Zitto Kabwe na siri ya watekaji wa msaidizi wake

Bunge mtunga sheria anaajiri raia wa kigeni kuwa Msaidizi wake kwenye chama bila kibali, anampa Password yake ya Mitandao ya Kijamii anakuwa moderater wa account ya mitandao ya kijamii anatukana vya kutosha Serikali, halafu wanafanya mpango wanamficha baada ya siku tatu wanajitokeza kuwa katekwa.

Mwanasiasa anawatangazia Umma kuwa Msaidizi wangu raia wa kigeni katekwa na Vyombo vya Dola na Watanzania tunaanza porojo zetu na story zetu za kahawa kwenye social media.

Baada ya siku moja baadae ileile social media account iliyotutangazia kutekwa kwa Mkenya inajitokeza kututangazia mwenye account anaunga mkono Serikali ya Awamu ya tano na kuhusisha wanasiasa vijana mashuhuri ndani ya Chama Cha Mapinduzi.

Jioni yake mwenye account anajitokeza kwenye social media anadai waliyomteka msaidizi wake Mkenya Ndiyo waliyopost na Mkenya huyo anamiliki password ya account yake.

Hatujakaa sawa mwanasiasa anapiga simu kwa Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa anataka kwenda kutoa siri ya Watekaji make yeye ana taarifa ya Watekaji.

Sasa jiulize kwanini kama Zitto Kabwe ana taarifa ya Watekaji asipeleke kwa Mkuu wa Jeshi Polisi nchini au akafungue kesi mahakama Kuu?

Yaani unaenda kutoa Taarifa ya Watekaji kwa Mkuu wa Taasisi unayoituhumu kuteka siasa za bongo raha sana.
USHAURI KWA FAMILIA YA MKENYA.
Kwanza wampige Zitto Kabwe marufuku kutumia kutoonekana kwa huyu Mkenya kufanya sarakasi ya Kisiasa.

Suala la kumtafuta huyu Bwana Mkenya ifanywe na familia kwa kushirikiana na Ubalozi wa kenya hapa nchini.

Ili la mwanamke kuhusika inaweza isiwe na umuhimu sana lakini inawezekana pia Kwani haya mambo uwa yanatokea.

Kwakuwa Zitto Kabwe ametangazia Umma Jeshi la polisi isimkamate Kwasababu anachofanyaZitto ni kutaka kukamatwa na Vyombo vya Dola ili atoe mashtaka kwa Mabwana zake huko Germany.
Umeegemea upande mmoja
 
Mimi nasikitika sana haya Matukio ya utekaji yanashika hatamu na hii inafanya vidole vingi kuelekezwa serikalini na kumchafua Rais wetu mpenda ndugu John Pombe Magufuli. Naomba vyombo vya dola vikomeshe vitendo hivi.
Bunge mtunga sheria anaajiri raia wa kigeni kuwa Msaidizi wake kwenye chama bila kibali, anampa Password yake ya Mitandao ya Kijamii anakuwa moderater wa account ya mitandao ya kijamii anatukana vya kutosha Serikali, halafu wanafanya mpango wanamficha baada ya siku tatu wanajitokeza kuwa katekwa.

Mwanasiasa anawatangazia Umma kuwa Msaidizi wangu raia wa kigeni katekwa na Vyombo vya Dola na Watanzania tunaanza porojo zetu na story zetu za kahawa kwenye social media.

Baada ya siku moja baadae ileile social media account iliyotutangazia kutekwa kwa Mkenya inajitokeza kututangazia mwenye account anaunga mkono Serikali ya Awamu ya tano na kuhusisha wanasiasa vijana mashuhuri ndani ya Chama Cha Mapinduzi.

Jioni yake mwenye account anajitokeza kwenye social media anadai waliyomteka msaidizi wake Mkenya Ndiyo waliyopost na Mkenya huyo anamiliki password ya account yake.

Hatujakaa sawa mwanasiasa anapiga simu kwa Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa anataka kwenda kutoa siri ya Watekaji make yeye ana taarifa ya Watekaji.

