Zitto Kabwe: Msimlinganishe Bernard Membe na Edward Lowassa

Zitto Kabwe: Msimlinganishe Bernard Membe na Edward Lowassa

wanasiasa wana tabia za kimalaya hawana msimamo bahati nzuri tunaopiga kura ni sisi tunawajua vizuri wote wanafanana kitu kimoja wanakuja upinzani si kwa sababu wanapenda mageuzi bali waliamini kuwa wanastahili kuwa marais wa Tanzania na kwa sababu wapinzani wenyewe akili zao kama za kina Zitto wanajithidi kuwapamba waoneka wanamageuzi.
Zitto alikuwa anadai muda mrefu anataka kuwa mgombea urais kinachomzuia sasa hivi ni nini wakati umri unamruhusu au kwa sababu kipindi kile alikuwa anatumiwa kuvuruga upinzani?
Wacha BM aingie ili anayejiona kuwa yeye ni jiwe atupigie magoti kuomba kura zetu na hatutampa.

Aliwatukana wananchi wa Masasi na Nachingwea kuwa ni wapumbavu. Basi na akatukane tena kwenye kampeni wakati kaka yao BM akiwa mgombea kupitia upinzani.
 
Hahahahah KUMEKUCHA
I knew it
Membe - ACT
ACT+Chadema= Tutawajulisha
Yaani hata hamjitambui nyie, can't you opposition see that Membe is a puppet, and so is Zitto? Kweli nchi hii haipigi hatua kisiasa coz upinzani umejaa viazi.
 
Zito hana ujanja lazima akubali masharti ya Membe. ACT ni chama kilichoundwa kwa ufadhili wa JK, Membe, Mwigulu nk. Na lengo lilikuwa ni kupambana na cdm. Baada ya Magufuli kuingia madarakani amekata supply yote ya kundi la kina JK, Membe nk. Hapo ndio uadui wa Zito na serikali ya ccm chini ya Magufuli ulipoanzia.

Zito anajua fika cdm ndio yenye wapiga kura wengi wa upinzani, kutokana na ukweli huu, Membe anamuagiza Zito kuwashawishi cdm ili waungane kisha Membe awatumie wapinzani kama ngazi. Ila tatizo liko kwetu sisi wapiga kura hasa wa cdm, kwani bado tunaugulia uhuni wa Lowassa, na hatuko tayari kurudia kosa. Na tumeapa kuwa hatuko tayari tena kusupport muhuni yoyote toka ccm...
Mkuu tindo ,uliyoyaandika yote ndio hali halisi. Mungu Mwenyezi akubariki sana sana na kongole sana sana kwa kuliona hili.
 
Huu ni ujinga wa vyama vya upinzani, yaani wanaona Membe ndio mpinzani wa kweli wa zaidi ya watu wote waliotia nia ya Uraisi TZ.

Kwa maoni yangu Membe anafanya mchezo wa maigizo ambao Zitto anaujua au hajui lakini wako kwenye scene moja.
 
Binafsi zito Nina wasi wasi nae mnooo. Kwanini anang'ang'ania Sana kumleta huyo bwana upinzani?. Mambo ya kugawa kura za wapinzani haya.
Anachotaka Zito ni kitu kimoja tu fedha ya ruzuku kupitia kura za urais anajua Membe atapata kura japo laki sita kwa hiyo kuna mshiko wa ruzuku hapo. Lakini pia anajua Membe anazo fedha kama Lowassa kwa hiyo ananyatia nyatia
 
Ninaamini siyo mimi peke yangu anayedhani Z. Kabwe is no longer thinking kwa ubongo wake. Ni lazima kushangaa kwa yoyote yule katika mazingira ya kisiasa ya sasa hivi kwamba Bw. Membe anao uwezo na ushawishi wa kisiasa wa kura kumshinda JPM. Its pure madness and desperation kwa upinzani kwamba bado hawana mgombea mahili.

