Zitto Kabwe More Than Meets the Eye!

amekutuma uje ufunguke kwa niaba yake?some tines mnakosa vya kuandika mnakuja na cheap propaganda sana..hivi unazania wote humu jm ni watoto wenye akili ndogo kama wewe.?
 
Hatuhitaji msaliti ndani ya cdm even if he did wonders, don't care indeed.
Mkuu hata hivyo huyo msaliti hajafanya lolote. Aliwapigia kampeni wagombea ubunge wa NCCR mageuzi Kigoma wakashinda. Kama siyo usaliti wa ZZK leo CDM ingekuwa na wabunge 100 bungeni.
 

Mmmh bila shaka una pepo la uongo. Mao Tsetung alisema kama hujafanya utafiti huna haki ya kuongea. Hebu fuatilia Zitto alisoma lini ujerumani na kwa njia gani fulltime, part-time au distance learning? Halafu fuatilia ujue media group ilianzishwa lini kupitia TCRA utajuwa wewe ni mwongo mwongo kupindukia. Hivi kama Zitto angekuwa mwandishi mzuri wa write up basi jimboni kwake kusingekuwa na matatizo katika idara za elimu, afya, mabarabara etc. Halafu unaonyesha umbumbumbu mkubwa kuandika kuwa yeye aliandika 'scholarly write up'. Scholarly write up ni tofauti na 'write up za funding'. Unaweza kuwa mwandishi mzuri wa write up za kitaaluma (scholarly write up) lakini ukawa mbovu kweli kweli kuandika 'write up kwa ajili ya funding'.
 
Mkuu hata hivyo huyo msaliti hajafanya lolote. Aliwapigia kampeni wagombea ubunge wa NCCR mageuzi Kigoma wakashinda. Kama siyo usaliti wa ZZK leo CDM ingekuwa na wabunge 100 bungeni.

thibitisha, vinginevyo wanajukwaa wakupuuze tu kama wapuuzi wengine
 
Afunguke amekuwa mlango? We unafaa wakufungulie jukwaa la mipasho linakufaa
 
fadhira gani?
Kule kwao kigoma chadema ina madiwani watatu tu na mbunge mmoja ambaye ni yeye ZZK.
Kuna nini cha maana kafanya?

=fadhila

Post uliyoijibu hilo neno hilo limeandikwa vizuri kabisa, wewe ukaona halifai?

Huwa mnafundishwa ujinga hizo shule mlizosoma?
 

ulichofanya wewe ni kuonyesha ujuaji wa kiingereza lakini sio uelewa wa mambo muhimu ya kisiasa. Wengi sana wameandika hizo write up/ proposal lakini hawakufanikiwa kwa sababu zilikuwa poor writeup, haziko well organised na sio halisi/genuine, ni uongo mtupu... Ndio mana zitto aliandika schorlary writeup proposal chadema/kadima ikamwagiwa mabilioni...rudi shule acha bush lawyer
 
Mada inazungumzia pesa alizoomba zitto kuisaidia chadema kuanzisha media zake

Ukifanya uchunguzi ukajibu maswali hayo utapata mwanga. Wafadhili wengi hawatoi fedha katika mambo wasiyoyaamini au kuyafuata.
 
Viroba at work

Mkuu viroba ni kitu gani? Mbona malengo ya JF ni kutaka kuelimishana ndio maana kuna watu wenye ueleo tofauti. Lazima tuwe fair kwa wachangiaji! Sasa basi jiulize ni kwa nini mhs ZZK hajawahi kukana uhusiano wake na CCM?
 
Wewe unapoteza muda wako bure Zitto uliyekuwa unamjua sio huyu wa sasa ameshapoteaga siku nyingi, Nisikitiko kubwa wengi tungependa aje kuwa kiongozi wa chadema huko mbeleni baada ya mwenyekiti wetu kutufikisha kwenye ukombozi wa Taifa hili, lakini kwa sasa ukiniuliza kuhusu Zitto hafai hata kuwa karani wa chadema. Yaani naona bora hata afukuzwe na uwanachama atuachie chama chetu. Yani total anatumika wala huhitaji kutumia akili nyingi kujua kama Zitto anatumika.

Ameruhusu ccm wamuangushe kisiasa na sasa sio muda mrefu ndo ana ishia ishia hivyo,

 
Ndugu mleta mada, kichwa cha habari sijakielewa. Pia lugha uliyotumia kwa kweli inakushusha. Nashauri tu ujifunze tena imla maana umeharibu. Ishu hapa si content wala context tu. Hata form ni muhimu sana. Hivyo ukileta mada nyingine kama itakusumbua kuweka sawa bora umpe mtu akusaidie kuhariri kwanza. Kuhusu zitto, let the nature decide maana jamaa ni mtata sana. Waweza kumuunga mkono kumbe umepotoka. Pia waweza mpinga kumbe umekosea. Atakayemhukumu zitto kihalali ni zitto mwenyewe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…