Sasa jiulize kwanini kama Zitto Kabwe ana taarifa ya Watekaji asipeleke kwa Mkuu wa Jeshi Polisi nchini au akafungue kesi mahakama Kuu?

Yaani unaenda kutoa Taarifa ya Watekaji kwa Mkuu wa Taasisi unayoituhumu kuteka siasa za bongo raha sana.
USHAURI KWA FAMILIA YA MKENYA.
Kwanza wampige Zitto Kabwe marufuku kutumia kutoonekana kwa huyu Mkenya kufanya sarakasi ya Kisiasa.

Suala la kumtafuta huyu Bwana Mkenya ifanywe na familia kwa kushirikiana na Ubalozi wa kenya hapa nchini.

Ili la mwanamke kuhusika inaweza isiwe na umuhimu sana lakini inawezekana pia Kwani haya mambo uwa yanatokea.

Kwakuwa Zitto Kabwe ametangazia Umma Jeshi la polisi isimkamate Kwasababu anachofanyaZitto ni kutaka kukamatwa na Vyombo vya Dola ili atoe mashtaka kwa Mabwana zake huko Germany.
Rubbish mutlaq
 
Uchambuzi mujarabu
 
Nilishasema nyuma hapo,zitto siasa anazofanya siku hizi ni michezo tu aonekane mpinzani yupo na anaonewA apate ruzuku yake.
Selfish na hajali damage zingine zitazotokea international.
 
Kwenye kundi la wa.pumbavu wengi ukiwa na MAARIFA wewe mwenye MAARIFA ndo unaonekana mp.umbavu.
Zitto Kabwe anaonekana hivyo kwakuwa yuko katikati ya wapu.mbavu wengi kama huyu mleta huu uzi Frey Cosseny.
Jitu kubwa kama tembo lakini Ubongo mdogo kama wa sisimizi halijiulizi hata ni kwa namna gani mtu anaweza kutekwa Dar es Salaam na baadaye kuvushwa nje ya mipaka yetu bila vyombo vya Dola yetu kujua! Kama vyombo hivyo havihusiki basi hilo tu ni tusi kubwa sana kwao.
Achana na hivyo tu, mtu anatekwa karibu na nyumba ya Makamu wa rais kwenye barabara ya kwenda kwa Waziri mkuu
 
Bunge mtunga sheria anaajiri raia wa kigeni kuwa Msaidizi wake kwenye chama bila kibali, anampa Password yake ya Mitandao ya Kijamii anakuwa moderater wa account ya mitandao ya kijamii anatukana vya kutosha Serikali, halafu wanafanya mpango wanamficha baada ya siku tatu wanajitokeza kuwa katekwa.

Mwanasiasa anawatangazia Umma kuwa Msaidizi wangu raia wa kigeni katekwa na Vyombo vya Dola na Watanzania tunaanza porojo zetu na story zetu za kahawa kwenye social media.

Baada ya siku moja baadae ileile social media account iliyotutangazia kutekwa kwa Mkenya inajitokeza kututangazia mwenye account anaunga mkono Serikali ya Awamu ya tano na kuhusisha wanasiasa vijana mashuhuri ndani ya Chama Cha Mapinduzi.

Jioni yake mwenye account anajitokeza kwenye social media anadai waliyomteka msaidizi wake Mkenya Ndiyo waliyopost na Mkenya huyo anamiliki password ya account yake.

Hatujakaa sawa mwanasiasa anapiga simu kwa Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa anataka kwenda kutoa siri ya Watekaji make yeye ana taarifa ya Watekaji.

Sasa jiulize kwanini kama Zitto Kabwe ana taarifa ya Watekaji asipeleke kwa Mkuu wa Jeshi Polisi nchini au akafungue kesi mahakama Kuu?

