Nimemuona comred TL namuona yupo fit kwa muonekano naamini atamudu mapambano
Very soon
Kweli Mungu hana unafiki wala hajionyeshi makanisani kwenye kamera bali utaona matendo yake yenye nguvu za ajabuAchen mungu aitwe mungu tuuuView attachment 1195540
Ndo maana jana alienda church
Noumer...🏃🏾♂️🏃🏾♂️Achen mungu aitwe mungu tuuu
View attachment 1195540
Naona kuna mtu kafura kama chura jengo jeupe.
Halafu anapenda kuonekana kwenye vyombo vya habari ili apate sifa ambazo hanaAnaenda church kinafki ndio tatizo lake sasa
Kafura kama chura mwenye mimbaNaona kuna mtu kafura kama chura jengo jeupe.