Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,777
- 11,259
Siku akirudi kutoka wapi mkuu?Endeleeni kuhangaika siku akirudi mtashika nyusho zenu kwa aibu kuu
Siku akirudi kutoka wapi mkuu?Endeleeni kuhangaika siku akirudi mtashika nyusho zenu kwa aibu kuu
Amesema wametoa kauli zenye kukanganya zaidi kuliko kuondoa taharuki. Rejea kauli ya VP akiwa Tanga ndio ilizidi kuleta minong'ono kuliko kutuliza.So contradictory!
Zitto unasema Viongozi wa juu wako kimya, wakati huo huo unasem PM ametoa kauli, pia VP ametoa kauli. Sasa hapo issue ni ukimya wa viongozi, au huwaamini?
Pia unataka serikali itoe maelezo. Nani tena atoe maelezo ikiwa Mkuu wa shughuli za serikali ameshatoa kauli?
Usizunguke mbuyu, issue uitakayo ni rais kujitokeza hadharani.
".....huko alipo" ina maana hajulikani alipo sio? Mkuu mbona wananchi tumezoea siku zote kujua kama mhe. Rais yupo Dodoma ama Dar ama Chato lakini safari haijulkani ndo maana unaona kelele zimeibuka.Huyu naye, eti rais anaumwa, uumwe mwenyewe! Mungu aendelee kumlinda rais wetu mpendwa Mh Dr JPM huko alipo! Na ninyi jichanganyeni tu muone atakapowatokea gwafla na kubwabwaja kwenu!
Hivyi vipengele vya katiba wote tunavijua, lakini hawina kazi kwa sasa maana rais wetu yupo salama na buheri wa afya!
Waziri wa Afya wa Znz ni ACT umeona amekiri kuwa kuna corona?Unaweza ukawa rahisi mengine makubwa usiyaone ndomana ilifikiwa hapo ,kwani ccm inaweza ikawa na washauri woga wasikwambie ukweli,upande wapili ukakusaidia.mfano corona IPO unasema haipo mwisho wasiku inakukamata na kukufundisha mwenyewe
Jamaa wa DW wanakuitaga mchambuzi kumbe hamna kitu kabisa watu wanamuulizia Rais sio Magufuli urais ni zaidi ya Magufuli...hata kama watu hatukumchagua nec ambao ndio wenye mamlaka kwa Katiba hii mbovu ndio wamemtangaza kuwa Rais so ana dhamana ya Nchi sio kikundi cha wajinga wanaodhani urais ni hatimiliki ya Magufuli ni ujinga! hakuna mtu anaeweza kufanya kazi ya Rais bila kupewa mamlaka kisheria Samia hawezi kufanya maamuzi yoyote ya urais japo yeye ni makamu so muwe mnaondoa utando wa ujinga kwa vitu vidogo hivi...Nchi ikiporwa au kuvamiwa Rais ndio atawajibika so wanaotaka kujua Rais yuko wapi ni kwa maslahi mapana ya Nchi kama afya imekuwa mbovu wasaidizi wapewe mamlaka kisheria yakufanya kazi ya Rais jielimisheni
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Hauna point kabisa bossZitto tuliza mshono, subiri utakapokuwa mbunge tena 2025, ukitoboa utahojj yote hayaa!
Kwa kifupi, inaonekana mhe. amepata shida, na ni jambo la kawaida kwa mwanadamu.Yani aanze ziara ambazo hakuwa na ratiba ya kuzifanya ili nyie mumuone?
Wewe mwenye point mbona hujaitoa, Andika yako tuone!Hauna point kabisa boss
Mimi binafsi naona mtoa mada hajaridhika na majibu ya Makamu wa Rais and Waziri Mkuu. Atulie mambo yapo salama na Rais popote alipo bana yupo in control of the state otherwise hizo hatua anazozisema zingekuwa zimechukuliwa. Uongozi wa juu wa nchi wanazijua vifungu hivyo vya katiba vyema tu. Tuondoe hofu upo mikononi vya viongozi makini.
Sidhani kama unajua ulichoandika!Zitto bhana! Uambiwe na nani sasa hali ya Rais?
Waziri mkuu kasema yuko fiti
Makamu Rais kasema rais yuko fiti
Unataka uambiwe na nani sasa?
Huu upumbavu kumbe hadi kwa wasomi upo?
Hamna kitu hapo ni upumbavu mtupuSidhani kama unajua ulichoandika!
Ungemsoma Zitto kisha ujipe muda wa kulitafakari andiko lake kabla ya kukurupuka
No hata kama Waziri Mkuu kasema na Waziri Mkuu kwamba Rais yuko salama lakini mazingira yanaonyesha kwamba lipo jambo ambalo halipo sawa mkuu. No we need clarification, hili liko wazi.Zitto bhana! Uambiwe na nani sasa hali ya Rais?
Waziri mkuu kasema yuko fiti
Makamu Rais kasema rais yuko fiti
Unataka uambiwe na nani sasa?
Huu upumbavu kumbe hadi kwa wasomi upo?
Wewe hupendi dili?!Au tumpatie zitto kabwe kwa wiki moja tu uraisi,sipati picha atakavyo piga dili za madini
Sio ujinga mkuu ndio kazi yao na wanaifanya kikamilifu, pata picha wasingekuwepo sisi tungekuwa katika hali gani na mali zetu.Naww unaamini huu ujinga kwamba Polis wanalinda Raia na mali zao
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app