Zitto Kabwe amtembelea Lissu

Zitto Kabwe amtembelea Lissu

Ila kitendo cha Lissu kushambuliwa halafu hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa na kufuatia kitendo cha yeye kuvuliwa ubunge na kunyimwa stahiki zake kimeiletea ufedhuli mkubwa sana system ya awamu ya tano. Yani wameonekana ni wauaji, makatili yasiyo na ubinadamu. Kuna siku mtu atapata tatizo watu waandamane kushangilia.
 
Eating-Guy-Dancing-Funny-Gif-Picture-For-Whatsapp.gif
 
Kuna hii clip inamuonyesha Lissu akitembea ambapo Zitto anaonekane kwa mbali mwanzoni mwa clip na mwishoni anaokane akiwa na Lissu wameshikana/wako pamoja.

Je,ndio tuseme Lissu atarajie pamoja na Zitto katika ndege moja au Zitto yuko huko kwa shughulim zake binafsi?

 
Zitto: Nimemtembelea mhhh mhhh mhh.

Lissu: Nanii[emoji3], sema nanii.

Wote: [emoji23][emoji38][emoji23][emoji38][emoji23][emoji38][emoji23][emoji38]

Zitto: The coming whaaat, mhhh mhhh mhhh.

Wote: [emoji38][emoji1][emoji2][emoji1][emoji2][emoji1][emoji2][emoji23]


Cc Unforgetable
 
Zito bado anasubiriwa/kutafutwa na polisi kuhojiwa kuhusu mkutano wake na wanachama wa chama chao kuhusu mkutano wa SADC?!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom