Zana Za Kilimo Mbeya ni ngumu sana kumpa daftari la Vikoba,maana hamjui lini atachana ukurasa wenye majina ya marejesho na akafungia maandazi.
Katika ulimwengu wa siasa mpya za sasa,unaweza kujiuliza na kuwauliza wananzengo,inakuwaje licha ya ukosoaji wa lugha ngumu kwenye mitandao,hadharani na bungeni Zana Za Kilimo Mbeya hazipati msukosuko?
Nadhani kuna namna Zana Za Kilimo utatumika katika kuhakikisha upande wa pili wa bahari nguvu ya Mzee wa Sawasawa zinapotea,maana mahali ambapo wanasiasa wameshindwa kabisa kununulika kwa bei za madafu,basi ni Chumbe.
Muelekeo wa siasa za nchi umebadilika sana,hatuna tena siasa.Ila madhara yake miaka 10 ijayo yatakuwa ni makubwa sana na tutatamani kurudisha nyuma wakati ili turekebishe.Aliyetuharibia atakuwa anakula upepo kwenye mbuga ya Burigi...Hata ya Mzee Mchonga yalikuja kusemwa wakati yupo chini ya futi sita