Zitto Kabwe ndani ya Karatu

Zitto Kabwe ndani ya Karatu

si wakanzishe chama cha kigoma wadini wakubwa nyie.Kama mnadhani mna allergy na wachaga kwanini msiwe na chenu watu wakubwa msio na ukubwa wa kifikra.

RIP chacha maige wangwe
 
Wewe kila siku nakwambia kibarua chako pale invisible chadema tv umemuachia nani?
Unapokea mshahara wa bure.
Kamata huyu.

as it begin, it also ends.

Harakati za ukombozi haziwezi kuzimishwa na mtu kama wewe koz ur still an idiot.
 
Zitto kabwe mwanaume wa kweli,mwanasiasa jasiri amewafuata huko huko chumbani kwenu..kama na nyie wajanja nendeni kigoma
usishangae kuona m4c inaishia iringa..hakua hata tone litakalo gusa kigoma
 
Ukitaka kujua zzk anatisha soma comment za pro slaa.

watu wana mhurumia na kutotaka hizi fujo.Hata ZItto mwenyewe kuna kitu kinamsuta ndio maana akajifanya chomekea kuwa hataki kuwa sehemu ya vikwazo vya harakati za ukombozi.Kwa kufanya hivyo ni kujaribu jenga tswira kuwa siye anaharibu.
 
naungana na zzk katika idea ya kujenga chama vijijini, lakini karatu chama tayari kimejengwa siku nyingi(labda kama amekwenda kubomoa)
namshauri zzk hayo mafuta ya kuendea karatu angetumia kujenga chama kule dodoma vijini na muleba.
mtaogopa sana kivuli cha zitto...subilini atakapo kuja hai..lazima mkae
 
pole pole najua amekugusa kunako mapenzi yako yalipo...Lakini ndio ukweli

off course umegusa ila si kama unavyodhani...mimi mapenzi yangu ni katika ukombozi na si kuona wtau duni kiasi hiki.

Ukweli upi sasa,kuwa watu wa kigoma ni wabaguzi na wenye chuki kwa wachaga?Mkajifunze mamabo yaney kufaa, otherwise mtarudi katik umasikini kama kawa.
 
umesha anza kujinyea hata kwenye huu uzi pombe ya ukanda itakufanya ukose hekima. Namkubali sana zitto zuber kabwe lakini mnataka kunilazisha kumchukia siwezi. Hamuwezi kutuma post zenu bila kuja na pombe ya ukanda na ukabila mlokunywa.

Endelea kumchukia...si haki yako ya kibinadamu.mapenzi yako peleka wa Josephine na slaa
 
Niwakati wa kukijenga chama si kuzungumzia swala la urais-zitto

ccm wasitegemee watanitumia kuivuruga cdm-zitto

zitto ni cdm lakini cdm si zitto-zitto


ujenzi wa chama unaendelea vikwazo vitakuwa vingi lakini mwisho ni ushindi.
 
Hivi Cheo cha uraisi chadema ni haki ya kudumu ya Mchungaji Slaa pekee au ni haki ya kila mwanachadema ??

Vipi huko CUF? Si bora hata huyo Slaa ndio kwanza hajamaliza hata term moja? Vipi wale masultani wenu miaka ishirini na ushee sasa ni wao tu kana kwamba hamna wengine. Prof. Safari alivyoonesha nia tu, adhabu ndogo zaidi aliyokatiwa ni kufukuzwa kwenye chama! ZZK anajinafasi ndani ya chama cha kidemokrasia; waonaje hapo?. Kweli nyani haoni nanihino lake.

COPY: His Highness, the Sultan, Sultanate of Zanzibar - CUF
COPY:
His Highness, the Sultan, Sultanate of Tanganyika - CUF
 
Mkuu tunaomba uweke picha hapo badae maka baada ya rais ajae kumaliza kutema madini!
Maana jamaa ni mgodi wa madini!
 
