Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana JF
Huyu kamanda wetu amekuwa na tamaa sana za kuwa rais hata kabla ya umri kiasi cha yeye kutengeza makundi ndani ya chama. Watu km hawa wanaoacha kutulia na wenzao na kuwaza madaraka tena makubwa mara nyingi hawaupati. Amwangalie Lowasa toka aanze kuutafuta hadi leo bado na kuna uwezekano akaukosa maisha yake yote. Zitto tamaa zake zitamponza. Mm alinikera siku moja kwenye mikutano yake jimboni mwake anasema "Nawaombeni kura kwa mara ya mwisho nikirudi tena 2015 nitawaomba za urais"
Umesahau kitu muhimu sana...Huyo mtanzania awe na akili timamu.Kwani Katiba ya Tanzania inasema nini kuhusu sifa za mtu kugombea urais Tanzania?
Nahisi hata wewe kama:
1. Mtanzania
2. Umetimiza umri (uliowekwa)
3. Hujawahi kufungwa jela kwa kosa la jinai (sio kuwekwa rumande)
4. Mwanachama wa chama chochote cha siasa kilichosajiliwa
.....
.....
unaweza kugombea.
...
Kuna tetesi yupo kwenye payroll ya magamba kwa lugha ya hap JF. Sifa yake ni unafiki na kupenda kuanzisha migogoro. Kuna kipindi alisema hagombei tena ubunge safari hii aliyochaguliwa akasema anataka kwenda kusoma Masters Ujerumani na kufanya shughuli zake nje ya siasa. Lakini aligombea na kushinda ubunge, akiona amepoteza mvuto kisiasa atakuja na hoja itayowashika watu wengi na kurudisha mvuto wake.zito asifikirie kuwa rais wangu! Wakuu hebu tulinganishe uwezo wa mnyika na zito'kwangu mimi mnyika yuko juu tena ni mtu wa kuheshimu watu na mnyenyekevu'''zito anapenda makuu kisa kaona watanzania no maboya
Mkuu umenifurahisha sana,angalia ****** anavyobembea;
Afadhali kaka unisaidie watu hawafuatilii halafu wanaandika andika utumbo tu humu
zito asifikirie kuwa rais wangu! Wakuu hebu tulinganishe uwezo wa mnyika na zito'kwangu mimi mnyika yuko juu tena ni mtu wa kuheshimu watu na mnyenyekevu'''zito anapenda makuu kisa kaona watanzania no maboya
Wana JF
Huyu kamanda wetu amekuwa na tamaa sana za kuwa rais hata kabla ya umri kiasi cha yeye kutengeza makundi ndani ya chama. Watu km hawa wanaoacha kutulia na wenzao na kuwaza madaraka tena makubwa mara nyingi hawaupati. Amwangalie Lowasa toka aanze kuutafuta hadi leo bado na kuna uwezekano akaukosa maisha yake yote. Zitto tamaa zake zitamponza. Mm alinikera siku moja kwenye mikutano yake jimboni mwake anasema "Nawaombeni kura kwa mara ya mwisho nikirudi tena 2015 nitawaomba za urais"
usiidumaze haki ya demokrasia. Hakuna aliyezaliwa kuwa kiongozi. Leaders are made.hakika yeye na mwenzie mmoja huko ccm wanamawazo finyu sana,laiti kama wangejua wasingepoteza muda wake kwa upuuzi huo wangejijenga kuheshimika kisha hao wanao muheshimu ndio muda ukifika watamwambia kuhusu wao kugombea.anyaway waache wajifulaishe na kutoa mwamko wa vijana wengine wanaokuja kwenye jukwaa la kisiasa kujiifunza njia za kupitia kutokuludia makosa ya vijana hao zitto na january makamba.
Sometimes ni tatizo la malezi na ulimbukeni baada ya kupata kukubalika na kuhisi unajua kuliko watangulizi wako,japo uwa ni katabia ka ujana [kuw radical] , lakini kwa kijana mwenye matamanio ya kuja kuwa kiongozi mkubwa yataka busara ili kuepuka egoism na ulevi wa madaraka, ambao tayari kwa kijana mwenye vision hawezi kupumbazwa na upofu huo hivyo ucheza turufu yake kwa kujishusha na kuepeuka kuonyesha kuwa anasukumwa na dhamila ya kuomba mamlaka ya urais kwa kuwa wanaomzunguka kama wananchi wanamuona anafaa hivyo kutumia sauti ya umma kuamsha maono ya uhitaji wa kuwa rais na sio sifa ya kuwa kwa kuwa umefanikiwa kwenye machache basi unaweza kuwa rais.
Waacheni wajifurahishe kwa upande wa pili wao ni wasindikizaji na watanzania ndio wanajua rais wao nani,na si wao wanaotwambia kuwa watakuwa marais wetu.sometimes kuelimika sio kustaarabika.