Zitto kabwe: Mradi wa NSSF wa kiwanda cha kuzalisha sukari Mkulanzi kilichogharimu Tsh bilioni 130 hakijazalisha hata tani moja mpaka sasa

Mradi wa ujenzi wa kiwanda hiki unakadiriwa kutumia sh bilioni 130 mpaka sasa na mtaji wake sh bilioni 250.

Uwezo wake wa kuzalisha sukari ni tani 250,000/= lakini hakijazalisha hata tani 1.

Shamba la miwa lina miwa ya hekta 800 imechomwa moto, mradi umekufa.
Nawe jifunze kuleta mada! Hata namba unajiandikia tu! Unawezaje kuandika tani ya sukari 250,000/= unajua maana ya '/=' Kila siku uko JF unawezaje kujiandikia madudu haya!
 
I am wondering why Tanzanian institutions do not stick to their lane.
NSSF I am told is into real estate while it takes ages for NSSF to honour it's obligations to its members.
We have a full minister overseeing this shit but she is mum.
She might be part of embezzlement, both the victims and potential to the social funds have to start voicing up as they can't breathe until they part it away for their grip
 
Yale mapagale/ maboma ya Kigamboni vipi?
Je ni nini hatima yake?
Fedha za waTZ zipotee bure?
Mapagale ya Kigamboni kaama unaelekea Kimbiji yalitelekezwa na NSSF wakashauriwa waingie makubaliano na taasisi zinazojiendesha kibiashara ziyaendeleze lakini wapi. Mamilioni yatumbukia msalani bure

Uonevu huzaa Hasira ambayo huzaa vitendo vya kujihami ama kulipiza kisasi au kukomesha kwa kutendwa isivyo halali.

Pesa za wafanyakazi zinatumika isvyo halali na serikali tena kwa vitisho kana kwamba ni mali yao.

1. FAO la kujitoa lirejeshwe
2. Wazee wastaafu walipwe stahiki zao kwa wakati na kwa thamani halisi
3. Wafanyakazi wadai riba ya uwekezaji ambayo serikali huwa inafanya maana wafanyakazi hawakuomba kuhifdhiwa pesa zao ila ulitumika UBABE kupitia sheria zinazopitishwa na wabunge wasiojali maslahi ya wananchi (Wabunge ni sehemu wahujumu wa mifuko ya jamii ambayo chanzo chake ni makato kutoka kwenye mishahara ya wafanyakazi wakidai ni makato ya lazima kisheria (mandatory deduction)
4. Riba ya asilimia 2% ni unyonyaji ambao haukubaliki tena
 
I am wondering why Tanzanian institutions do not stick to their lane.
NSSF I am told is into real estate while it takes ages for NSSF to honour it's obligations to its members.
We have a full minister overseeing this shit but she is mum.
Nakumbuka Mama Jenister Mhagama alikuwa anapiga sana ' selfie' akikagua mashamba hayo ya miwa na uwekezaji huo wa NSSF/ Magereza, labda sasa anaweza tupa mrejesho...... kaazikweli kweli.
 
Ila hii nchi tunapigwa, ila na tulivyo wajinga na mafala tunaishia kushangilia, huu ujinga wetu utatuisha lini?

Kwa nini tuna kiwango hiki cha ujinga?

Ni lini utambuzi utatuijia?
Ndugu, CCM imefunga watanzania minyororo ya ubongo,tumebaki kushangilia tu matukio!! Leo tunamshangilia mama!! Na kujidai tumepata Rais mwanamke!!tunasahau kuwa anatokana na chama kile kile, cha watu
wale wale, walioitia umaskini nchi hii!! toka ipate uhuru!! Mchawi wa maendeleo ya nchi hii ni CCM full stop!!
 
Back
Top Bottom