Zitto Kabwe: Nani anaongoza nchi yetu?

Zitto Kabwe: Nani anaongoza nchi yetu?

Transition inatakiwa iweje,kuna hafla inatakiwa ifanyike kuna viapo vipya?Inawezekana anayehusika kesh dhika usukani.Tuzikibali kauli za viongozi waliopo kila kitu ni shwarina turndelee na yetu
Ni kweli kabisa ndugu kila kitu kinaonekana kuwa shwari na tunaendelea na maisha yetu Kama kawaida.
Tatizo ni mshituko tunaopata tunaposkia fununu kutoka kwa viongozi wetu wa upinzani. Hatuwezi kuwapuuza kwasababu wana dhamana kubwa sana, ukizingatia ni viongozi wa juu kabisa kutoka vyama vikuu vya upinzani nchini.
 
Hao viongozi wa upinzani ni chenga tu wapuuze, walikwambia kapelekwa Nairobi then India, baadae wakageuka wakasema yupo hapahapa, baadae wakadai amekufa. Sasa hivi wanasema ana stroke bado unaendelea kuwaamini na kuwasikiliza tu!?.. kwanini usimuamini Majaliwa aliyesema moja tu kuwa yupo salama anaendelea na majukumu yake!?.. Au pengine unasubiria utangaziwe mabaya!?.. endelea na shughuli zako nchi iko shwari.
 
Kuna taarifa zinasema atajitokeza mwaka 2025 Siku ya uchaguzi. Tuendelee kuchapa kazi.
 
Hao viongozi wa upinzani ni chenga tu wapuuze, walikwambia kapelekwa Nairobi then India, baadae wakageuka wakasema yupo hapahapa, baadae wakadai amekufa. Sasa hivi wanasema ana stroke bado unaendelea kuwaamini na kuwasikiliza tu!?.. kwanini usimuamini Majaliwa aliyesema moja tu kuwa yupo salama anaendelea na majukumu yake!?.. Au pengine unasubiria utangaziwe mabaya!?.. endelea na shughuli zako nchi iko shwari.
Ndio, mimi naendelea kuwaamini na kuwasikiliza viongozi wetu
Ili nimuamini Manaliwa itabidi mhusika ajitokeze hadharani nimuone kwa macho akichapa kazi kama kawaida yake
Hilo la kutangaziwa mabaya sijui umelitoa wapi, naona unajishuku
Naendelea na shughuli zangu kama kawaida na mojawapo ni kufwatilia mwenendo wa siasa za nchi yangu
 
Mimi nafikiri wanajaribu kuvuta muda tu kuitekeleza hyo ibara ya 37(3) ili hata kama anaumwa aweze pata nafuu,halafu katika hyo ibara haijasema ktk kipindi ani akiumwa aweza kupewa mtumwinine madaraka sasa ni wiki ya pili au tatu hajaonekana labda tusubiri zaidi atatokea
Wewe nani kakuambia anaumwa wakati wahusika wanadai kuwa Mh. yupo fiti anachapa kazi. Hicho kifungu cha 37 hakina kazi kwa sasa kama mtu yupo anafanya kazi za ofisini kwake.
 
Ndio, mimi naendelea kuwaamini na kuwasikiliza viongozi wetu
Ili nimuamini Manaliwa itabidi mhusika ajitokeze hadharani nimuone kwa macho akichapa kazi kama kawaida yake
Hilo la kutangaziwa mabaya sijui umelitoa wapi, naona unajishuku
Naendelea na shughuli zangu kama kawaida na mojawapo ni kufwatilia mwenendo wa siasa za nchi yangu
Wewe utakuwa kama Thomaso wa Bibilia Takatifu
 
Huyu Zitto anatumia fursa kutambulisha kuwa na yeye bado yupo yupo!! Wachovu wa kisiasa utawajua tu!!
 
kwa hiyo unataka kuwaambia nini umma wa watanzania wenye shauku ya kujua Rais wao aliko kwa hizi wiki mbili na ushee with no seen.
Wapi imeandikwa kwamba lazima Rais aonekane hadharani au ikipita wiki mbili hajaonekana basi atafutwe alipo.
 
Mkitaka kujua Rais yu wapi hakuna haja ya kutumia nguvu kubwa😂🤣😀
Ombeni ugeni mkubwa wa Rais eg India, chancellor ujerumani ama waziri mkuu wingereza au hata Baba mtakatifu aje Tanzania tuone ni protocol ipi itazingatiwa kumkaribisha Kati ya mgeni wetu pendwa noted
Najaribu kuwaza kwa sauti🤣🤣🤣😂😅😅
Noma sana
 
Nyinyi wahuni mbona Makamo wa Rais na Waziri Mkuu walishalitolea ufafanuzi hili mnataka Serikali gani itoe tamko?
 
Back
Top Bottom