Los técnicos
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 3,031
- 2,668
Kuna mtu kamzuia kufanya kazi yake?Tatizo katika nchi hii Kuna kundi linajiona Lina hatimiliki ya upinzani kwenye siasa za Tanzania, wanawaona wapinzani wote ni mamluki wa watawala isipokuwa wao tu ni wazi kabisa kwa sasa hivi kwamba CHADEMA wameshindwa kufanya siasa bila kumtaja mwamba Zitto.
Tokea miaka ya 2009 Chadema wamewaaminisha Wafuasi wao kwamba Zitto ni CCM na wao ndo wapinzani, fanyeni siasa zenu.
Viongozi wa Chadema wako busy kupambana na ACT badala ya issues za kitaifa:
1. Hivi ni lini mara ya mwisho wamekaa kitako na kuchambua bajeti ya nchi, na kutoa recommendations
2. Hivi ni lini mara ya mwisho wamekaa kuchambua ripoti za CAG?
3. Sijawaona wakikaa chini na kuchambua ripoti za benki kuu na muelekeo wa uchumi wa nchi
Sasa hivi wako busy kumshambulia Kiongozi wa ACT Wazalendo, Wamesahau kuwa:
1. Chama chao ndo kinaogoza kwa viongozi wao kuunga mkono juhudi na kwenda CCM
Chadema itueleze, kama viongozi wake siyo mamluki
Inakuwaje Makatibu wake wakuu wawili wameunga mkono siasa za CCM huku Wabunge wake lukuki na wajumbe wa kamati kuu wakiunga mkono juhudi?
1. Yuko wapi Dkt. Slaa, Dr Mashinji, Nassari, Silinde, Lijualikali, Mollel, Waitara, Katambi
2. Ilikuwaje kwa Katambi mwenyekiti wao wa BAVICHA, Halima Mdee mwenyekiti wa BAWACHA, Matiko, Bulaya, Hanje?
Kwa data hizo, nani CCM zaidi yao?
By the way, Nyie ndo mlimuita mzee Lowasa kila aina ya jina baya halafu mkatoka hapo mkamfanya yeye kuwa ndiye mgombea wa chama chenu mwaka 2015-Sasa hapo mtaaminikaje?
Mwacheni kiongozi wa Chama cha ACT ndugu Zitto afanye kazi yake.
View attachment 2167787
Tatizo katika nchi hii Kuna kundi linajiona Lina hatimiliki ya upinzani kwenye siasa za Tanzania, wanawaona wapinzani wote ni mamluki wa watawala isipokuwa wao tu ni wazi kabisa kwa sasa hivi kwamba CHADEMA wameshindwa kufanya siasa bila kumtaja mwamba Zitto.
Tokea miaka ya 2009 Chadema wamewaaminisha Wafuasi wao kwamba Zitto ni CCM na wao ndo wapinzani, fanyeni siasa zenu.
Viongozi wa Chadema wako busy kupambana na ACT badala ya issues za kitaifa:
1. Hivi ni lini mara ya mwisho wamekaa kitako na kuchambua bajeti ya nchi, na kutoa recommendations
2. Hivi ni lini mara ya mwisho wamekaa kuchambua ripoti za CAG?
3. Sijawaona wakikaa chini na kuchambua ripoti za benki kuu na muelekeo wa uchumi wa nchi
Sasa hivi wako busy kumshambulia Kiongozi wa ACT Wazalendo, Wamesahau kuwa:
1. Chama chao ndo kinaogoza kwa viongozi wao kuunga mkono juhudi na kwenda CCM
Chadema itueleze, kama viongozi wake siyo mamluki
Inakuwaje Makatibu wake wakuu wawili wameunga mkono siasa za CCM huku Wabunge wake lukuki na wajumbe wa kamati kuu wakiunga mkono juhudi?
1. Yuko wapi Dkt. Slaa, Dr Mashinji, Nassari, Silinde, Lijualikali, Mollel, Waitara, Katambi
2. Ilikuwaje kwa Katambi mwenyekiti wao wa BAVICHA, Halima Mdee mwenyekiti wa BAWACHA, Matiko, Bulaya, Hanje?
Kwa data hizo, nani CCM zaidi yao?
