Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe avamiwa kwenye Uchaguzi mdogo Muhambwe

Chadema kuanzia viongozi mpaka na wafuasi wake hua na mambo ya ajabu sana, La kushangaza ni kuwa wao hulazimisha kila mtu aishi kwenye misingi ya wanayoiamini wao.

Ikiwa Zitto na Chama Chake wameamua kupamabana na CCM kwa njia nyengine wao kinachowauma ni nini? Ni wivu wa kike kabisa mambo mengine
 
Back
Top Bottom