Imeahirishwa mpaka baadae
Spika amesema serikali itatoa taarifa yake na kama itajaliwa au lah..ataamua yeye!
UPDATES;
Ni kwamba mkulu ameomba na ameshapelekewa madai ya madaktari kwa hiyo issue iko juu ngazi ya juu zaidi!!
KINGINE, PM ameomba akutane tena na viongozi wa kamati ya mgomo leo ofisini kwake, ila wamemjibu kwamba awaruhusu kwanza wakae kikao (ambacho alipiga marufuku) ili Madaktari watoe mapendekezo nini wamwambie waziri mkuu kwani wao ni wawakilishi tu!!

Heko Mhe Zitto!!
Limeahirishwa kwa hiyo leo posho wanapokea nusu au maana wamekaa kikao cha asubuhi tuuuu!!
Bunge limeailiswa mpaka kesho saa 3 ab kesho