Tuliwalipa wahindi wa TRL wakati wanaondoka, hata huyu tutamlipa.mkuu hakutoa hata senti kuwekeza ttcl kama m bia zaidi anataka alipwe bilioni 21 ili aondoke
Tuliwalipa wahindi wa TRL wakati wanaondoka, hata huyu tutamlipa.mkuu hakutoa hata senti kuwekeza ttcl kama m bia zaidi anataka alipwe bilioni 21 ili aondoke
Unataka kuturudisha jehanamu?
TTCL ifufuke tufurahie huduma maridhawa na kwa bei nafuu. Airtel ikiwezekana apokonywe hizo hisa
TTCL inaweza fanya vizuri sana lakini tatizo ni je, viongozi wa CCM ambao wamezoea kuomba wataacha kuomba airtime za bure???
Kumbuka hata nguvu ya airtel sasa hivi ni matokeo ya hao hao, kuanzia enzi za akina Mwandosya. Ufisadi na kuwinda shares kwenye mashirika.
Nilishasema hapa na narudia tena. Matatizo ya TTCL Mwandosya alihusika sana, baada ya huo ufisadi alipewa asante na hao mabepari ya kusomeshewa mtoto wake chuo kikuu Afrika Kusini. Afadhali na wewe unalijua hilo
Wachache sana watakuelewa wambiye madeni wanayo daiwa NHC ni ebola!!bad idea
NHC ni disaster in the making... mark my words
Shida siyo makampuni ya toka Nje Shida ni sisi Watanzania-Tabia hii ya kuwaacha watendaji kugeuza Taasisi ya Umma kama kamapuni zao binafsi matokeo yake ndiyo haya.
Wachache sana watakuelewa wambiye madeni wanayo daiwa NHC ni ebola!!
Ila TTCL ingefufuliwa alafu wakatuambia kampuni ni ya watanzania na wakaepuka ufisadi watanzania wote tungeungana tungechukuwa line za TTCL hao wezi wangekimbia tu bila kukimbizwa!
Mwandosya ni sehemu ya maProfesa hovyo kabisa! Kumbuka akiwa wizara hiyo ndo alimuleta Prof. Nkoma wa TCRA ambaye ikaja julikana kwamba siyo raia wa nchi hii. Sababu ya kumuleta anaijua mwenyewe na bahati mbaya CCM hupeana shavu bila hata sababu.
Eti Mwandosya naye akatamani kuwa Rais! Hii nchi ni bwabwa. Kila mtu analawiti atakavyo.
Makaburu yanajuwa kiswahili siku hizi au we ni m.......TTCL walitutesa sana kabla ya uwepo ya kampuni za simu za mikononi. Kuunganishwa line hadi rushwa,line ikikorofisha matengezo rushwa. Wachie wafe natural death. Ndio yale yale ya TANESCO ineffective inefficient.
Makaburu yanajuwa kiswahili siku hizi au we ni m.......
Mkuu kasim kangu hakana kitufe cha like NHC ni Janga kweli kweli miradi ya nyumba za kipuuzi kweli kweli kwa wale wenye uwezo wa kuangalia kwa jicho la tatu!Mkuu, kwa sasa NHC wanaangaliwa na kupimwa kwa kuwa na inventory, but after so time, things will change, kitakachoongea ni liquidity and positive finances/business scenario... If not carefully watched, NHC itaenda under water na zile nyumba zitauzwa kwa bei ya Mark II
Duh umenikosea adabu ninaweza kuwa na umri mkubwa sana kuliko baba yako kwa tarifa yako kesho nina fikisha 70Hapana, baba yako. Watoto wakufikia hamna adabu siku hizi.
Shida siyo makampuni ya toka Nje Shida ni sisi Watanzania-Tabia hii ya kuwaacha watendaji kugeuza Taasisi ya Umma kama kamapuni zao binafsi matokeo yake ndiyo haya.