Zitto Kabwe ndani ya Karatu

Zitto Kabwe ndani ya Karatu

Ninawadharau watu Humu ndani ambao mnajidai mnaipenda sana chadema kuliko zitto , wengi wenu ni wanafiki tu kuanzia kina Heche na vijana mnaotokwa povu Muda wote, zitto ndio kijana aliyefanya chadema ikapendwa na vijana wasomi kipindi ambacho chama kina rudhuku ndogo, yeye na wenzake wachache wametumia pesa Yao ya mfukoni kuzunguka Huku na huko hadi chama Leo kimesimama ndio unaona hao kina Heche, Mrema na wenzao wasiokuwa na kazi wanasafiria nyota ya chadema kuimarika, embu ondoa posho za safari na chakula uone Kama Heche na Kigaila wataenda Minoani.

msifanye ushabiki wa bila haja, embu niambieni ni wabunge wapi wa viti maalumu wa CDMA toka Bunge lililopita Mano, grace kiwelu, owenya na Suzan Lyimo, na kale kabinti kigoma ambao Unaweza sema wamekisaidia chama zaidi ya kuwa Kama viti maalumu ccm kushindana mavazi na kusafiri nje ya NChi.

namalizia kwa kusema vijana Humu JF baadhi ni mbumbumbu mnaendeshwa kwa hisia za ushabiki bila haja, maw acheni zitto afanye kazi ya siasa ndani ya chadema Kama wana chama watamwamini Wakati wa mkutano mkuu na kumpendekeza kuwa mgombea atagombea tu, msijidai chadema ni Mali yenu na man hati Miliki nayo, wengine mmejiunga Leo kwa tamaa za ubunge shame on you bastards.
 
magamba mnaongea kama vile mnauwezo wa kungia kwenye kikao cha halmashauri kuu ya cdm na kuteua jina la zzk kuwa mgombea wa urais hapo 2015 huyp kijana mnataka mumpoteze kama akina masumbuko lamwai.

kwani zitto kakwambia nini wewe???jina lake likipitishwa na chama atagombea..lisipopitishwa atamsapoti atakaye pitishwa...
 
Zitto kabwe mwanaume wa kweli,mwanasiasa jasiri amewafuata huko huko chumbani kwenu..kama na nyie wajanja nendeni kigoma
usishangae kuona m4c inaishia iringa..hakua hata tone litakalo gusa kigoma

TATIZO NDO HILI HAMFIKIRI MBALI........NI NANI KAKUAMBIA ZZK AMESHAPATA URAIS UNAANZA KUSHANGILIA, akili zingine bhana. Mlisema CHADEMA NI CHA UKANDA SASA ZITTO KUSEMA ANATAKA URAIS POVU LINAWATOKA MANENO YENU MMEYASAHAU
 
Magamba mnaongea kama vile mnauwezo wa kungia kwenye kikao cha Halmashauri kuu ya CDM na kuteua jina la ZZK kuwa mgombea wa Urais hapo 2015 huyp kijana mnataka mumpoteze kama akina Masumbuko Lamwai.

Kamati kuu ya chadema kwa sasa iko kiukoo zaidi lakini mwakani kuna uchaguzi na nikung'oa ukoo wote na kuwa na chadema huru na kamati kuu huru.
 
Sito uliza umri! Wewe kweli kwa maneno haya una huwezo wa kuwa msuluhishi?

Tuwe wakweli huwezi kufanya lolote zaidi ya kupika habari za uchochezi na majungu!

Salama mkuu,Natokea shinyanga muda huu,,Kuweka mabo sawa kwenye familia ya marehemu SHELEMBI kusuruhisha swala la pesa za msiba alizo kula Dr.slaa
 
huu ukabila sijui utawasaidia nini nyie.Utumwa wa mwarabu kigoma uliwaachia dhambi mbaya.Cycle ya umasikini itawarudia despite huu ujinga.

Wewe umetumwa na wamachame na ujasiliamali wa kisiasa kwa zitto lazima mkae na mtaendelea kunywa mbege hapo kikaoni vyenu.
 
Kwani uongo??dr.slaa na wenzake wamehujumu fedha za msiba wa shelembi mzigo wote ameubeba shibuda anasomesha watoto,,anatunza familia

dr.slaa hafai kuwa kiongozi anamambo ya chinichini mengi ambayo ni hatari kwa taifa
sito uliza umri! Wewe kweli kwa maneno haya una huwezo wa kuwa msuluhishi.

