bantu.garage
JF-Expert Member
- Oct 13, 2015
- 1,436
- 503
Mmmmhhhhh
Wewe toa mawazo yako acha kunukuu mawazo ya wenzakoUkikataa itakusaidia nn?
Mkuu hata wewe unasema haya,
Yaani kumpigania kote kule unamwita mwoga
Kweli kabisaaa after that anakuja na huku kwenye social networkHofu yangu baada ya Wapinzani tutageukiwa sisi wa mitandao hasa JF...
hatareeee aiseee!Sasa ni wapi Zitto amejisalimisha Polisi? Au wewe ni muandishi wa Shigongo?Katika Taarifa ya Habari ya TBC1 ya Saa kumi Jioni Kamanda wa Polisi wa Kanda maalum ya DSM amekaririwa akisisitiza kwamba Polisi bado wanamtafuta Zitto Kabwe na kwamba watahakikisha anakamatwa ikiwa hatajisalimisha kama kweli yeye ni mzalendo....
-----------------------------------------------------------
UPDATES
Mwenyekiti moja ya kamati za Chama ametuma ujumbe huu
Habari.
Nimepata simu ya Kamanda wa Polisi Wambura saa tisa na nusu. Na akaniomba nimfikie Kiongozi wa Chama na kumwambia afike kituo cha polisi cha kati.
Mimi, Kiongozi wa Chama na Mwanasheria tuko njiani kuelekea kituoni.
Kiongozi wa chama ameomba tuwe watulivu tukawasikie wanachoitaji na tutawajuza yanatoendelea.
Nyinyi ndio wale wabunge wa ccm mnao lala lala bungeni na kupinga bunge kurushwa liveZitto kakosa nini? nimepitwa wandugu!
Wanatafuta kiki hili wasikike maana wamekimbia bunge sasa wanaleta fyoko mitaaniZitto kakosa nini? nimepitwa wandugu!
Nilikuwa nawaza jambo hili sana mkuu, huenda nilitokwa povu bure kumtetea wakati ule, napata wasiwasi na ushindi wake,Sasa naanza kuamini kuwa hakushinda kihalali,
Kama angeshida kihalali asingehangaika hivi na wapinzaniiiiiiiiiiiiiiiiiii
Kuwa mstaarabu sijawahi tukana mtu JF kwani ukukaa kimya anaejua akanijuza utapungua nini?Nyinyi ndio wale wabunge wa ccm mnao lala lala bungeni na kupinga bunge kurushwa live
Ndio unazidi kunipa mafumbo ongea wazi alichofanya mpaka anasakwa kama jambazi sugu.Wanatafuta kiki hili wasikike maana wamekimbia bunge sasa wanaleta fyoko mitaani
Hakika 100%"Tanzania haijpata bado rais"TB Joshua
Badala ya kujikita katika kuweka mikakati na mipango ya utekelezaji wa ilani ya chama chake,anahangaika na wapinzani ambao hawajabeba hata rungu!2020 sijui atasingizia wapinzani ndio wamemkwamisha?!Wewe unasema nini, hakuna cha moto wala nini, lazima serikali iwawadabishe mpaka mtakapojifunza kutii sheria
Ukweli unauma na hizo stori za kusema hujawahi kutukana mtu wapelekee watukanaji wenzioKuwa mstaarabu sijawahi tukana mtu JF kwani ukukaa kimya anaejua akanijuza utapungua nini?