Zitto Kabwe anapotosha suala la utekaji Mo Dewji

neema prosper

Senior Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
146
Reaction score
154
Kamanda Siro kasema wamefuatilia gari kupitia CCTV camera mpaka keepleft ya Kawe, nadhani hakumaanisha kupitia camera hiyo hiyo ya hoteli,bali kama polisi wanajua ni nyumba zipi zina cctv camera wakafuatilia nadhani mwisho wa nyumba zenye camera ukawa pale Kawe, kwa maana hiyo polisi waliomba kuangalia camera za majirani hadi kawe muda huo wa alfajiri kuona mwelekeo wa gari.
 
So na ww unataka utupotoshe sio?
 
Wewe ndio kamamda wa polisi unaetoa ufafanizi huku JF kwenye great thinker's???

Huu ufafanuzi kawatolee tahira wenzio
 
Kamanda Siro kasema wamefuatilia gari kupitia CCTV camera mpaka keepleft ya Kawe, nadhani hakumaanisha kupitia camera hiyo hiyo ya hoteli,bali kama polisi wanajua ni nyumba zipi zina cctv camera wakafuatilia nadhani mwisho wa nyumba zenye camera ukawa pale Kawe, kwa maana hiyo polisi waliomba kuangalia camera za majirani hadi kawe muda huo wa alfajiri kuona mwelekeo wa gari.
Unaumwa, kwa hiyo baada ya hapo makutano ya barabara Kawe hakuna nyumba zenye CCTV? Alichotusaidia Sirro ni kwamba waliwasindikiza watekaji hadi hapo Kawe, wakaambiwa warudi nyumbani, akapewa na picha feki!
 
Kamanda Siro kasema wamefuatilia gari kupitia CCTV camera mpaka keepleft ya Kawe, nadhani hakumaanisha kupitia camera hiyo hiyo ya hoteli,bali kama polisi wanajua ni nyumba zipi zina cctv camera wakafuatilia nadhani mwisho wa nyumba zenye camera ukawa pale Kawe, kwa maana hiyo polisi waliomba kuangalia camera za majirani hadi kawe muda huo wa alfajiri kuona mwelekeo wa gari.
Kwahiyo haikuanzia kule koleziam? Hizo picha ni za cctv kiukweli?
 
Kamanda Siro kasema wamefuatilia gari kupitia CCTV camera mpaka keepleft ya Kawe, nadhani hakumaanisha kupitia camera hiyo hiyo ya hoteli,bali kama polisi wanajua ni nyumba zipi zina cctv camera wakafuatilia nadhani mwisho wa nyumba zenye camera ukawa pale Kawe, kwa maana hiyo polisi waliomba kuangalia camera za majirani hadi kawe muda huo wa alfajiri kuona mwelekeo wa gari.
Kama kweli hujawahi kuchanganyikiwa naomba unijibu swali hili kwa umakini

Je picha aliyotuonyesha IGP ni picha iliyo chukulia kwa CCTV cameras????

Maana footage mmekaa nazo vituoni
 
Kamanda Siro kasema wamefuatilia gari kupitia CCTV camera mpaka keepleft ya Kawe, nadhani hakumaanisha kupitia camera hiyo hiyo ya hoteli,bali kama polisi wanajua ni nyumba zipi zina cctv camera wakafuatilia nadhani mwisho wa nyumba zenye camera ukawa pale Kawe, kwa maana hiyo polisi waliomba kuangalia camera za majirani hadi kawe muda huo wa alfajiri kuona mwelekeo wa gari.
Hizo picha ni za cctv ya Kawe?
 
Nani kakwambia mwisho wa nyumba zanye cctv ni kawe ?

Sometime mnatia kinyaa

Mludisheni tu MO akitoweka you will pay it back
 
Hayo ni maoni yako, Siro aliongea bila kufafanua
Ulitaka kamanda afafanue kila kitu, nasema hiviii wote mnaodhani kamanda Siro alimaanisha ametumia camera ya hotelini ku trace gari hadi Kawe mna LOW IQ. yaani mlitaka ataje camera zote alizoangalia kuanzia hotelini hadi kawe? kazi ipo.
 
mbona wewe umefoji vyeti na tuko kimya?
tangu lini mccm akawa na aki..li?
mnatetea kila utumbo, mnasahau utu na heshima ya Mtanzania aliyoipigania Nyerere, sasa hivi mnatanguliza matumbo yenu tu bila kujali utu, jing a wewe
 
mbona wewe umefoji vyeti na tuko kimya?
tangu lini mccm akawa na aki..li?
mnatetea kila utumbo, msahau utu na heshima ya Mtanzania aliyoipigania Nyerere, sasa hivi mnatanguliza matumbo yetu tu bila kujali utu, jing a wewe
Jenga hoja ndugu, kama ccm hawana akili huyo Nyerere unayesema aliipigania nchi alikuwa chama gani?
 
Baba Swalehe usinielewe vibaya, kuna watu humu wanadhani hili ni jukwaa la ccm na cdm. pia hatujengi hoja kwa kuangalia wewe ni wa chama gani, pia wepesi kutukana, hapa tunajadili mengi.
Una majina ya wadg zangu wote wawil .......

Naheshmu mchango wako

Sina chama kama wewe

But it is enough now
 
Kamanda Siro kasema wamefuatilia gari kupitia CCTV camera mpaka keepleft ya Kawe, nadhani hakumaanisha kupitia camera hiyo hiyo ya hoteli,bali kama polisi wanajua ni nyumba zipi zina cctv camera wakafuatilia nadhani mwisho wa nyumba zenye camera ukawa pale Kawe, kwa maana hiyo polisi waliomba kuangalia camera za majirani hadi kawe muda huo wa alfajiri kuona mwelekeo wa gari.

neema jiheshimu sana hata kama una mahaba na kijani hapa sio mahali pake!

cctv za majirani hazichukui video?
hazioneshi muda?
halafu picha yenye rangi angavu kiasi kile?

Ona aibu wewe kama mwanamke kuonekana huna huruma mtoto wa mwanamke mwenzio kutekwa!
 
Baba Swalehe usinielewe vibaya, kuna watu humu wanadhani hili ni jukwaa la ccm na cdm. pia hatujengi hoja kwa kuangalia wewe ni wa chama gani, pia wepesi kutukana, hapa tunajadili mengi.

kama hili suala unalijadili kwa mtindo huu basi hongera kwa uwezo wako mkali wa kuwaza
 
Kamanda Siro kasema wamefuatilia gari kupitia CCTV camera mpaka keepleft ya Kawe, nadhani hakumaanisha kupitia camera hiyo hiyo ya hoteli,bali kama polisi wanajua ni nyumba zipi zina cctv camera wakafuatilia nadhani mwisho wa nyumba zenye camera ukawa pale Kawe, kwa maana hiyo polisi waliomba kuangalia camera za majirani hadi kawe muda huo wa alfajiri kuona mwelekeo wa gari.
Maelezo hayajitoshelezi mkuu. Siku nyingine ukileta uzi ukumbuke kwamba humu sio kibanda cha watoto wachanga!
 
Back
Top Bottom