Yaani unaenda kutoa Taarifa ya Watekaji kwa Mkuu wa Taasisi unayoituhumu kuteka siasa za bongo raha sana.
USHAURI KWA FAMILIA YA MKENYA.
Kwanza wampige Zitto Kabwe marufuku kutumia kutoonekana kwa huyu Mkenya kufanya sarakasi ya Kisiasa.

Suala la kumtafuta huyu Bwana Mkenya ifanywe na familia kwa kushirikiana na Ubalozi wa kenya hapa nchini.

Ili la mwanamke kuhusika inaweza isiwe na umuhimu sana lakini inawezekana pia Kwani haya mambo uwa yanatokea.

Kwakuwa Zitto Kabwe ametangazia Umma Jeshi la polisi isimkamate Kwasababu anachofanyaZitto ni kutaka kukamatwa na Vyombo vya Dola ili atoe mashtaka kwa Mabwana zake huko Germany.
Ujinga mtupu
 
Aliyesoma huu ugoro anipe summary.
 
Political mass propaganda at its lowest level. Ni idara muhimu sana kwa chama chochote, bahati mbaya wanao wekwa siku hizi ni taka zisizofaa hata kwa recycling.
 
Hizi story zenu za ajabu kweli....

Kama unachokifikiri ni sahihi, kwamba, Zito kamteka huyo bwana na kisha kuanza kufanya unachokisema "kuichafua serikali!!????"......Huyo Zito yuko Somalia kwani? Si yuko nchini na leo alikuwa kajaa tele ofisini kwake akitoa tamko? Mnamwogopa??

By the way, si huyo mkurugenzi wa usalama wa taifa angeshamtaarifu IGP mara moja kumtia nguvuni Zito saa na siku ileile aliyofika ofisini kwake?

Matendo ya kuteka na kutekwa watu yamezidi sana chini ya utawala huu, yet serikali na vyombo vya usalama havifanyi lolote kukomesha matendo haya, shida iko wapi?

Watu ku - insinuate kuwa usalama wa taifa waliovalishwa magwanda ya kijani ya CCM ndiyo wahusika wa upuuzi huu, nani atabisha?

Na hivi mnaposema Zitto kafanya hili "ili kuichafua serikali" mnakuwa na maana gani? Na ni serikali gani iyo inayochafuliwa? Hii hii chini ya Bwana Pombe na CCM ya Magufuli?

Aisee, wewe lazima utakuwa na matatizo upstairs na umeamua kwa makusudi kabisaaaa kututania wanajukwaa, siyo bure!!

Hivi inawezekana vipi serikali inayojiharishia na kujipaka kinyesi yenyewe kwa matendo yake maovu na ya hovyo kama kutenda mambo kinyume cha katiba na sharia, yet ichafuliwe na mtu mwingine tena???

Please,give us a break!!.

Pelekeni upuuzi wenu huu hukohuko kwenye corridor za Lumumba!!
Mkuu, Labda wanataka tuanze kufikiri kwamba "SERIKALI ILISHAJICHAFUA SASA WANAISAIDIA KUJIPAKA NAJISI KWA MALIPO KIDOGO...."
 
Sisiemu ina mambumbumbu watupu kichwani.
kama serikali inayajua hayo yote kwanini isimuumbue zitto kwa kuwakamata watekaji?? haiwezi simply kwakua yenyewe ndio watekaji au kama sivyo basi ni serikali DHAIFU, watu wanatekana na kuisingizia serikali alafu yenyewe imezubaa tu? acha porojo.
 
Yaani nashangazwa sana na viongozi wetu wa upinzani, inakuwaje mshauri wako anakua mtu wa nchi nyingine??? Uzalendo uko wapi??

Kwanini kila jambo la upinzani lazima walihusishe na watu wa nje ya Nchi??

Mnataka kutuuza??
 
Huyu mtu anayajua mengi nyuma ya genge lao.

Akaja hapa "kuipiga msasa" serikali dhalimu.

Siamini polisi wanaye mikononi mwao , kama yupo watuonyeshe picha na video.
 
Back
Top Bottom