Zitto Kabwe kuukosa Urais wa Tanzania

2015

Senior Member
Aug 13, 2011
123
40
Wana JF
Huyu kamanda wetu amekuwa na tamaa sana za kuwa rais hata kabla ya umri kiasi cha yeye kutengeza makundi ndani ya chama. Watu km hawa wanaoacha kutulia na wenzao na kuwaza madaraka tena makubwa mara nyingi hawaupati. Amwangalie Lowasa toka aanze kuutafuta hadi leo bado na kuna uwezekano akaukosa maisha yake yote. Zitto tamaa zake zitamponza. Mm alinikera siku moja kwenye mikutano yake jimboni mwake anasema "Nawaombeni kura kwa mara ya mwisho nikirudi tena 2015 nitawaomba za urais"
 
Si bure umetumwa wewe,au ndio maandalizi ya uchaguzi wa mwenyekiti ndani ya CDM
 
Wana JF
Huyu kamanda wetu amekuwa na tamaa sana za kuwa rais hata kabla ya umri kiasi cha yeye kutengeza makundi ndani ya chama. Watu km hawa wanaoacha kutulia na wenzao na kuwaza madaraka tena makubwa mara nyingi hawaupati. Amwangalie Lowasa toka aanze kuutafuta hadi leo bado na kuna uwezekano akaukosa maisha yake yote. Zitto tamaa zake zitamponza. Mm alinikera siku moja kwenye mikutano yake jimboni mwake anasema "Nawaombeni kura kwa mara ya mwisho nikirudi tena 2015 nitawaomba za urais"

Zitto kagombea lini urais?
 
nilisikia kwa masikio yangu akihutubia jimboni kwake
sikumbuki ilikuwa ni kupitia TBC1 au tv ipi
 
nilisikia kwa masikio yangu akihutubia jimboni kwake
sikumbuki ilikuwa ni kupitia TBC1 au tv ipi
Ni kweli Zitto Kabwe alishawahi kusema kuwa ana mpango wa kugombea urais 2015 kupitia CDM. Ilikuwa ni taarifa ya habari kupitia TBC1. Sasa sijajua kama nia yake bado ipo pale pale au ameghairi.
 
Kumbukumbu zangu zinaonyesha aliyekosa urais ni Padre Slaa
kikwete+na+mkewe.jpg
poverty2.jpg
 
Wana JF
Huyu kamanda wetu amekuwa na tamaa sana za kuwa rais hata kabla ya umri kiasi cha yeye kutengeza makundi ndani ya chama. Watu km hawa wanaoacha kutulia na wenzao na kuwaza madaraka tena makubwa mara nyingi hawaupati. Amwangalie Lowasa toka aanze kuutafuta hadi leo bado na kuna uwezekano akaukosa maisha yake yote. Zitto tamaa zake zitamponza. Mm alinikera siku moja kwenye mikutano yake jimboni mwake anasema "Nawaombeni kura kwa mara ya mwisho nikirudi tena 2015 nitawaomba za urais"

Hakika yeye na mwenzie mmoja huko CCM wanamawazo finyu sana,laiti kama wangejua wasingepoteza muda wake kwa upuuzi huo wangejijenga kuheshimika kisha hao wanao muheshimu ndio muda ukifika watamwambia kuhusu wao kugombea.Anyaway waache wajifulaishe na kutoa mwamko wa vijana wengine wanaokuja kwenye jukwaa la kisiasa kujiifunza njia za kupitia kutokuludia makosa ya vijana hao Zitto na January Makamba.

Sometimes ni tatizo la malezi na ulimbukeni baada ya kupata kukubalika na kuhisi unajua kuliko watangulizi wako,japo uwa ni katabia ka ujana [kuw radical] , lakini kwa kijana mwenye matamanio ya kuja kuwa kiongozi mkubwa yataka busara ili kuepuka egoism na ulevi wa madaraka, ambao tayari kwa kijana mwenye vision hawezi kupumbazwa na upofu huo hivyo ucheza turufu yake kwa kujishusha na kuepeuka kuonyesha kuwa anasukumwa na dhamila ya kuomba mamlaka ya urais kwa kuwa wanaomzunguka kama wananchi wanamuona anafaa hivyo kutumia sauti ya umma kuamsha maono ya uhitaji wa kuwa Rais na sio sifa ya kuwa kwa kuwa umefanikiwa kwenye machache basi unaweza kuwa Rais.

Waacheni wajifurahishe kwa upande wa pili wao ni wasindikizaji na Watanzania ndio wanajua Rais wao nani,na si wao wanaotwambia kuwa watakuwa Marais wetu.Sometimes kuelimika sio kustaarabika.
 
alikwambia anautaka?? Toa umbea wako hapa
Kweli wewe Kima tena Mdogo, unafanana na yule jamaa aliyejiita Mbwa na kupigwa ban kutokana na utovu wa nidhamu. Huo sio umbea ni kweli Zitto alisema atagombea urais 2015 kupitia CDM, sasa umbea uko wapi hapo!
 
Kwani Katiba ya Tanzania inasema nini kuhusu sifa za mtu kugombea urais Tanzania?
Nahisi hata wewe kama:
1. Mtanzania
2. Umetimiza umri (uliowekwa)
3. Hujawahi kufungwa jela kwa kosa la jinai (sio kuwekwa rumande)
4. Mwanachama wa chama chochote cha siasa kilichosajiliwa
.....
.....
unaweza kugombea.
...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom