Watamsingizia tena Magufuli? Udiwani washindwa kata zote

Etwege

JF-Expert Member
Jul 4, 2018
5,753
15,227
Tundu Lissu, Zitto Kabwe, John Heche, Freeman Mbowe, John Mnyika baada ya kushindwa uchaguzi wa udiwani kwenye kata zote mtaendelea kumtaja hayati Magufuli kwamba ndiyo amewasababisha mshindwe au mtawapongeza Kinana na January Makamba kwamba matamko yao yamesababisha uchaguzi umekuwa wa huru na haki kwenye kata zote?

Kazi hamfanyi, kazi kula ruzuku tu mliyopewa bure bure na rais Samia ambayo ni kodi zetu sisi wananchi wanyonge. Ni faida ipi mliyoipata sasa?

Laana ya kushangilia kifo cha Rais wetu mpendwa iwatafune na itawatafuna kwelikweli mpaka mkome.

Ukitaka kuona nyeti za kuku subiri upepo upulize.

Muda ni mwalimu mzuri sana.

R.I.P shujaa Magufuli ulisingiziwa mengi.
 
Mkuu Etwege, nafikiri uwaombe ma mods wabadilishe bandiko kuu na Lisomeke "Wanamsingizia"😇😅

Hawa watu ni watu waajabu sana, watashindwa na watalegea tu. Kila jambo?

Wamerusha helikopta, wamezurura na 255 wameandamana, wamemshitaki Hayati Magufuli kila kona, lakini wapi.

Wakiambiwa wauze sera hawataki!

Hapa kazi tu inaendelea.
 
Jinsi unavyomtukuza JPM ni zaidi hata ya mwanae Jesca, tafuta pesa JPM alishaenda, hakuna nyuzi ambayo huwa unaandika humu JF usimtaje Magufulu, wakati wenzako wapo busy kupiga pesa wewe Etwege mwaka juzi ulikuwa unalialia humu JF unatafuta kiwanja cha milioni 4 Dar khaaa!!
 
Tundu Lisu, Zito Kabwe, John Heche, Freeman Mbowe, John Mnyika baada ya kushindwa uchaguzi wa udiwani kwenye kata zote mtaendelea kumtaja hayati Magufuli kwamba ndiyo amewasababisha mshindwe au mtawapongeza Kinana na January Makamba kwamba matamko yao yamesababisha uchaguzi umekuwa wa huru na haki kwenye kata zote?

Kazi hamfanyi, kazi kula ruzuku tu mliyopewa bure bure na rais Samia ambayo ni kodi zetu sisi wananchi wanyonge. Ni faida ipi mliyoipata sasa?
Laana ya kushangilia kifo cha Rais wetu mpendwa iwatafune na itawatafuna kwelikweli mpaka mkome.

Ukitaka kuona nyeti za kuku subiri upepo upulize.

Muda ni mwalimu mzuri sana.

R.I.P shujaa Magufuli ulisingiziwa mengi.
Kwani CHADEMA wanashiriki?
 
Magufuli kuwa Rais wa nchi hii ulikuwa ni mpango wa Mungu.

Magufuli alitusaidia sana kujua upinzani wa Tanzania ni kakikundi ka wapigaji na vibaraka wa mabeberu.

Ni mara mia tuendelee tu kuongozwa na mafisadi wa CCM kuliko haka kakikundi ka wajasiriamali wa kisiasa.
 
Jinsi unavyomtukuza JPM ni zaidi hata ya mwanae Jesca,tafuta pesa JPM alishaenda,hakuna nyuzi ambayo huwa unaandika humu JF usimtaje Magufulu,wakati wenzako wapo busy kupiga pesa wewe Etwege mwaka juzi ulikuwa unalialia humu JF unatafuta kiwanja cha milioni 4 Dar khaaa!!
Matokeo ya uchaguzi wa udiwani vipi huko? Nyumbu nyie
 
Ni wajinga sana
Sio watu wa kuchaguliwa kabisa hawa, na ni vizuri Wananchi wanatambua hilo.

Sasa wameanza kutengeneza mazingira ya 'oh l, mnawaona wanatuibia kura'
Kuna yule nyumbu mwingine kaanzisha uzi wake , eti anauliza 'nani alikuwa anajua kuna chaguzi ndogo'! 😅 😌 Haiingi akilini🤔

Mwezi mzima wanalikimbiza Kaburi, wameshindwa kuhamasiha wapiga kura, na kutoa elimu na taarifa ya umuhimu wa chaguzi hizi, kumbe walikuwa bize kuhamasisha Uhasama na Vinyongo, Chuki na Fedheha, sasa wanashindwa hizi chaguzi ndogo wana lalama.

Wasuse, na Safari hii wakisusa wafutwe kabisa kutoka kwa msajili wa chama, wanapotezea Watanzania mda na kodi zao.
 
Back
Top Bottom