Zitto Kabwe afunguka kuhusu Dr. Bashiru kumtaka CCM

Zitto Kabwe afunguka kuhusu Dr. Bashiru kumtaka CCM

Bashiru Ally aache kukidhalilisha Chama Kikongwe Duniani

Msitu wa Amazon hauwezi kupungiwa na kitu Kwa kukosekana Mti mmoja

Bashiru asituletee damu za Kikongo kwenye chama chetu Pendwa
Hahahaha hautaki damu ya kikongo wakati mnda damu ya kirundi - kihutu mkuu punguzaga unafiki
 
Eti CCM Chama dume wakati kinaogopa Vyama Vingine ukweli ni kwamba CCM ni Chama Shoga.kama wao ni wanaume waruhusu Mikutano halafu waone CHADEMA itakavyowanyoosha watu wana hamu kubwa nchi nzima,Buyungu tu Uharo ulikuwa unagonga chupi

Walati yule dogo wala hajulikani kitaifa lakini wananchi walijaa mikutano ya CHADEMA ilikua AIBU kuu kwa Chama Shoga.
Nilikuwepo na Polisi

Kwa hiyo Makamanda aa Chadema wanasubiri 'Ruhusa ' ya kufanya Mikutano toka Kwa chama 'Shoga '? Badala ya kushikiza wao wanaSubiri Ruhusa sio?

Subira yavuta bhangi
 
Sera za Ujamaaa!!!!!!??,,Zitto umewapa za uso lakini usturudishe kwenye laana ya Ujamaa na Kuzulumiana.
Act wazalendo Chama cha kijamaa kinachoongozwa Na bepari Zitto Kabwe!!!!
 
Phd ya Siasa unatumia miaka 13 kuipata huoni ni tatizo hilo..Muda si mrefu huyo Mhutu atajuta kuenda tofauti na mhutu mwenzake.
 
Aisee hii u turn yako bado naitafakari ,Jiwe kakugusa wapi ?
Jamaa haoni hata chembe ya aibu. Sasa hivi anataka watu wamwone kuwa mpinzani mwenye msimamo makini. Hili ni kundi la watu ambalo linawakilishwa na Jiwe mwenyewe. Kumbuka wakati Jiwe alipokuwa waziri, na alivyo sasa.

Huyo uliyemjibu hapo ni sampuli moja na Jiwe.
 
((Makofi mengi kwako!))
 
CCM ni watu wa ajabu sana, wana wenyeviti wa mitaa/vijiji, madiwani, wabunge wengi zaidi kuliko chama kingine chochote kile, lakini kwa kuwa hawajui ni kwa nini wako madarakani, wanaona hawawezi kuongoza nchi mpaka walioko kwenye vyama vingine nao wajiunge na chama chao!!

Hivi CCM wanataka wapewe nini ama wawe na nani ili waweze kuongoza nchi kwa ufanisi!? Siku nchi ikiongozwa na Rais toka chama kingine si CCM watawehuka!?
hii inaitwa nje ya box
 
Bashiru Ally aache kukidhalilisha Chama Kikongwe Duniani

Msitu wa Amazon hauwezi kupungiwa na kitu Kwa kukosekana Mti mmoja

Bashiru asituletee damu za Kikongo kwenye chama chetu Pendwa
Mbona mnaongozwa na damu ya Kirundi?
 
Zitto alikuwa mpole kweli kipindi Jiwe anaingia huku akijipa matumaini ya kupata Uwaziri NM lakini hakupewa, Nakumbuka kipindi alisifia kila kitu mpaka ununuzi wa ndege aina ya Bombardier na kusema kabisa "Anaempinga Mh Magufuli ni fisadi, mla Rushwa hatufai" sasahivi kikowapi? Akaja kupwaya tena kipindi Prof: Muhongo alipoachia ngazi.. akavuta subiraaaaaaa lakini hakupata KHERI kijiti kikamuangukia Angella Kailuki na Kalimani hapo chachaaaaaa alichachamaaa zaidi ya Mmawia mpiga mikuki wa Mtwara na Msumbiji.
 
CHANZO: ZANZIBAR24.CO.TZ
2.JPG
 
Bashiru Ally aache kukidhalilisha Chama Kikongwe Duniani

Msitu wa Amazon hauwezi kupungiwa na kitu Kwa kukosekana Mti mmoja

Bashiru asituletee damu za Kikongo kwenye chama chetu Pendwa
Nahisi alikua anamsanifu tu
Zitto kabwe??!!ukiona mtu kafukuzwa mpaka na chadema ujue hata mbiinguni hafai
 
Zitto Kabwe afunguka kutimkia CCM

Zitto ametoa kauli hiyo baada ya kukaribishwa na Katibu Mkuu wa CCM kujiunga na chama hicho, ambapo alimpongeza kwa kuibua mijadala yenye maslahi ya kiuchumi.

"Mimi kujiunga CCM sio jawabu la shida za Watanzania na changamoto zinazoikabili nchi kama vile watu kukosa Uhuru wa mawazo, kukosoa, kupashana Habari na ukandamizwaji mkubwa wa vyama vya upinzani, Wananchi wanyonge kama Wakulima, Wavuvi, Wafugaji na uporaji wa Mali za watu wakiwemo Wafanyabiashara", amesema Zitto.

Zitto ameongeza kuwa, "Namwomba Bashiru CCM ni kundi la wasaka vyeo na walinda vyeo. Chama pekee cha Kijamaa nchini ni ACT Wazalendo kupitia Azimio la Tabora. Namtaka Mjamaa Bashiru Ally aachane na CCM iliyofilisika kiitikadi na ajiunge na ACT Wazalendo, Chama pekee cha Kijamaa Nchini na Afrika Mashariki".

Mapema leo akizungumza na wanachama wa CCM mkoani Iringa, Katibu Mkuu wa chama hicho Dkt. Bashiru Ally ikiwa ni ziara yake ya kikazi mkoani humo amesema kuwa Zitto Kabwe anatakiwa kujiunga na chama hicho, kwani busara zake zinafaa kukitumikia chama hicho chenye Itikadi ya Kijamaa.

Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo na Mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe amefunguka kuwa kuhamia kwake CCM hakutomaliza changamoto za Watanzania.

SOURCE: Zitto Kabwe afunguka kutimkia CCM | East Africa Television

Sometimes leaders should have some vision and be logical! If all members from the opposition join the ruling party it means it’s going back to the one party era!! - one party state just like China ( hata hivo China wana Macau Taiwan na Hong Kong) - chama kushika hatamu! Ningefikiri mnataka kuwa na katiba kama ya Kenya lakini isiyo na mambo ya majimbo kwani majimbo ni kutengeneza na kukuza ukabila.
 
CCM ni watu wa ajabu sana, wana wenyeviti wa mitaa/vijiji, madiwani, wabunge wengi zaidi kuliko chama kingine chochote kile, lakini kwa kuwa hawajui ni kwa nini wako madarakani, wanaona hawawezi kuongoza nchi mpaka walioko kwenye vyama vingine nao wajiunge na chama chao!!

Hivi CCM wanataka wapewe nini ama wawe na nani ili waweze kuongoza nchi kwa ufanisi!? Siku nchi ikiongozwa na Rais toka chama kingine si CCM watawehuka!?

😂😂😂😂😂😂😂😂 sina la kuongeza ..km tamaa ya fisi vile
 
Back
Top Bottom