Wana Karatu kama ataanza kuropoka mambo ya URAIS fukuzilieni mbali huyo msaliti.

Wanakaratu wamemuomba zitto akamwage sumu huko na baada ya hapo ni jimbo la hai kisha vunjo sasa tuone na nyinyi muende kigoma kama mutaeleweka na ukaskazini wenu.
 
Kwakweli umempa haki yake!

Kazi yao ni kuchonganisha wana cdm!


Vipi huko CUF? Si bora hata huyo Slaa ndio kwanza hajamaliza hata term moja? Vipi wale masultani wenu miaka ishirini na ushee sasa ni wao tu kana kwamba hamna wengine. Prof. Safari alivyoonesha nia tu, adhabu ndogo zaidi aliyokatiwa ni kufukuzwa kwenye chama! ZZK anajinafasi ndani ya chama cha kidemokrasia; waonaje hapo?. Kweli nyani haoni nanihino lake.

COPY: His Highness, the Sultan, Sultanate of Zanzibar - CUF
COPY:
His Highness, the Sultan, Sultanate of Tanganyika - CUF
 
off course umegusa ila si kama unavyodhani...mimi mapenzi yangu ni katika ukombozi na si kuona wtau duni kiasi hiki.

Ukweli upi sasa,kuwa watu wa kigoma ni wabaguzi na wenye chuki kwa wachaga?mkajifunze mamabo yaney kufaa, otherwise mtarudi katik umasikini kama kawa.

watanzania wote wenye akili timamu wanakisapoti chadema..lakini wanachukia kile mbowe na slaa wanakifanya cha kugeuza chama kampuni chama shetani chama cha kichagga

sasa zitto ameanza kuwafuata hukohuko makwao..utasikiakiliooooo muda si mrefu
 
Molemo naona ushatokwa povu,
Punguza presha maana rais ajae zitto kawadhamiria kwelikweli dah!mpaka karatu,
Kweli zitto ni namba ingine.
Zuieni basi asifanye mkutano kama mna uwezo!
Maana si ndio kazi yenu.
Tunajua mnajificha m4c kwakuwa hamna uwezo wakusimama nae jukwaa moja.
Mtaipata nawaambia,kibarua chako kiko hatarini kuwadi wa uzandiki!
Kama nia ameshatangaza atangaze mala ngapi?
Pigeni simu wamfukuze kama mnaweza.
Hahahaaa!pole mbeba mabegi !
Magamba mnaongea kama vile mnauwezo wa kungia kwenye kikao cha Halmashauri kuu ya CDM na kuteua jina la ZZK kuwa mgombea wa Urais hapo 2015 huyp kijana mnataka mumpoteze kama akina Masumbuko Lamwai.
 
Mkuu tunaomba uweke picha hapo badae maka baada ya rais ajae kumaliza kutema madini!
Maana jamaa ni mgodi wa madini!

Bado rais hajaanza kuhutubia ila muda si mrefu anaanza atahutubia na picha zitawekwa.
 
We mwehu nini,tushakwambia m4c maana yake ni movement for chaggaz ,sasa zitto na m4c wapi na wapi?
Kati ya hiyo m4c yenu mnayoiabudu na zitto nani kamkuta mwenzie kwenye harakati?
M4c ni mradi wa wachagga kuwaibia watanzania na ndio maama lema alikimbia na hela za m4c.
Poor you!
Muache rais wa nchi ajae afanye kazi!
Mmesha maliza kusimika NEC ya kifalme sasa mmesahau na kuanza na Chadema tena .Mmesha chelewa kabisa na propaganda za kijinga
 
mtaogopa sana kivuli cha zitto...subilini atakapo kuja hai..lazima mkae

huu ukabila sijui utawasaidia nini nyie.Utumwa wa mwarabu kigoma uliwaachia dhambi mbaya.Cycle ya umasikini itawarudia despite huu ujinga.
 
Back
Top Bottom