Wana JF
Huyu kamanda wetu amekuwa na tamaa sana za kuwa rais hata kabla ya umri kiasi cha yeye kutengeza makundi ndani ya chama. Watu km hawa wanaoacha kutulia na wenzao na kuwaza madaraka tena makubwa mara nyingi hawaupati. Amwangalie Lowasa toka aanze kuutafuta hadi leo bado na kuna uwezekano akaukosa maisha yake yote. Zitto tamaa zake zitamponza. Mm alinikera siku moja kwenye mikutano yake jimboni mwake anasema "Nawaombeni kura kwa mara ya mwisho nikirudi tena 2015 nitawaomba za urais"