Zitto Kabwe ajisalimisha polisi

Na wakati huo huo mafisadi wa Lugumi, escrow, UDA, Pride na MV Dar bado anawagwaya mafisadi hawa ila anataka kutunisha muscles kuonyesha udikteta wake dhidi ya upinzani.

Wewe uasema nini, hakuna cha moto wala nini, lazima serikali iwawadabishe mpaka mtakapojifunza kutii sheria
 
Naona tunawaonea wivu sana watu wa burundi kwa jinsi wanavyo ishi
 
Wewe unasema nini, hakuna cha moto wala nini, lazima serikali iwawadabishe mpaka mtakapojifunza kutii sheria

Mkuu unamka usingizini au? ni lini serikali ilifanikiwa kuwazima wapinzani, kila siku ndo kwanza wanazidi kukinukisha.... nasema mtajutraaa
 
Kweli kabisaaa after that anakuja na huku kwenye social network
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hatareeee aiseee!

Aingilie mara ngapi, tayari kashaanza kuingilia JF hamuoni jina la bintiye limewekewa **** na lile neno k.ilaza nalo limewekewa star wakati ni yeye mwenyewe alilitamka, huyu jamaa ni mwoga sana kama kunguru anapenda kusikia mazuri ya kumsufu yeye a.k.a mr. Misifaz. Sijui ana shida gani?
 
Kumbe ndiko tulikofikia huku bahati nzuri Kura yangu sijawapa
 
He is far much better compared to Lowassa...

Hatujazoea uhuru kuminywa namna hii.....even freedom of expression inakuwa tabu

...better for what?, personality or what?!, jamaa yako ni mbumbumbu full kibuyu!
 
Zitto mtoto mdogo sana kwa magufuli pia magufuli ana dola

Ndo atumie dola kunyamazisha demokrasia??? Tatizo huyu jamaa na ushamaba unasumbua kidogo, popularity yake imeshuka sana, nakiri nilimpigia kampeni lakini I am no longer supporting him, najuta
 
Tatizo Magufuli hajazoea kukosololewa na atakuwa ni mtu wa kupanic sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…