MPUNGA MMOJA
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 304
- 401
Ila hii nchi tunapigwa, ila na tulivyo wajinga na mafala tunaishia kushangilia, huu ujinga wetu utatuisha lini?Mradi wa ujenzi wa kiwanda hiki unakadiliwa kutumia sh bilioni 130 mpaka sasa na mtaji wake sh bilioni 250.
Uwezo wake wa kuzalisha sukari ni tani 250,000/= lakini hakijazalisha hata tani 1.
Shamba la miwa lina miwa ya hekta 800 imechomwa moto,mradi umekufa.
Mifuko ya Hifadhi ya Jamii inapoacha kazi zake za msingi na kuingizwa mkenge na wanasiasa uchwara.Wastaafu wanakosa mafao yao huku fedha zao zikiingizwa katika biashara ,ujenzi na viwanda uchwara.Mradi wa ujenzi wa kiwanda hiki unakadiliwa kutumia sh bilioni 130 mpaka sasa na mtaji wake sh bilioni 250.
Uwezo wake wa kuzalisha sukari ni tani 250,000/= lakini hakijazalisha hata tani 1.
Shamba la miwa lina miwa ya hekta 800 imechomwa moto,mradi umekufa.
Bodi inatumia hela nyingi kufunika huu mradi madudu ni mengi sana, kuna mgogoro na magerezaMradi wa ujenzi wa kiwanda hiki unakadiliwa kutumia sh bilioni 130 mpaka sasa na mtaji wake sh bilioni 250.
Uwezo wake wa kuzalisha sukari ni tani 250,000/= lakini hakijazalisha hata tani 1.
Shamba la miwa lina miwa ya hekta 800 imechomwa moto,mradi umekufa.
Sasa tufanyeje?Mradi wa ujenzi wa kiwanda hiki unakadiliwa kutumia sh bilioni 130 mpaka sasa na mtaji wake sh bilioni 250.
Uwezo wake wa kuzalisha sukari ni tani 250,000/= lakini hakijazalisha hata tani 1.
Shamba la miwa lina miwa ya hekta 800 imechomwa moto,mradi umekufa.
Hiyo nayo ni Legacy
Haiwezekani kuzalisha tani 250,000 kwa kulima hekta 800 (Narudia haiwezekani, hiyo ilikuwa lugha ya kutapeli pesa za wafanyanyakazi tu)Mradi wa ujenzi wa kiwanda hiki unakadiriwa kutumia sh bilioni 130 mpaka sasa na mtaji wake sh bilioni 250.
Uwezo wake wa kuzalisha sukari ni tani 250,000/= lakini hakijazalisha hata tani 1.
Shamba la miwa lina miwa ya hekta 800 imechomwa moto, mradi umekufa.
Huyo ndiye Magufuli polojo nyingi wakati alikuwa bonge la mshamba tu wajanja wanamliza.....Mradi wa ujenzi wa kiwanda hiki unakadiriwa kutumia sh bilioni 130 mpaka sasa na mtaji wake sh bilioni 250.
Uwezo wake wa kuzalisha sukari ni tani 250,000/= lakini hakijazalisha hata tani 1.
Shamba la miwa lina miwa ya hekta 800 imechomwa moto, mradi umekufa.
Sukari nayo ni addiction mzeeKwenye sukari kuna upigaji huko hiyo biashara haina tofauti na madawa ya kulevya ni vile tuu watu wamefunikwa hawajui kitu...sukari sio bidhaa ya kuitafuta miaka hii ni ujanja ujanja tuu wa wanasiasa...