Zitto Kabwe ajisalimisha polisi

mwobho

JF-Expert Member
Apr 2, 2013
808
352
Katika Taarifa ya Habari ya TBC1 ya Saa kumi Jioni Kamanda wa Polisi wa Kanda maalum ya DSM amekaririwa akisisitiza kwamba Polisi bado wanamtafuta Zitto Kabwe na kwamba watahakikisha anakamatwa ikiwa hatajisalimisha kama kweli yeye ni mzalendo.


=>Mwenyekiti moja ya kamati za Chama ametuma ujumbe huu, "Nimepata simu ya Kamanda wa Polisi Wambura saa tisa na nusu. Na akaniomba nimfikie Kiongozi wa Chama na kumwambia afike kituo cha polisi cha kati. Mimi, Kiongozi wa Chama na Mwanasheria tuko njiani kuelekea kituoni".

Kiongozi wa chama ameomba tuwe watulivu tukawasikie wanachoitaji na tutawajuza yanatoendelea.
=======

Updates;

=======

Kiongozi wa ACTwazalendo Mbunge Zitto Kabwe, amemaliza mahojiano na Polisi katika Kituo Kikuu cha Kati Dar es Salaam na kuruhusiwa kuondoka.
 
Mzee wa majipu anaanza kuchezea katiba, amevunja nyumba za walalahoi tumekaa kimya amesababisha bei ya sukari na vitu vingine kupanda tumekaa kimya sasa ameanza kukandamiza upinzani, hili hatutakubali

Ukikataa itakusaidia nn?
 
Tatizo IQ za watanzania wengi hata wanasiasa ni ndogo sana. Wacha movie iendelee!
 
Back
Top Bottom