Zitto Kabwe acharuka, ahoji tumelipa Bei gani kukomboa Ndege yetu Udachi? Je, kuna Kesi ngapi zimebaki huko Mahakama ya Usuluhishi?

KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amecharuka kwa uchungu na kuhoji Serikali imelipa Bei gani kukomboa Ndege yetu huko Netherlands?

Je, bado kuna Kesi ngapi zimebaki huko Mahakama ya Usuluhishi ya Kimataifa?

Nk...nk

Hongera Kardinali Rugambwa!
Hata mimi niliwaza hii gharama ni kubwa ni zaidi ya bil.390

Haya ndio matokeo ya watu wa awamu ya 5 kutotumia akili na kukurupuka hovyo kwenye maamuzi,tunakula hasara.
 
KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amecharuka kwa uchungu na kuhoji Serikali imelipa Bei gani kukomboa Ndege yetu huko Netherlands?

Je, bado kuna Kesi ngapi zimebaki huko Mahakama ya Usuluhishi ya Kimataifa?

Nk...nk

Hongera Kardinali Rugambwa!
Huyu bure labisa. Hoja ni bandari, ndege acha zije maana tumeshashindwa kesi ni kulipa. Asemee bandari zetu.
 
KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amecharuka kwa uchungu na kuhoji Serikali imelipa Bei gani kukomboa Ndege yetu huko Netherlands?

Je, bado kuna Kesi ngapi zimebaki huko Mahakama ya Usuluhishi ya Kimataifa?

Nk...nk

Hongera Kardinali Rugambwa!
Hajielewagi huyo
Pole kwake
 
Back
Top Bottom