By the way, Nyie ndo mlimuita mzee Lowasa kila aina ya jina baya halafu mkatoka hapo mkamfanya yeye kuwa ndiye mgombea wa chama chenu mwaka 2015-Sasa hapo mtaaminikaje?
Mwacheni kiongozi wa Chama cha ACT ndugu Zitto afanye kazi yake.
View attachment 2167787
Ila ni kweli Chadema hujiona kuwa wao ndio wapinzani wa kweli pekee Tanzania na vyama vyengine vyote ni mamluki wa CCM, nakumbuka kabla ya Chadema na ACT azalendo kushirikiana ile 2020 huko nyuma Lissu aliwaita ACT kuwa wanatumika na CCM na kusema ACT hawakuwahi kuwa wapinzani na kumtaja hadi marehemu Anna mgwila kuwa alipewa kile cheo baada ya kuifanya kazi ya ccm 2015 ila nikashangaa 2020 wakashirikiana na hao hao.
Alitaka kuwa mwenyekiti,kitunambacho ni dhambi kubwa sana chademaTatizo katika nchi hii Kuna kundi linajiona Lina hatimiliki ya upinzani kwenye siasa za Tanzania, wanawaona wapinzani wote ni mamluki wa watawala isipokuwa wao tu ni wazi kabisa kwa sasa hivi kwamba CHADEMA wameshindwa kufanya siasa bila kumtaja mwamba Zitto.
Tokea miaka ya 2009 Chadema wamewaaminisha Wafuasi wao kwamba Zitto ni CCM na wao ndo wapinzani, fanyeni siasa zenu.
Viongozi wa Chadema wako busy kupambana na ACT badala ya issues za kitaifa:
1. Hivi ni lini mara ya mwisho wamekaa kitako na kuchambua bajeti ya nchi, na kutoa recommendations
2. Hivi ni lini mara ya mwisho wamekaa kuchambua ripoti za CAG?
3. Sijawaona wakikaa chini na kuchambua ripoti za benki kuu na muelekeo wa uchumi wa nchi
Sasa hivi wako busy kumshambulia Kiongozi wa ACT Wazalendo, Wamesahau kuwa:
1. Chama chao ndo kinaogoza kwa viongozi wao kuunga mkono juhudi na kwenda CCM
Chadema itueleze, kama viongozi wake siyo mamluki
Inakuwaje Makatibu wake wakuu wawili wameunga mkono siasa za CCM huku Wabunge wake lukuki na wajumbe wa kamati kuu wakiunga mkono juhudi?
1. Yuko wapi Dkt. Slaa, Dr Mashinji, Nassari, Silinde, Lijualikali, Mollel, Waitara, Katambi
2. Ilikuwaje kwa Katambi mwenyekiti wao wa BAVICHA, Halima Mdee mwenyekiti wa BAWACHA, Matiko, Bulaya, Hanje?
Kwa data hizo, nani CCM zaidi yao?
By the way, Nyie ndo mlimuita mzee Lowasa kila aina ya jina baya halafu mkatoka hapo mkamfanya yeye kuwa ndiye mgombea wa chama chenu mwaka 2015-Sasa hapo mtaaminikaje?
Mwacheni kiongozi wa Chama cha ACT ndugu Zitto afanye kazi yake.
View attachment 2167787
Haihitaji miwani kuuona unafiki wa Zitto, achilia mbali historia ya wapinzani wa Kigoma mara nyingi wamekua wanafiki sana ukianzia kwa Dr. Aman KaburuTatizo katika nchi hii Kuna kundi linajiona Lina hatimiliki ya upinzani kwenye siasa za Tanzania, wanawaona wapinzani wote ni mamluki wa watawala isipokuwa wao tu ni wazi kabisa kwa sasa hivi kwamba CHADEMA wameshindwa kufanya siasa bila kumtaja mwamba Zitto.
Tokea miaka ya 2009 Chadema wamewaaminisha Wafuasi wao kwamba Zitto ni CCM na wao ndo wapinzani, fanyeni siasa zenu.