Tuwe wakweli huwezi kufanya lolote zaidi ya kupika habari za uchochezi na majungu!
 
wanaoleta aukanda siku zao zinahesabika ndani ya chama,,,chadema huru hiyooo inakuja.wachagga piga chini..watanzania watachukua chama chao.

Zitto yupo karatu muda huu anafayanya kutano jikoni kwa dr.slaa...kama slaa anaweza aende kigoma

Wewe akili umeziweka pembeni....... Naona unaongea pumba tu humu, Dr Slaa kwani ni chama gani? Ashindwe kwenda yeye si mroo wa madaraka ni mroo wa mabadilliko

MTU UNAYEMPIGIA ZOGO HANA HATA RIDHAA YA CHAMA
 
Naungana na zzk katika idea ya kujenga chama vijijini, LAKINI karatu chama tayari kimejengwa siku nyingi(labda kama amekwenda kubomoa)
Namshauri zzk hayo mafuta ya kuendea karatu angetumia kujenga chama kule dodoma vijini na muleba.

Mbona Lema na slaa huwa wanahutubia arusha kwa hio arusha mjini hakuna chama?
 
propaganda zenu na cuf zimegonga mwamba sasa......naona umeshakimbia cuf

pole pole kamanda,au huju kuwa tupo karatu leo kwa mme wa josephine tunafanya kweli???
Slaa hana hamu kabisa,,,haamini ujasiri wa zitto kuingia ikulu yake bila hata kubisha hodi
 
sina chakuongeza mkuu nadhani wamekuelewa,udini + ukanda= cdm

hiyo hesabu yako nimeikubali sna....big up

lakini mpago wa sasa ni vita ya kupigania chadema huru..wachagga wakati wao upo kwenye nukta
 
Ikifika wakati wa kumpata rais, zitto atagombea na kama akipitishwa hakuna shida!

Huo ukanda ndio mnaongea ninyi maana mmekosa vya kuongea!

Cdm hatutogombana kwaajili ya urais-zitto

zitto hana fikra za kwenu ana jua fika cdm ni sehemu ya demokrasia hilo hana shaka nalo.

Sijui lipumba ni lini atawapa wenzio nafasi?

Kazi yenu ni kumpachika mtu maneno ili kumgombanisha na wana cdm!

Ccm wasitegemee watanitumia mimi kuivuruga cdm-zitto.

Wajinga hao wamezoea kuwekana wakaskazini sasa safari hii ni zamu ya kigoma.
Watake wasitake.
Waulize mbowe keshagombea akashindwa,slaa nae pia akachemka,
Sasa kinachowasumbua wasimpe zitto nae atupe karata zake ni nini kama sio dhambi ya ukanda na udini?
 
Mnafiki mkubwa huyo kazi kila kukicha kuropoka Urais ili CDM wapoteze lengo.Inabidi kila anakoenda ni lazima Kitengo cha intelejensia CDM kipeleke watu kumfuatilia.
Mkuu acha jazba, nenda kamsikilize ukipewa nafasi muulize yote yaliyo moyoni mwako. Jamaa anamikakati mizuri na anachofanya kina harufu nzuri.
 
Weka basi ushahidi zaha kwani kuongea maneno matupu kiasi hiki kwa nini tusiseme ni chuki binafsi zinazo kutafuna?

Little evidences would support your accusations!

Kwani uongo??dr.slaa na wenzake wamehujumu fedha za msiba wa shelembi mzigo wote ameubeba shibuda anasomesha watoto,,anatunza familia

dr.slaa hafai kuwa kiongozi anamambo ya chinichini mengi ambayo ni hatari kwa taifa
 
wewe akili umeziweka pembeni....... Naona unaongea pumba tu humu, dr slaa kwani ni chama gani? Ashindwe kwenda yeye si mroo wa madaraka ni mroo wa mabadilliko

mtu unayempigia zogo hana hata ridhaa ya chama
najua nimekukeketa sana pole sana dada yangu...ndio utamaduni wetu wa masaai

dr.slaa muulize kwa nini anaogopa kwenda kigoma na mpada kwa makamu mwenyekiti wa chadema taifa???

Anaona ni bora akae atunze penzi la josephine kuliko kwenda kwa zitto au mpanda
 
Viva CDM, kina pro SSM wanatema mapovu kama mtu aliyekunywa DDT!!! Zitto hana mvuto CDM na ndiyo maana hakuna anayehangaika naye!!! Anapoteza muda ili itimie 2015 na kisiasa dondosha!! Mpokeeni kwenu, si mwanachama wenu namba 5,000,009. Ha ha ha ha !!!
 
Back
Top Bottom