Zitto Kabwe amtembelea Lissu

Zitto Kabwe amtembelea Lissu

welcome back comrade....we real missed you - Lissu the Great
 
Kuna hii clip inamuonyesha Lissu akitembea ambapo Zitto anaonekane kwa mbali mwanzoni mwa clip na mwishoni anaokane akiwa na Lissu wameshikana/wako pamoja.

Je,ndio tuseme Lissu atarajie pamoja na Zitto katika ndege moja au Zitto yuko huko kwa shughulim zake binafsi?


Wote hao wana kesi za msingi za kujibu before kufika uraiani
 
Uwezekano Upo Mkubwa tu! Bila shaka Collable yao Itakuwa ya Nguvu kweli kweli!
 
Huyo dada aliyepembeni ndio shemeji au mpita njia?? Macho yetu wengine dah yanaona vingine tu..
Mkuu naona we humwangalii kamanda isipokuwa alieko pembeni😂😂😂😂😂
 
Kuna hii clip inamuonyesha Lissu akitembea ambapo Zitto anaonekane kwa mbali mwanzoni mwa clip na mwishoni anaokane akiwa na Lissu wameshikana/wako pamoja.

Je,ndio tuseme Lissu atarajie pamoja na Zitto katika ndege moja au Zitto yuko huko kwa shughulim zake binafsi?


Duuuh
 
Hoja inayohitaji mjadala baada ya tweet ya Zitto jana.Nini kinaendelea kati ya Zitto,Kibanda na Lissu?
IMG-20190911-WA0066.jpeg
IMG-20190911-WA0046.jpeg
 
Zitto Kabwe anazungumzia watu wawili watakaoleta fresh start eti mmoja wapo ni TL na Mwingine hajamtaja!! Maana yake ni yeye eti, la ula la kwata.
Mabadiliko ya kweli yataletwa na Watanzania wenyewe, sio TL na wala ZZK na vibaraka wao.
Tukija kwenye maudhui ya kweli, inaonekana kuna mipango imeandaliwa kuelekea ujio wa TL, ZZK alikuwa mjumbe tu kwenda kuhairisha safari ya wiki iliyopita na kuandaa mikakati mipya, AK anaweza kuwa na ABC za yaliyojiri ndio maana anamlaumu ZZK kuwa ameharibu matarajio hayo.
 
Hahah utakuta mibaba na midevu yao eti inaamini itakombolewa na zitto sijui lissu

Ewe jizee kalime shambani Hawa unaowaamini wanalipwa na wazungu kuharibu nchi yetu
 
Zitto Kabwe anazungumzia watu wawili watakaoleta fresh start eti mmoja wapo ni TL na Mwingine hajamtaja!! Maana yake ni yeye eti, la ula la kwata.
Mabadiliko ya kweli yataletwa na Watanzania wenyewe, sio TL na wala ZZK na vibaraka wao.
Tukija kwenye maudhui ya kweli, inaonekana kuna mipango imeandaliwa kuelekea ujio wa TL, ZZK alikuwa mjumbe tu kwenda kuhairisha safari ya wiki iliyopita na kuandaa mikakati mipya, AK anaweza kuwa na ABC za yaliyojiri ndio maana anamlaumu ZZK kuwa ameharibu matarajio hayo.
Asante kwa ufafanuzi wa hoja
 
Zana Za Kilimo Mbeya ni ngumu sana kumpa daftari la Vikoba,maana hamjui lini atachana ukurasa wenye majina ya marejesho na akafungia maandazi.

Katika ulimwengu wa siasa mpya za sasa,unaweza kujiuliza na kuwauliza wananzengo,inakuwaje licha ya ukosoaji wa lugha ngumu kwenye mitandao,hadharani na bungeni Zana Za Kilimo Mbeya hazipati msukosuko?

Nadhani kuna namna Zana Za Kilimo utatumika katika kuhakikisha upande wa pili wa bahari nguvu ya Mzee wa Sawasawa zinapotea,maana mahali ambapo wanasiasa wameshindwa kabisa kununulika kwa bei za madafu,basi ni Chumbe.

Muelekeo wa siasa za nchi umebadilika sana,hatuna tena siasa.Ila madhara yake miaka 10 ijayo yatakuwa ni makubwa sana na tutatamani kurudisha nyuma wakati ili turekebishe.Aliyetuharibia atakuwa anakula upepo kwenye mbuga ya Burigi...Hata ya Mzee Mchonga yalikuja kusemwa wakati yupo chini ya futi sita
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom