Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,960
- 11,221
Pole pole unaanza kumuelewa 'Rostam Aziz' wakati anajiuzulu alipoziita siasa zetu ni uchwara, not to defend the guy shoddy business activities be it legally contracted with scrupulous politicians and government official of the day.
Hivi unaweza vipi kusema fulani arudishe hisa zake kwa serikari kilazima kama hakati, unapouza hisa nini maana yake sasa kama unaweza zidai anytime? this is more than pathetic.
Binafsi sheria zetu sijui zipoje za forceful takeover lakini kama hakuna sheria za majority shareholder mwenye percent fulani ya hisa kuweza kununua kwa nguvu hisa za mwengine huwezi kumlazimisha mtu auze kama hataki, hawa jamaa TTCL wana wanasheria wa kampuni (sina uhakika lakini commonsense says so, or else itakuwa vitu vya ajabu) unless labda waende na breach of contract kama hipo sawa lakini uwezi kuchukua hisa za mtu kwa lazima things do not work like that; hata hao washabiki wa Manchester United hawakuweza kuzuia the 'Glazier family' kuinunua timu rules are rules and protected by law kwa fikra hizi hizi upende usipende.
Tabia za wanasiasa kuanza kuzipotosha jamii kwa sababu ya cheap popularity kwakweli sio nzuri, yes kuna watu walifanya makosa sana wakati wa utawala wa Mkapa kwa kuingia mikataba au ubia ambao unamatatizo na mikataba isiyo na manufaa lakini tusidhani na hao wabia hawakufikiria wanajikinga vipi baadae iwapo wataingia viongozi makini in the future.
Sasa serikari itasemaje jamaa wapewe kiasi fulani waondoke ndivyo share zinavyochukuliwa hivyo wakati hata wewe ungekua mmbia realistically ungetaka kujua value of the assets na upewe chako thats how the cookie crumbles. Nadhani ni wakati muafaka wa kuanza kuangalia mambo kialisia sio kutaka kujifurahisha na ndio mambo ya IPTL na escrow hakuna ukweli wowote wa hoja za hela za serikari na watu wanafukuzwa kazi kwa siasa za kipuuzi.
Watanzania tusikubali CCM ituletee mtu yeyote maana tunajua mgombea wao ana nafasi kubwa ya kushinda uchaguzi tukiweka mpuuzi safari yetu itazidi kuwa ngumu huko mbeleni kwa jinsi makada wao wanao angaika hapa kutetea mkate wao na siasa za kipuuzi zenye kila sababu ya mwonyesha za makada wenye njaa haya mambo hayataisha leo wala kesho, its time we demand na aje mtu mwenye kujua anarekebisha vipi makosa ya nyuma realistically sio haya mambo ya kujianzia na kulaumu shareholder watu wakati wenyewe tuliingia kichwa kichwa kukubali mikataba isiyo na tija na taifa hata huko EAC inabidi tuwe makini sana na tunachokubaliana maana wenzetu wana motive zao.