiyo?Kwasababu kama ni chama chake,basi sioni shida yoyote,ila kama siyo chama chake kinagharamia,then kuna watakaokuwa na maswali ya ziada...
Je ameandamana na kiongozi mwenzake yoyote yule?
Hakuna haja ya kuweka picha ambayo siyo ya tukio lenyewe eti unaweka "NB",what for?si usubiri hadi wakati ama baada ya mkutano ndo utuwekee hizo picha?
Pia unaweza kutuambia kuwa ni nani anagharamia mikutano yake hiyo?Kwasababu kama ni chama chake,basi sioni shida yoyote,ila kama siyo chama chake kinagharamia,then kuna watakaokuwa na maswali ya ziada...
Je ameandamana na kiongozi mwenzake yoyote yule?
Aliyesema chadema inataka raisi ni lazima awe Slaa ni nani? Tunachomlaumu huyu mkwe wa JK ni ku concentrate na issue ya kutangaza nia muda huu wakati alitakiwa aungane na wenzie kueneza vuguvugu la mabadiliko. I guess huyu mwanadamu yupo katikati ya CDM na CCM kama makao makuu ya Tanzania yalivyokuwa kati ya Dodoma na Dar. Kiukweli simpendi huyu dogo.