Zitto Kabwe: Msimlinganishe Bernard Membe na Edward Lowassa

Zitto Kabwe: Msimlinganishe Bernard Membe na Edward Lowassa

Membe=MVUTOLESS

Zitto yuko kazini kama Kawaida yake,enzi zile Zitto anafukuzwa Chadema waliweka mpk transactions zake za bank akiingiziwa pesa na wakina Jack Zoka(huyu mwamba nadhani mnamfahamu vyema).

Na Zoka na Membe ni ofisi 1 hao.
 
Mbona zito anakuwa na wasiwasi na mgombea wao? Wamlete tumkanyage kwa hoja, akipata hata 2% ya kura nahamia Congo.
Upinzani sio kwasababu ya mtu. Imetokea kura za maruhani watu walimpigia nani??? JE wajinga walijifunza?? Gogo can do better than flesh and blood. WATCH
 
Membe=MVUTOLESS

Zitto yuko kazini kama Kawaida yake,enzi zile Zitto anafukuzwa Chadema waliweka mpk transactions zake za bank akiingiziwa pesa na wakina Jack Zoka(huyu mwamba nadhani mnamfahamu vyema).

Na Zoka na Membe ni ofisi 1 hao.
Zitto anatofauti gani na Mbowe aliemkaribisha Eddo chadema, mpaka Zitto anaongea hivo huwezi jua kashamalizana na Mbowe.
 
Karibu uwanjani Membe au yeyote yule anayetaka kushindana na CCM, karibuni wote, call even Vladimir Putin, haa hapa atakaa tu..

CCM, CCM.. 🌻🔰✅💛💚
 
Katika hili tafakuri yangu ipo hivi:
1. Membe hana ushawishi mkubwa, na hawezi kuusaidia upinzani kwa kiwango kikubwa kufikia athari chanya zilizoletwa na Lowasa, ikiwemo kuongezeka kwa kura za upinzani na hadi kupata wabunge. Hili hata Zitto Kabwe na Maalim Seif wanalifahamu.

2. Malengo ya ACT-Wazalendo katika uchaguzi huu sio kuchukua dola, ni kupata wabunge wengi. kwa hiyo, wakimpata Membe anaweza akawasaidia kuongeza wabunge hasa ukanda wa kusini anakotokea...
Umeelezea vizuri.
 
Mimi nakuambia hayupo wa kumtoa magufuli,makamanda mnakwama wapi? Porojo zenu za mitandaoni sio zenye uhalisia ukilinganisha na huku uraiani

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Hakuna wa kumtoa kwa sababu atatumia dola wakati wa kura. Ingepigwa ngoma kwenye uwanja ulio sawa Magufuli anashindwa mapema sana. Na kungekuwa tena na kitu kama mdahalo.... mama wee! Angetia aibu.
 
Chadema hawawezi kukubali Membe ajiunge ACT wazalendo kisha warudie Kosa la mwaka 2015 kwa kumsismisha kuwa Mgombea Urais wa 2020.
 
Zitto hajitambui, kiherehere na ujuaji mwingi ndio dira yake.

Somo walilolipata wapinzani mwaka 2015 linatosha
Lowassa hata mimi sikuwa na namkubali lakini nikuambie bila shaka yoyote kuwa kilichomrudisha CCM ni ugonjwa. Lowassa angekuwa na afya yake kama yule wa 2010 asingerudi CCM na safari hii huenda wangeunganisha nguvu na Membe.
 
Back
Top Bottom