Viongozi wa Chadema wako busy kupambana na ACT badala ya issues za kitaifa:
1. Hivi ni lini mara ya mwisho wamekaa kitako na kuchambua bajeti ya nchi, na kutoa recommendations
2. Hivi ni lini mara ya mwisho wamekaa kuchambua ripoti za CAG?
3. Sijawaona wakikaa chini na kuchambua ripoti za benki kuu na muelekeo wa uchumi wa nchi
Sasa hivi wako busy kumshambulia Kiongozi wa ACT Wazalendo, Wamesahau kuwa:
1. Chama chao ndo kinaogoza kwa viongozi wao kuunga mkono juhudi na kwenda CCM
Chadema itueleze, kama viongozi wake siyo mamluki
Inakuwaje Makatibu wake wakuu wawili wameunga mkono siasa za CCM huku Wabunge wake lukuki na wajumbe wa kamati kuu wakiunga mkono juhudi?
1. Yuko wapi Dkt. Slaa, Dr Mashinji, Nassari, Silinde, Lijualikali, Mollel, Waitara, Katambi
2. Ilikuwaje kwa Katambi mwenyekiti wao wa BAVICHA, Halima Mdee mwenyekiti wa BAWACHA, Matiko, Bulaya, Hanje?
Kwa data hizo, nani CCM zaidi yao?
By the way, Nyie ndo mlimuita mzee Lowasa kila aina ya jina baya halafu mkatoka hapo mkamfanya yeye kuwa ndiye mgombea wa chama chenu mwaka 2015-Sasa hapo mtaaminikaje?
Mwacheni kiongozi wa Chama cha ACT ndugu Zitto afanye kazi yake.
View attachment 2167787
Unadhani kwanini Othman Masoud au Maalim Seif hawashambuliwi lakini anashambuliwa Zitto tu ?Tatizo katika nchi hii Kuna kundi linajiona Lina hatimiliki ya upinzani kwenye siasa za Tanzania, wanawaona wapinzani wote ni mamluki wa watawala isipokuwa wao tu ni wazi kabisa kwa sasa hivi kwamba CHADEMA wameshindwa kufanya siasa bila kumtaja mwamba Zitto.
Tokea miaka ya 2009 Chadema wamewaaminisha Wafuasi wao kwamba Zitto ni CCM na wao ndo wapinzani, fanyeni siasa zenu.
Viongozi wa Chadema wako busy kupambana na ACT badala ya issues za kitaifa:
1. Hivi ni lini mara ya mwisho wamekaa kitako na kuchambua bajeti ya nchi, na kutoa recommendations
2. Hivi ni lini mara ya mwisho wamekaa kuchambua ripoti za CAG?
3. Sijawaona wakikaa chini na kuchambua ripoti za benki kuu na muelekeo wa uchumi wa nchi
Sasa hivi wako busy kumshambulia Kiongozi wa ACT Wazalendo, Wamesahau kuwa:
1. Chama chao ndo kinaogoza kwa viongozi wao kuunga mkono juhudi na kwenda CCM
Chadema itueleze, kama viongozi wake siyo mamluki
Inakuwaje Makatibu wake wakuu wawili wameunga mkono siasa za CCM huku Wabunge wake lukuki na wajumbe wa kamati kuu wakiunga mkono juhudi?
1. Yuko wapi Dkt. Slaa, Dr Mashinji, Nassari, Silinde, Lijualikali, Mollel, Waitara, Katambi
2. Ilikuwaje kwa Katambi mwenyekiti wao wa BAVICHA, Halima Mdee mwenyekiti wa BAWACHA, Matiko, Bulaya, Hanje?
Kwa data hizo, nani CCM zaidi yao?
By the way, Nyie ndo mlimuita mzee Lowasa kila aina ya jina baya halafu mkatoka hapo mkamfanya yeye kuwa ndiye mgombea wa chama chenu mwaka 2015-Sasa hapo mtaaminikaje?
Mwacheni kiongozi wa Chama cha ACT ndugu Zitto afanye kazi yake.
View attachment 2167787
Dogo mbona unalianani kakuzuia kufanya siasaTatizo katika nchi hii Kuna kundi linajiona Lina hatimiliki ya upinzani kwenye siasa za Tanzania, wanawaona wapinzani wote ni mamluki wa watawala isipokuwa wao tu ni wazi kabisa kwa sasa hivi kwamba CHADEMA wameshindwa kufanya siasa bila kumtaja mwamba Zitto.
Tokea miaka ya 2009 Chadema wamewaaminisha Wafuasi wao kwamba Zitto ni CCM na wao ndo wapinzani, fanyeni siasa zenu.
