Zitto Kabwe anahitaji ulinzi

Km ndiyo hivyo basi mungu amlinde kwa hali yoyot
 
Maana yake huu utawala ni fisadi na dhalimu kupata kuwepo toka uhuru.
Tujifiche chini ya mbawa za Muumba ana ulinzi usio kifani. Kamba aliweza kumlinda Musa aliyekuwa na fimbo tu dhidi ya farao aliyekuwa na magari ya vita na wapanda farasi mahiri, tukiamini tuko salama.
.
Isaya 7
9...... Kwamba hamtaki kusadiki, bila shaka hamtathibitika.
 
Zitto angalia Pliers isije ikaingia kwenye suruali yako.
 
mmeacha kuamini kuwa ni msaliti?
 
uhai wa chadema unategemea ACT sikuwahi kudhania zama hizi zitakuja so soon

unaogopa kumeza maneno yako kiwa zitto msaliti unabaki ..lakino, ingawa katika hili....

so sad
 
uhai wa chadema unategemea ACT sikuwahi kudhania zama hizi zitakuja so soon

unaogopa kumeza maneno yako kiwa zitto msaliti unabaki ..lakino, ingawa katika hili....

so sad
ukweli lazima usemwe, weka mbali tofauti zilizowahi tokea huko. Mkulu lazima aambiwe ukweli na nilazima viongozi kama zitto walindwe kutokana na hali tuliyonayo
 
Ulinzi wa nini sasa. Amefanya nini, kusema 2.5t haionekani? Tena kwa kunukuu CAG repirt?
Aendelee na maisha yake ajichanganya mango garden kama kawaida kujificha ndio rahisi kuuawa
 
kwani lissu alisema nini na yaliyomkuta ni yapi?
wacha kujitoa ufahamu mkuu
Ulinzi wa nini sasa. Amefanya nini, kusema 2.5t haionekani? Tena kwa kunukuu CAG repirt?
Aendelee na maisha yake ajichanganya mango garden kama kawaida kujificha ndio rahisi kuuawa
 
Zito ajilinde Mwenyewe,kama kuna mtu aliyedhoofisha upinzani nchi hii basi ni Zito,na lazima alipe gharama ya usaliti wake,mpaka awamu hii ya jiwe iishe Zito atakua ashalipa gharama za usaliti aloifanya kipindi cha JK.
Mpizani wa kweli nchi hii ni Zitto hao wengine ni waganga njaa tu.
 
ila Zitto siyo wa kawaida, mzee wa chama kwenye flash anasumbuwa chama chenye members +8m?!
Duh....
 
Zitto kawasaliti Chadema,Zitto kamsaliti Nondo,Zitto ni msaliti mnafiki mzushi muongopeaji,nk.bk
 
zitto hawana cha kumfanya...ana ulinzi locally kutoka kgm....tujikumbushe vifo vya salome mbatia na mkono wa mudhihir
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…