nyerere hakua mpuuzi kama malimbukeni wa uongozi walizoea kuchunga ng’ombe wamepachina kwenye madaraka na elimu zao za kununua vyeti sasa hivi wanakimbizana kutafuta pesa za dhuruma.
Jenga hoja ndugu, kama ccm hawana akili huyo Nyerere unayesema aliipigania nchi alikuwa chama gani?