Viongozi wa Chadema wako busy kupambana na ACT badala ya issues za kitaifa:
1. Hivi ni lini mara ya mwisho wamekaa kitako na kuchambua bajeti ya nchi, na kutoa recommendations
2. Hivi ni lini mara ya mwisho wamekaa kuchambua ripoti za CAG?
3. Sijawaona wakikaa chini na kuchambua ripoti za benki kuu na muelekeo wa uchumi wa nchi
Sasa hivi wako busy kumshambulia Kiongozi wa ACT Wazalendo, Wamesahau kuwa:
1. Chama chao ndo kinaogoza kwa viongozi wao kuunga mkono juhudi na kwenda CCM
Chadema itueleze, kama viongozi wake siyo mamluki
Inakuwaje Makatibu wake wakuu wawili wameunga mkono siasa za CCM huku Wabunge wake lukuki na wajumbe wa kamati kuu wakiunga mkono juhudi?
1. Yuko wapi Dkt. Slaa, Dr Mashinji, Nassari, Silinde, Lijualikali, Mollel, Waitara, Katambi
2. Ilikuwaje kwa Katambi mwenyekiti wao wa BAVICHA, Halima Mdee mwenyekiti wa BAWACHA, Matiko, Bulaya, Hanje?
Kwa data hizo, nani CCM zaidi yao?
By the way, Nyie ndo mlimuita mzee Lowasa kila aina ya jina baya halafu mkatoka hapo mkamfanya yeye kuwa ndiye mgombea wa chama chenu mwaka 2015-Sasa hapo mtaaminikaje?
Mwacheni kiongozi wa Chama cha ACT ndugu Zitto afanye kazi yake.
View attachment 2167787
Hamna lolote, Zitto traitor mkubwa na mdini ajabu.Zitto ana kitu wanakiona ambacho pengine hata Zitto mwenyewe hajui
Hamna lolote Zitto ni Traitor na ndumilakuwili vibaya mno.Chuki ya CHADEMA kwa Zitto ni kubwa kuliko dhamira ya kuongoza nchi.
Kwani uwepo wa maalim seif ndio ulifanya Act kutokuwa mamluki wa ccm kama ambavyo sasa mnavyoiona?Walishirikiana na ACT kwasababu ya uwepo wa Maalim Seif na sio zaidi ya hapo.
Swali kutoka mtoa mada ni, 'zitto aliwafanyia kisa gani chadema?'!Kwa maeneo mengi niliyopita upinzani ni Chadema.
Hili si la kupinga ukiacha Zanzibar ambako sijafika na maeneo ya Kigoma na Tanga ambako act imenufaika sana na mgogoro wa iliyokuwa cuf.
Lkn ilipo act Chadema ipo lkn ilipo chadema act haipo.
Huo ni ukweli.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kama Wewe umetumwa kumshambulia basi nami nimetumwa kumtetea
ACT ingemteua Lowassa kuwa Mgombea Urais 2015 si pangechimbika
Hivi Zitto angekosa Ubunge 2020 halafu Mbowe na Lema wakapata sijui hali ingekuaje?
Inshallah 2025 wote Mbowe na Zitto watarudishwa Bungeni kwa udhamini wa Chama cha Mapinduzi japo wataingia kupitia vyama wanavyoongoza
Watu wa Kigoma bana Inshallah nyingi hamna lolote wanafiki wakubwa tunawajuaKama Wewe umetumwa kumshambulia basi nami nimetumwa kumtetea
ACT ingemteua Lowassa kuwa Mgombea Urais 2015 si pangechimbika
Hivi Zitto angekosa Ubunge 2020 halafu Mbowe na Lema wakapata sijui hali ingekuaje?
Inshallah 2025 wote Mbowe na Zitto watarudishwa Bungeni kwa udhamini wa Chama cha Mapinduzi japo wataingia kupitia vyama wanavyoongoza
Sawa ila Zitto mnafikiChadema ni walevi na wapuuzi tu,
ndio maana wakikosa ubunge wanaomba ukimbizi.
Ampe nani uenyekiti [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Alitaka kuwa mwenyekiti,kitunambacho ni dhambi kubwa sana chadema
[emoji108] ... KuntuUnadhani kwanini Othman Masoud au Maalim Seif hawashambuliwi lakini anashambuliwa Zitto tu ?