Haingii akilini kwamba CCM kama chama kishiriki katika uchaguzi wa rais kingeweza kumtosa na kumfukuza Membe ndani ya chama chao kama huyo mtu is such an asset and a potential presidential candidate. Membe mwenyewe akijua ukweli huo ameng'ang'ania apewe nafasi ya kushindana na JPM ndani ya chama cha CCM wakati akina Zito wanatoa povu kumshawishi with free ride ndani ya upinzani.

Hivi kweli udhaifu wa kuona ukweli ulio wazi kiasi hiki unawezaje kuwapigia hata10% ya kura! Mbona hata maoni ya kawaida kwenye media zote inaonyesha Bw. Membe as a presidential candidate ni political suicide! Lakini Membe mwenyewe na akina Zito wako busy to tell us otherwise. I could imagine hata angalao angekuwa na guts za kumpigia debe rafiki yake Lisu. Looks like sasa hivi ametengwa kila mahala tangu atangaze nia.
 
Zito hana ujanja lazima akubali masharti ya Membe. ACT ni chama kilichoundwa kwa ufadhili wa JK, Membe, Mwigulu nk. Na lengo lilikuwa ni kupambana na cdm. Baada ya Magufuli kuingia madarakani amekata supply yote ya kundi la kina JK, Membe nk. Hapo ndio uadui wa Zito na serikali ya ccm chini ya Magufuli ulipoanzia.

Zito anajua fika cdm ndio yenye wapiga kura wengi wa upinzani, kutokana na ukweli huu, Membe anamuagiza Zito kuwashawishi cdm ili waungane kisha Membe awatumie wapinzani kama ngazi. Ila tatizo liko kwetu sisi wapiga kura hasa wa cdm, kwani bado tunaugulia uhuni wa Lowassa, na hatuko tayari kurudia kosa. Na tumeapa kuwa hatuko tayari tena kusupport muhuni yoyote toka ccm...
Chadema iliundwa kwa ufadhili wa nani?rejea uchaguzi wa mwaka 2015
 
Kiongozi mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Zuberi Kabwe amewataka wananchi kuondoa wasiwasi juu ya Bernard Membe endapo akipokelewa na kupewa nafasi kugombea urais ndani ya vyama vya upinzani.

Mheshimiwa Zitto Kabwe amesema upinzani kumpokea Membe wakati huu siyo sawa na kilichofanyika mwaka 2015 kwani Bernard Membe hajagombea Urais ndani ya CCM na kukatwa bali Bernard Membe amefukuzwa..
Upinzani muungane kwenye uchaguzi Mumpasue JIWE kati kati maana hata CCM watampigia kura Membe!!
 
Sio kwamba ametia nia akakatwa kama lowasa, yeye ni amekatwa hata kabla hajaingia ulingoni. Jambo hili ni nuksi mno kwake kuliko hata ile ya Edo!

Just my views
 
Mbona zito anakuwa na wasiwasi na mgombea wao? Wamlete tumkanyage kwa hoja, akipata hata 2% ya kura nahamia Congo.
Na mimi kwa tume yenu hii iliyojaa Boot Lickers akipata hata asilimia moja, nahamia Malawi.
 
Upinzani wawe watu wa kujifunza, waachane kabisa na Membe.. Membe ni Political Opportunist ana tamaa ya madaraka na ni wazi hawezi kuyapata na akishayakosa atarejea ccm kama Lowassa alivyofanya.

Upinzani wasimamishe wagombea wao waachane na watu ambao wao nia yao ni kugeuza upinzani kama jukwaa la kutafutia madaraka na wakishayakosa wanarudi tena ccm na kuvujisha siri za wapinzani.

Kwanza mazingira ya uchaguzi hasa katika awamu hii haiwapi kabisa upinzani fursa ya kufurukuta kwani kuna kila dalili kuwa uchaguzi utahujumiwa vibaya kwa maagizo ya rais asiyependa na aneyeogopa siasa za ushindani.
 
Back
Top Bottom