Zitto Kabwe anapotosha suala la utekaji Mo Dewji

Zitto Kabwe anapotosha suala la utekaji Mo Dewji

Ulitaka kamanda afafanue kila kitu, nasema hiviii wote mnaodhani kamanda Siro alimaanisha ametumia camera ya hotelini ku trace gari hadi Kawe mna LOW IQ. yaani mlitaka ataje camera zote alizoangalia kuanzia hotelini hadi kawe? kazi ipo.
Kama wewe ndo mwenye high IQ basi taifa linaenda kushuhudia ulimwengu wa vilaza tokea uumbaji wake...
 
Kamanda Siro kasema wamefuatilia gari kupitia CCTV camera mpaka keepleft ya Kawe, nadhani hakumaanisha kupitia camera hiyo hiyo ya hoteli,bali kama polisi wanajua ni nyumba zipi zina cctv camera wakafuatilia nadhani mwisho wa nyumba zenye camera ukawa pale Kawe, kwa maana hiyo polisi waliomba kuangalia camera za majirani hadi kawe muda huo wa alfajiri kuona mwelekeo wa gari.
Japo mi si msemaji wake, kwa mtu wa kariba yake, siamini kama IGP anao muda wa kushughulika au kujibu hoja muflisi kama ya Zito.
 
Back
Top Bottom