Zitto Kabwe afunguka kuhusu Dr. Bashiru kumtaka CCM

Zitto Kabwe afunguka kuhusu Dr. Bashiru kumtaka CCM

Ni dhahiri Bashiru anakiri UDHAIFU wa CCM
 
Eti CCM Chama dume wakati kinaogopa Vyama Vingine ukweli ni kwamba CCM ni Chama Shoga.kama wao ni wanaume waruhusu Mikutano halafu waone CHADEMA itakavyowanyoosha watu wana hamu kubwa nchi nzima,Buyungu tu Uharo ulikuwa unagonga chupi

Walati yule dogo wala hajulikani kitaifa lakini wananchi walijaa mikutano ya CHADEMA ilikua AIBU kuu kwa Chama Shoga.
Nilikuwepo na Polisi
Big up sana Wewe "former die hard supporter wa CCM"

Ipo Siku tutaongea lugha moja, and it's not far away, coming very soon.........
 
CCM imeozea ndani kwa kukosa itikadi moja na dira moja. Ndani ya CCM kuna madude mengi yamejificha yakivizia fursa na muda. CCM ilikosa dira pale ilipokataa kufa na sera zake za Azimio la Arusha na ujamaa. Hao wengine waliokuwa wanadhani dira ya ujamaa haifai walipaswa kuunda vyama vipya na kuiacha CCM original.

Baada ya CCM kujibadilibadili kama kinyonga ilikosa rasmi dira na uelekeo. Hadi sasa CCM siyo chama cha siasa. CCM imeishia kuwa kikundi cha baadhi ya watu walioiteka nyara nchi na kuapa kuendelea kuishikilia ili wao na wanakikundi wenzao waendelee kubakia madarakani kwa namna yoyote ile. Kwao sera, itikadi, katiba, sheria nk sio chochote. Wamefikia mahali wanafikiri hata kuiba sera za upinzani na kuwanunua viongozi wa upinzani ili wasiondolewe madarakani.

CCM kuondolewa madarakani ni jambo la lazima kwanza kabla ya kuwaza kitu kingine chochote. Hakuna maendeleo, uhuru, demokrasia, nk wakati bado CCM ipo madarakani. CCM inajiogopa hadi yenyewe. Haiwezekani CCM inayoogopa hata chama cha mtu mmoja ikaweza kuleta suluhisho la matatizo mengi tuliyonayo kitaifa. Kauli za akina Bashiru zinadhihirisha kuwa CCM inaishi kwa hofu kubwa. Ndio maana imewekeza zaidi katika kuua demokrasia na vyama vya upinzani.

Sisi watanzania tunapaswa kuungana kuishughulikia CCM kwanza. Hawa akina Magufuli na Bashite na wengineo wanajua bila CCM hawana lolote wanaloweza kufanya. Uhai wa ubabe wao unabebwa na CCM. Taifa hili linahitaji sana kupandwa mbegu mpya. CCM imeshajaribiwa kwa zaidi ya nusu karne na imeonekana haitaweza kutufikisha hata ikipewa nusu karne nyingine.
 
Bashiru Ally aache kukidhalilisha Chama Kikongwe Duniani

Msitu wa Amazon hauwezi kupungiwa na kitu Kwa kukosekana Mti mmoja

Bashiru asituletee damu za Kikongo kwenye chama chetu Pendwa
kichwa umejaza usaha na kinyesi kinachovia na kunuka . huna ulijualo zaidi ya ubaguzi? kama zzk ni mkongo wewe ni nani? chama kikongwe kinasaidiwa kuiba kura na mapolisi? kumbuka ya kinondoni UCHAGUZI haram wa mtulia
 
kichwa umejaza usaha na kinyesi kinachovia na kunuka . huna ulijualo zaidi ya ubaguzi? kama zzk ni mkongo wewe ni nani? chama kikongwe kinasaidiwa kuiba kura na mapolisi? kumbuka ya kinondoni UCHAGUZI haram wa mtulia

Chama kisichoweza kulinda kura kinaweza kulinda Nchi?
 
Kuna mdada mmoja nilimuomba kale ka K .itu nikamsifia na kumgusagusa sehemu zake nyeti akiwa ametulia na kutabasamu tu. Tulipaachana naye akaita press akisema nimemdhalilisha nikajiuliza mbona hakukana alikuwa anatabasamu tu kwa jicho la kuniashiria Just go on.
Sasa sielewi hii press nikutafuta nini?
 
Chama kisichoweza kulinda kura kinaweza kulinda Nchi?
nakumbuka komputa za haki za binadam zilizoibwa na polisi. nakumbuka hata majeshi yaliwekwa standby ndo kulinda kura? bila polisi na usalama ccm ni wepesi kama changudoa tu
 
CCM ni watu wa ajabu sana, wana wenyeviti wa mitaa/vijiji, madiwani, wabunge wengi zaidi kuliko chama kingine chochote kile, lakini kwa kuwa hawajui ni kwa nini wako madarakani, wanaona hawawezi kuongoza nchi mpaka walioko kwenye vyama vingine nao wajiunge na chama chao!!

Hivi CCM wanataka wapewe nini ama wawe na nani ili waweze kuongoza nchi kwa ufanisi!? Siku nchi ikiongozwa na Rais toka chama kingine si CCM watawehuka!?
Nashangaa yaani sawasawa Donald Trump aanze kupanga kumnunua Hilary Clinton wakati Sera za vyama vyao ni tofauti kabisa!
 
Kama kaongea zito puuzia.. Never trust a politician
 
Zitto anabusara, lakini anakesi za uchochezi kibao, sas busara za Zitto ni zipi, unafiki na uongo kwa watanzania kuwaona mazwazwa hatutaki, CCM nchi imewashinda.
 
Bashiru Ally aache kukidhalilisha Chama Kikongwe Duniani

Msitu wa Amazon hauwezi kupungiwa na kitu Kwa kukosekana Mti mmoja

Bashiru asituletee damu za Kikongo kwenye chama chetu Pendwa
Ila wahutu wa burundi kuwemo ni sawa etii...?? Tafakari kwanza hii ukimaliza utaniuliza ni kujibu tena.
 
Ni wazi kabisa hivi vyama vya upinzani vikiendelea Tz CCM iko insecure.
 
Bashiru Ally aache kukidhalilisha Chama Kikongwe Duniani

Msitu wa Amazon hauwezi kupungiwa na kitu Kwa kukosekana Mti mmoja

Bashiru asituletee damu za Kikongo kwenye chama chetu Pendwa
Haaaaa haaaaaa mkongoman ndani ya green
 
Back
Top Bottom