Na umeme wa Tanesco si biashara?au Tanesco si ya Serikali?
ATCL ingine hii, mtu anakusababishia hasara na bado anakudai!!mkuu hakutoa hata senti kuwekeza ttcl kama m bia zaidi anataka alipwe bilioni 21 ili aondoke
Hakuna committed long term objectives plus poor managements,atlest watetezi wa TTCL wanakesi ya kurubuniwa na viongozi wa serikari. Still I dont buy the argument ya Airtel kuwahujumu kwa sababu on their part their interest in the company could be strategic partnership kufikia malengo yao, what were TTCL own plans to compete on the market.Hivi sisi tunaweza nini jamani? ATCL, TRL, TTCL zote bure kabisa? Tatizo ni nini??
na ukweli ni kuwa tukuziwa na sisi tutaamia huko na kutumia mtandao huo.
Hakika hujayaelewa matatizo ya ATCL.
Hayo uliyoyaelewa wewe yako wapi?
Serikali ya CCM + Airtel + Ulafi.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/792531-inasikitisha-sana-ttcl-yafilisika-rasmi.html
Nimei like kwa sababu kujitambua lakini siyo kwamba hilo jibu la tatizo la msingi.
Nani kawaweka Ofisini CCM-siyo mimi ,wewe na Watanzania wengine?
Google is a very useful tool kwa sasa... unaweza hata ukalamba shule ya kufa mtu
Kwanza kabisa napenda kuishukuru kamati ya bunge a PAC wa kazi nzuri wanayoifanya. Na hakika pasipo wao hili swala la TTCL -ATCL lingeendelea kuwa escrow nyingine ambayo wataalam wetu kama nd. Kamugisha hupuuzwa na wanasiasa kwa sababu wao nia na malengo yao wanataka kuyauwa mashirika haya ili miradi yao binafsi walowekeza katika mashirka kama Voda na Tigo yasipate ushindani toka serikali. Tumeyaona kwenye TRA ambayo inapigwa vita kutoweza kujiendesha kwa sababu viongozi wengi wamewekeza kwenye usafiri wa watu na mizigo. ATC pia viongozi wamewekeza ktk mashirka ya ndege binafsi na hawataki ushindani isipokuwa monopoly maana wanajua hawawezi kushindana na seirkali katika nchi maskini.
Mimi nayakumbuka vizuri sana maneno ya mwalimu alipokuwa akizungumzia Ubepari na uwezo wetu ya kwamba hatuwezi kushindana na nchi matajiri, akatoa mfano wa mabondia ya kwamba hatuwezi kuingia ulingoni kushindana na na Heavy weight (nchi tajiri) ilihali sisi ni Flyweight (nchi maskini). Na ilionekana wazi wakati wa Ujamaa kwani shule za serikali zilikuwa na elimu bora zaidi kuliko shule za private, Hospital za serikali zilikuwa na uwezo zaidi ya private na hii ni kutokana na uwezo mdogo wa wananchi wenyewe katika uwekezaji binafsi. Kinachotokea leo ni kwamba viongozi wanaiba mtaji toka serikalini na kuwekeza wao kama vile hii ni mali ya urithi!
Sasa leo hii baada ya kuingia ubebari, tunakuta adui wetu ni viongozi wetu wenyewe ambao ni maskini lakini wako radhi kufanya kila hila kuzuia ushindani na serikali kwa sababu wanajua nguvu ya serikali ni kubwa tofauti na nchi tajiri ambako vyanzo vya uwekezaji (financial institution) wameisha jenga mahusano makubwa na matajiri hivyo ubunifu wowote wa tajiri mmoja ana uwezo wa kutosha kumiliki sekta nzima ya kutoa huduma bora.
Hatuwezi kuupamba Ubepari kwa kuyapaka tope mashirika ya Umma na haswa pale tunapofahamu kwamba ni viongozi wetu wanaoipiga vita miradi ya serikali. Mimi naamini kwamba hadi hapo atakapo patikana Sokoine mwingine, kiongozi atakaye anza kutazama uongozi wa ndani na kupiga vita Grand corruption na economic sabotage hapo ndipo watu kama Kamugisha wataweza kuifanya kazi.
haa haaa mkuu we bado mchanga sana kwenye hizi mambo, yan uko nyuma mno ndugu,, but kwa leo let me devote my time nikulishe madini kidogo ila next time just shut your mouth if u dont understand, mimi nimeongelea "a series chip " manufacturing we unaleta habari za copy cat, kwa taarifa yako naelewa kesi kibao za patents btw the two companies, ila kwa hili uko chaka mbaaaya and u need to learn from me.
hapa nakupa link ukasome
Apple is one of Samsung's biggest customers for processors and memory chips. But the two firms compete directly in the mobile-phone market and have spent the better part of the past two years suing and countersuing over the look,(http://www.wsj.com/)
[h=1]Apples A7 chip again made by Samsung, camera by Sony and non-descript M7′ chip by NXP(9to5Mac: Apple iPhone, Mac and iPad News Breaking All Day)[/h]
Kim Ki-nam, president of the Korean electronic giant's semiconductor business and head of System LSI business, told reporters at Samsung's headquarters in Seoul that once the company begins to supply Apple with chips using its latest technology, profits "will improve positively"(http://www.zdnet.com/)
am glad sa hivi umejifunza kitu ...FYI
Samsung S5 using 2.5GHZ quad-core processor
Iphone was using A7 but now are using M7 &A8 processor manufactured by TSMC(EXCLUSIVE MANUFACTURER OF APPLE'S PROCESSORS) NOW ARE DESIGNING M8 PROCESSOR
Hutaki kunya boga
ATCL ingine hii, mtu anakusababishia hasara na bado anakudai!!
Yaan kila kitu gugo watu buana
Hata uliku.nya lini utaenda Hugo
Ma.vi yako
MHE MAZINDU MSAMBULE; hakukuwa na uzembe upande wa watendaji wa ttcl hata kwenye hilo la simu zinazoanzia 073. unachatakiwa kujua ni kuwa TTCL ndio ilikuwa kampuni ya kwanza kumiliki licence ya mobile hapa nchini kwenye masafa ya GSM, lkn viongozi tajwa walifanya mbinu chafu, airtel ilianzishwa na kutumia masafa hayo aya TTCL, huku ikitumia kila rasilimali zoote za TTCL hadi kiuimama tukiamini ni mali ya TTCL, viongozi hao kwa kile walichokuwa wanakijua ,baada ya celtel (airtel/zain)kusimama ,ndio wakaitoa isiwe tena ndani ya TTCL. ukumbuke wakati huo viongozi waliokuwepo ttcl ni wazungu waliowekwa kwa makusudi maalum, kwa hiyo haukuwepo uwekezaji wa kuipeleka mbele TTCL, baada ya wafanyakazi kupiga kelele, ndio serikali ili kupunguza kelele hizo ikaawapa masafa ya CDMA ambayo hadi leo ni kimeo, sasa kwa juhudi za managment ya wazawa wakishirikiana na chama cha wafanyakzi TEWUTA wamefikisha TTCL hapa unapoiona , kwa ufupi TTCL kwa sasa iko ktk kufufuka hasa baada ya huyo mbia mnyonyaji kutimua vumbi kwa kelele za umma. muda si mrefu pamoja na hujuma tuliokuwa tunafanyiwa VODA , TIGO. AIRTEL . watasoma namba.